vyama vya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Dkt. Mwigulu asiporekebisha hali ya uchumi tutegemee ongezeko la chawa kwenye vyama vya siasa

    Ni lazima tuelewe uwepo wa CHAWA hautokani na Itikadi bali hali ngumu ya Maisha inayosababushwa na unemployment Unaweza kuniuliza mbona Mwijaku ni tajiri mwenye Magari na Nyumba ya ghorofa lakini ni CHAWA Jibu ni rahisi tu kwamba kama Mwijaku ni CHAWA tajiri basi ule siyo utajiri bali ni "...
  2. Yoda

    Kwanini msajili wa vyama vya siasa huwa habadilishwi mara kwa mara?

    Tangu nimepata akili za kufuatilia siasa wasajili wa vyama vya siasa ninaowafahamu ni John Tendwa na huyu wa sasa Francis Mutungi, Sina kumbukumbu kama katika kipindi cha miaka 15 kumekuwa na wasajili wa vyama vya siasa zaidi ya hao wawili, lakini sijawahi kuona tengeua tengeua katika hiyo...
  3. F

    LGE2024 Si jukumu la vyama vya siasa kusimamia uandikishaji wa wapiga kura na uwepo wa mawakala wa vyama kwenye zoezi

    Unapokwenda kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura hapaswi kutaja chama chako cha siasa na huu sio wakati wa kampeni. Ni makosa makubwa kwa vyama vya siasa kuwa wasimamizi kwenye zoezi la uandikishaji wa wapiga kura. Kwenye daftari la wapiga kura hatuandikishi CCM, CHADEMA, etc bali...
  4. D

    Prof. Lipumba na wenzake waonesha tabasamu, MC Kissu alivyowaita vyama rafiki wa CCM huko Kwanza

    Kwenye maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya miaka 25 tangu kifo cha Mwl Nyerere uwanja wa CCM Kilumba Mwanza. Prof. Lipumba pamoja na viongozi wengine wa vyama vidogo vidogo vya upinzani nchini, wakiongozwa na Prof. Lipumba walionesha kutoa sura ya tabasamu pale...
  5. Joseph Ludovick

    Afya ya Akili na Kazi kwenye Vyama Vya Siasa

    Afya ya akili ni kipengele muhimu cha ustawi wa binadamu katika maeneo yote ya maisha, hususan kwenye maeneo ya kazi. Tunapoadhimisha siku ya afya ya akili duniani, na kauli mbiu ya mwaka huu, niongelee kwa ujumla taasisi ninayofanyia kazi. Taasisi za vyama vya siasa zina umuhimu mkubwa katika...
  6. drginwey

    Ushuru wa Mabango: Serikali na vyama vya siasa wanalipia mabango yao barabarani?

    Sasa hivi ukipita barabarani kuanzia mwanza mpaka Mtwara ni mabango ya CCM au Mama Samia yakielezea amefanya moja au mbili na pongezi kibao. Ziwe za kweli au uwongo zote zimepangiliwa njia nzima mithili ya maua kwenye misiba ya kishua. Swali langu ni je, tunapata mapato yoyote kwenye mabango...
  7. Tlaatlaah

    Kwanini vyama vya siasa nchini havina succesion plan kutoka rika moja hadi rika jingine?

    Kwanini hawafanyi kama wanavyofanya CCM, kuwaandaa vijana wao wa jinsia zote, na kuwapa fursa na nafasi tofauti tofauti za uongozi hata baada ya kuhudumu katika jumuiya za urika wao wa awali? Maskini ya Mungu, vijana wengi kwa mfano upinzani, wanaishia tu kwenye idara zao za nyakati za ujana...
  8. K

    Kuna nyakati tunao wasifu hawana msaada na sisi

    Maandiko yatuongoze Kuna nyakati tunao wasifu hawana msaada na sisi. Ni Bora kutumia muda wetu kusoma na kuelewa mifumo ya chama ili tuwe na uwezo wa kusema na kuhoji. Tusiposoma tukasifu sifu tu tutaendelea kuumia huku wenzetu wakila Bata na kuandaa maisha ya vizazi vyao vya kesho kwa kutumia...
  9. Tlaatlaah

    PreGE2025 Ni kwa kiwango gani maandamano ya CHADEMA yataathiri matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa wagombea wa chama hicho?

    November 27.2024, patafanyika uchaguzi wa kihistoria nchini, kwa ngazi za serikali za mtaa na vijiji nchi nzima. Vyama vya siasa vilivyo jizatiti kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo muhimu sana, vinaendelea na maandalizi ya kujipanga na kujiandaa vizuri ndani ya vyama vyao. Unadhani kwa...
  10. Accumen Mo

    Vyama vya upinzani hususani CHADEMA rekebisheni makosa mdogo mtafika mbali, Watanzania watawaunga mkono

    Wasalaam ndugu zangu, Kufuatia hali ya waandamaji na maoni ya baadhi ya watanzania kwenye mitandao ya kijamii, nimegundua CHADEMA hawana nguvu wala watu wengi kutoka na kukosa ushawishi. Chama cha CHADEMA kina misingi mizuri hasa ukiangalia sera zake za awali hata jina lake ni zuri (CHAMA CHA...
  11. Pascal Mayalla

    Hakuna haki bila wajibu! Haki sio hisani ni stahiki inayopaswa kutolewa. Haki ya kufanya mikutano na maandamano ni haki kakini pia watimize wajibu

    Wanabodi, Kama kawa, Ukiangalia nguvu iliyotumika jana kuzuia maandamano ya Chadema, nguvu hiyo ingetumika kuyalinda maandamano hayo badala ya kuyazuia! Mada ya leo ni kuhusu haki, hakuna haki bila wajibu!, haki sio hisani ni stahiki inayopaswa kutolewa bila kuombwa. Haki ya kufanya mikutano...
  12. Common Folk

    Makonda: Jakobo alipochinjwa, Kanisa liliomba, halikutoa tamko au waraka.

  13. kavulata

    Amani ni kubwa kuliko Utulivu, utulivu ni muhimu kuliko Demokrasia, na Demokrasia ni kubwa kuliko vyama vya siasa

    Tunahitaji amani sio utulivu, lakini ni heri ya utulivu kuliko demokrasia yenye vurungu, na bila kusahau kuwa demokrasia kwa watu hata wasiokuwa na vyama; ni zaidi ya vyama vya siasa kurahisishiwa kuwa viongozi na kwenda Ikulu. Amani: Ni kuwa na uhakika wa kuwaona wajukuu zako kutokana na...
  14. Kabende Msakila

    Msakila Kabende:- NAWEZA kuwa msuluhishi kati ya Serikali, Vyama vya Siasa na taasisi za kimataifa?

    Watanzania; Salaàm! 1. Nilifuatilia hotuba za viongozi wa CHADEMA katika msiba na maombolezo ya Kibao kule Tanga - nikiona ipo changamoto kati ya taasisi hiyo na Serikali yetu pendwa; 2. Niliona taarifa ya Balozi za US, UK, Canada nk kuhusu malalamiko yanayohusu ustawi wa kijamii nchini; kisha...
  15. DR Mambo Jambo

    Dkt. Conrad Masabo: Tulikosea tulipokabidhi umiliki wa demokrasia kwa vyama vya siasa badala ya umiliki huo kubaki kwa raia

    Mhadhiri wa sayansi ya siasa wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Dk Conrad Masabo anasema demokrasia ya Tanzania iliharibiwa tangu mwaka 2016 kutokana na uamuzi uliofanywa na Watanzania kuamini mtu na sio utaratibu. “Tunachokipitia ni matokeo ya huo uamuzi wetu. Demokrasia kama haki nyingine...
  16. PendoLyimo

    Kuweka Msimamo Dhidi ya Utekaji Ndani ya Vyama vya Siasa

    Kuweka Msimamo Dhidi ya Utekaji Ndani ya Vyama vya Siasa Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko mazito kuhusu vitendo vya utekaji vinavyohusishwa na baadhi ya viongozi ndani ya chama cha CHADEMA. Matukio haya yanapokuwa ni sehemu ya majadiliano ya kisiasa na kijamii, tunapaswa...
  17. Genius Man

    Vyama vya siasa vinapaswa kuwa na msimamo kwa kurudi kuhamasisha tume huru kwani raisi hajatoa tume huru bali jina

    ."
  18. MLIMAWANYOKA

    ANTHONY MTAKA: Matukio ya Utekaji na uuaji hufanywa na makundi mbalimbali vikiwemo vyama vya siasa

    Nakubaliana na Amiri Jeshi Mkuu, kuhusu umuhimu wa kutafakari matukio kama ya risasi kwa Donald Trump, aliyekuwa Rais wa Marekani. Ikiwa tukio kama hilo lingetokea Afrika, jinsi ambavyo ubalozi na mataifa ya magharibi wangejibu ni swali la kujiuliza. Hivi karibuni, nguvu kubwa ya polisi...
  19. Bams

    Kuwakosa Viongozi Wenye Hekima Ndani ya Vyama Vya Siasa, Kunaleta Hatari ya Kuwapata Viongozi Wasio na Hekima Kwenye Serikali.

    Sote tunajua kuwa mchakato wa kuwapata viongozi wa Serikali unaanzia huko kwenye vyama vya siasa. Chama cha siasa kikishinda uchaguzi, aghalabu, nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Serikali hushikwa na hao viongozi wa chama kilichoshinda uchaguzi. Hii ina maana mkiwa na viongozi wa hovyo ndani...
  20. mwanamwana

    PreGE2025 Umoja wa Vyama vya Siasa wapinga maandamano ya CHADEMA. Wanataka kutuharibia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Vyama 13 vya siasa nchini vimejitokeza mbele ya wanahabari leo, Jumanne Septemba 13.2024 kwa ajili ya kupinga maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA yanayotarajiwa kufanyika Septemba 23 mwaka huuKatibu Mkuu wa DP Abdul Mluya ndiye Mwenyekiti wa umoja wa vyama hivyo Pia soma Umoja wa Vyama vya...
Back
Top Bottom