Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na...
Msameheni msajili wa vyama vya siasa anatetea cheo chake na usalama wake nchi haina utawala wa kisheria hii,
Watu watamlaumu msajili wa vyama vya siasa bure kumbe sio mapenzi yake wala kosa lake, lakini pia kufutwa kwa chama kikubwa Tanzania ni ngumu na inaweza kuchochea mabadiliko zaidi...
Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini hebu Samia awe na haibu .
Lissu hivi sasa ni mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa akiwakilisha kanda ya Africa, umoja huu siuna jumuisha hadi chama cha CCM inamaana yeye ndio...
Salam wana JF,
Nimekuwa na swali linalonipa maswali Mengi kila Kukicha.
Tukiachana na Michango ya wanachama, Wahisani wa ndani, wafanyabiashara n.k
Je! Vyama vyetu vya Siasa vinapata wapi Pesa zaKujiendeshea?
2: je! Kama Kuna Misaada kutoka mashirika ya Kimataifa; ni % ngapi zinagawiwa.
3...
Katika zama hizi za dunia kiganjani hata yule mtu aliyekijijini kwanza anataka kujua kipi kinaendelea mitandaoni.
Kupitia mitandao ya kijamii chama cha siasa kina uwezo wa kupata uungwaji mkono wa hali ya juu kwa kila rika, yaani vijana , wazee, watoto n.k.
Kwa zama hizi kiongozi au chama cha...
Kuna mambo mawili
1. Kuwa out of control
2. Kujitoa ufahamu, hii ni makusudi kabisa ili tu ule maana kwa njia zingine umeshindwa kujipatia pesa au chakula. Ni sawa na kuokota makopo jalalani. Wapowenye matatizo ya akili rasmi na wengine hujifanya wana matatizo ya akili ili wapate dili ndani ya...
Hili lilofanyika Leo ni HALALI Kwa Mujibu Katiba ya Chaumma?
Je, MTU anaweza hamia Leo Leo, Bila Mkutano Mkuu, Wala Baraza Kuu na akapewa Cheo?.
Msajili anasemaje katika hili?
Wakuu,
Boni Yai ameendelea kumwaga siri za G55 kwenye press yake ya leo.
Akiwa anazungumza leo , Boni Yai amesema kuwa Mchome alikuwa anakaa kwenye hoteli moja huko Sinza na akashindwa kulipa kodi na yeye ndo alimsaidia laki 3 kwa ajili ya kulipa
Na aliongeza kuwa kwa sasa Mchome amelipiwa...
https://www.youtube.com/live/fiYSJU5K1SU?si=XRvj21KsCtekHof4
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi Wakili Dickson Lucas Matata, amesema kwamba Msajili wa Vyama vya Siasa hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kumuwezesha kubatilisha uteuzi wa viongozi wa Chama...
Akitolea mfano kutoka NCCR Mageuzi alizungumzia jinsi Ofisi ya Msajili inavyohusika kuvuruga Vyama vya kweli vya upinzani, sasa tunashuhudia kinachoendelea CHADEMA, ambapo amesema;
"Shetani hawezi kumfukuza Pepo, hakuna Ufalme unaojifitini. Msajili anajua kwanini Vyama vipo."
"Nimekuuliza...
Hamjambo Wore!
Nimeona huko mitandaoni watu wakiwalalamikia G55 kukimbia CHADEMA kutokana na maslahi yao ya kisiasa na ulaji kuguswa.
Watu huwalaumu wakisema, inamaana wamesahau Damu na roho za wanachadema wenzao waliouawa, kutekwa na kufanywa vilema? Wamesahau?
Inamaana hawakumbuki...
Kuhusu Msajili wa Vyama vya Siasa na Uingiliaji wake Kipindi cha Uchaguzi
Wakuu, ni wazi kwamba tunapokaribia uchaguzi, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu jinsi Msajili wa Vyama vya Siasa anavyoingilia kazi za vyama, hasa vya upinzani. Kulingana na Sheria ya Vyama vya Siasa (Cap 258 R.E 2019), Msajili...
Wana CCM tumekaa kimya wengi wetu si kuwa tumeridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea la hasha ni kuwa hatuna la kufanya waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe.
Nimeona umechukua hatua kwa viongozi wa Chadema na kutangaza kutotambua wajumbe wa secretariat. Nakusihi na huku kwetu CCM umulike...
Huwezi kuishi kwa kujifanya mtoto mdogo Kila wakati ilihali umekuwa, nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria hivyo jitafakari. Taifa linakuwa vituko kwa sababu ya watu tuliowapa dhamana, fikra za hovyo zimewatawala. Ofisi ya msajili kwa hili huwezi kukimbia matokeo yake wewe siyo mahakama...
Wakili Edson Kilatu ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya Katiba na Sera amesema kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa anaongozwa na Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, sura namba 258 ya sheria za Tanzania, ambayo inampa mamlaka ya kufanya uangalizi katika chaguzi za ndani za vyama vya siasa...
Huu ni wito kwa vyombo vinavyosimamia vyama vya siasa nchini.
Kamwe hakuna chama kisichoweza kupiga kelele kupitia mikutano.
Hoja muhimu ni je chama au vyama hivyo vinakiuka kanuni,sheria na taratibu tulizokubaliana?kama ni hivyo mamlaka husika zisitishwe na kelele za kwenye mikutano bali...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa wadhamini waliokwenda katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituoni hapo.
Taarifa ya chama hicho imeeleza kuwa waliokamatwa...
Wakuu hata msiwaze Wala kuumiza Kichwa , na Ninaomba CHADEMA Msitafute kupoteza muda na huyo Mwendawazimu.
Ipo hivi , Msajili na Jeshi la Polisi na Usalama mbumbumbu ambao Sasa wametapakaa Uwanja wa Ndege wa JN kwaajili ya kufatilia Wanachadema wanaosafiri, wanachofanya ni KUICHOKONOA CHADEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.