vyama vya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Tume ya Uchaguzi yawataka mawakala wa vyama vya siasa na wasimamizi kuzingatia sheria za Uchaguzi katika Uchaguzi mdogo wa muhambwe, buhigwe na kata 5

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema vyama vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani Kigoma na Uchaguzi wa Udiwani katika kata tano za Tanzania Bara, vina wajibu wa kuweka mawakala kwenye vituo vya kupigia na kujumlisha kura lakini mawakala hao...
  2. J

    Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

    Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake. Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa? Yohana nauliza kwanini Freeman...
  3. Erythrocyte

    Pendekezo: Francis Mutungi na Sisty Nyahyoza waondolewe Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, wametumika kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa

    Maadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko. Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa kwa kuyalinda makundi ya wahalifu , huku akisimamia kugawa ruzuku halali ya Cuf kwa...
  4. Linguistic

    Mustakabali wa vyama vya Siasa Tanzania

    Kama kweli kuna nia ya dhati ya kuwa na demokrasia ya kweli, maslahi ya ruzuku kwenye vyama vya upinzani vingejiweka pembeni na kuwa na chama kimoja au viwili vya upinzani vikibeba agenda au sera za kitaifa. Kushindwa huku na kukimbiwa na watu mnaowakaribisha kunathibitisha political readiness...
  5. JOYOPAPASI

    Vyama mfu vya Upinzani kuitoa CCM madarakani haiwezekani na haitatokea milele, ila ikitokea huo ndio mwisho wa Tanzania

    VYAMA MFU VYA UPINZANI KUITOA CCM MADARAKANI HAIWEZEKANI NA HAITATOKEA MILELE, ILA IKITOKEA HUO NDO MWISHO WA TANZANIA....Na Joseph Yona. MbagalaZmaHome yonapavea@gmail.com 0713802226 Kama ingetokea maajabu wananchi wa Tanzania wakafanya maamuzi ya kizwazwa kukitoa madarakani Chama Cha...
  6. Roving Journalist

    Uchambuzi wa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 2018

    Kwanini tunajali kuhusu marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa? 1: Marekebisho yanampa Msajili mamlaka kubwa isiyo na mipaka. Kimsingi, marekebisho yanayopendekezwa hayatoi fursa ya ushindani huru kwenye jukwaa la kisiasa. Msajili anateuliwa na Rais, ambaye ni mwenyekiA wa chama kimoja cha...
  7. Q

    Umoja wa vyama 10 vya upinzani nchini Tanzania vimefungua kesi Mahakamani Kuu kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa

    Viongozi waandamizi wa vyama mbalimbali vya upinzani leo watazungumza na waandishi wa habari. Watazungumzia maazimio ya #Azimio la Zanzibar. Muda: Saa tano kamili asubuhi Eneo: Makao Makuu ya CHAUMMA, Makumbusho, Dar es salaam. ====== UPDATES; Viongozi Waandamizi wa Vyama mbalimbali vya...
Back
Top Bottom