vyama vya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Prof. Tibaijuka: Utaratibu wa Mgombea Binafsi utaimarisha vyama vya siasa nchini

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Muleba Kusini na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema kuzuiwa kwa mgombea binafsi nchini kumeifanya Tanzania kuwa na demokrasia ya udikteta wa vyama. Ameyasema hayo leo Septemba 14, 2024 alipokuwa akitoa mada ya ushiriki wa wanawake...
  2. Mr-Njombe

    Je ni kwanini Tanzania hairuhusu mgombea binafsi?

    Habari waungwana! Je ni kwanini nchi yetu haimpi nafasi mgombea binafsi kugombea na kushika nafasi mbali mbali za kisiasa ikiwemo ubunge na Urais. kwani kwa maoni yangu hii ya kua lazima uwe mwanachama kwanza kunamfanya kiongozi kuweka kwanza maslahi ya chama mbele kuliko mahitaji ya wananchi...
  3. Influenza

    PreGE2025 Askofu Shoo akemea vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka

    Askofu Fredrick Shoo wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amekemea vikali vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji yanayodaiwa kuwa na viashiria vya ushirikina, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka, ambavyo vinatishia usalama wa nchi. Dk Shoo...
  4. Nehemia Kilave

    PreGE2025 Mchungaji Msigwa kwenda CCM ni moja kati ya 'usajili' mbaya kuwahi kufanywa na vyama vya siasa

    Kwa sasa Tundu Lissu ndiye mwanasiasa pekee ambae kuhama kwake sehemu kunaweza hama na watu , sababu nyuma kuna watu wengi sana ambao ni wafuasi wake na wana imani na yeye. CCM wamemchukua Msigwa kama mtaji ndio maana anapewa airtime kwenye mikutano. Kiuhalisia sasa ni kwamba Mchungaji imani...
  5. Nyendo

    PreGE2025 Ndio kwanza wanapasha misuli washaashiria kucheza faulo, kwenye mechi itakuwa kivumbi

    Naam, Kueleke mechi ya uchaguzi tayari wachezaji wote timu zote wapo uwanjani wanapasha misuli kabla ya kurudi vyumba vya kubadilishia nguo ili watoke rasmi na kuingia uwanjani kusubiri kipenga cha refrii ili kabumbu lianze. Mpaka sasa kabla ya mechi wachezaji wameanza mazoezi ya kuonesha...
  6. J

    PreGE2025 Askofu Mwamakula: Kama kwenye chaguzi za ndani ya vyama Rushwa ilitawala itakuwaje kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu?

    Kichwa Cha habari ndio swali alilouliza askofu Mwamakula ukurasani X Kwenu CHADEMA 😄😄🔥 --- Kupitia ukurasa wake Rasmi wa Mtandao wa X (Zamani Twitter) Askofu Mwamakula anaadika: Kama katika chaguzi mbalimbali ndani ya vyama vya siasa, uwezo wa kifedha miongoni mwa wagombea ndio uliotumika au...
  7. President of China

    Majibu ya CCM Mdahalo wa Odemba: Tunasikitishwa na jinsi alivyoupotosha umma, tumeshangazwa na machozi yake!

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu kutoshiriki kwa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwenye mdahalo ulioandaliwa na Kituo cha Televisheni cha Star Tv, na kuratibiwa na Ndugu Edwin Odemba tarehe 31 Agosti, 2024. CCM inautaarifu umma kuwa Katibu Mkuu...
  8. Mjomba side

    PreGE2025 Kujificha nyuma ya hoja ya kutokuhudhuria kwa Katibu Mkuu wa CCM: Upinzani wamekosa Sera madhubuti

    CHADEMA,ACT-WAZALENDO,CUF,NCCR-MAGEUZI ni vyama vya siasa vilivyo kosa sera halisi kwa watanzania ndio maana wameshindwa kunadi sera zao kwa watanzania kupitia vyombo vya habari kwa kujificha kwenye HOJA ya kutokuhudhuria kwa katibu mkuu wa ccm kwenye mdahalo* _Tumeona nchi Kama Marekani...
  9. P

    PreGE2025 Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

    Fuatilia live Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM. Fuatilia mubashara Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM ambapo wanaotazamiwa kushiriki ni; 1. Dk. Emmanuel Nchimbi - CCM 2. Martha Chiomba - NNCR Mageuzi 3. Ado Shaibu ACT Wazalendo 4. Ahmad...
  10. J

    31 Agosti, 2024 kufanyika Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM. Dr Nchimbi, Mnyika, Shaibu na wengine Watashiriki

    Utakuwa ni Mdahalo muhimu sana kujua yaliyomo yamo Chief Odemba ndiye ataongoza Mdahalo huo kupitia Medani za Siasa Star tv Ni Jumamosi 31/08/2024 na Makatibu Wakuu wa Vyama vyote Watashiriki wakiwemo Dr Nchimbi, John Mnyika, Ado Shaibu na wengine Muda ni saa 3:30 Usiku hadi saa 5 :30 Usiku...
  11. Bams

    Polisi Wapelekwe Shule. Hawana Mamlaka ya Kuzuia Mikutano ya Vyama vya Siasa.

    Kuna tatizo kubwa la weledi ndani ya Jeshi la Polisi. POlisi wa nchi hii, bila shaka hawana weledi wa kutosha, na wala hawajishughulishi kujua sheria ili wafanye kazi zao kwa weledi. Lakini pia yawezekana wanajua sheria inataka nini ila kwa kiburi na kwa makusudi wanaamua kuikanyaga sheria kwa...
  12. Blasio Kachuchu

    PreGE2025 Tume yaviasa vyama vya siasa kutoingilia mchakato wa uboreshwaji wa daftari

    Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati akifungua mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi uliofanyika leo Agosti 25, 2024 mkoani Mara. Wadau hao ni pamoja na Viongozi wa vyama vya siasa, Viongozi wa Dini, Wawakilishi...
  13. Tlaatlaah

    Vyama vya siasa nchini vinavyojiendesha kwa mikopo hatarini kusambaratika na kuvunjika kabisa

    madeni makubwa yasiyoeleweka wala yasiyolipika ni miongoni mwa hatari zinazo zengea zengea kwenye korido za miongoni mwa vyama vya siasa vikongwe na visivyo vikongwe kwenye ulingo wa kisiasa humu nchini.. hali hii ya madeni kupindukia, imepelekea kutokua kabisa na meno au sauti ya kukemea...
  14. Yoda

    Kwa nini wanachama wa vyama vya siasa Marekani hawasemi Republicans/Democrats oyeee?

    Nimeangalia conventions mbili za vyama vya siasa Marekani na pia huwa naangalia mara kadhaa mikutano yao ya kisiasa, kinachonishangaza ni kama huwa hakuna kauli za hamasa za ki-vyama kwenye mikutano ya chama au kampeni. Amsha amsha za vyama vyote huwa wanaimba tu USA USA USA. Hakuna mambo ya...
  15. Mkalukungone Mwamba

    Jeshi la Polisi Zanzibar latoa onyo kwa viongozi wa siasa kutumia vibaya uhuru wa kujieleza

    Jeshi la Polisi Zanzibar limewatahadharisha na kuwaonya baadhi ya viongozi wa siasa kuacha kutumia uhuru wa kujieleza kwa kutoa kauli za kebeghi kwa viongozi jambo ambalo linaingilia faragha ya mtu na kuhatarisha uvunjifu wa amani visiwani Zanzibar Kamishna wa Jeshi la Polisi Kamisheni ya...
  16. K

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ifanyiwe mabadiliko makubwa

    Ni wakati muafaka sasa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ifanyiwe mabadiliko makubwa. Viongozi wakuu katika ofisi hiyo wamekaa pale muda mrefu na wengine hata zaidi ya miaka kumi. Mara nyingi ofisi hii imelalalmikiwa na vyama vya upinzani na sasa kama itapendeza mabadiliko makubwa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dk. Nchimbi: Wana CCM na Wanasiasa wa Vyama vingine tuchunge ndimi zetu

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amewataka Wanasiasa Nchini kutumia vizuri ndimi zao na kamwe wasitoe matamshi ambayo yanaweza kuhatarisha amani na utulivu. Balozi Dk. Nchimbi ameyasema hayo jana August 13, 2024 alipokua akiongea na Wananchi katika mkutano wa...
  18. Allen Kilewella

    Challenge: Tuache kuijadili CHADEMA, tujadili vyama vingine

    Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu. Kama tunaweza kukaa wiki nzima, badala ya kukijadili chama ambacho baadhi yetu wanasema kimekosa maono, basi tujadili vyama...
  19. R

    Kwanini tumekubali kurudi kwenye siasa za chuki? Mbona wananchi wanaishi kwa amani? Viongozi wana hofu gani?

    Hakuna mwananchi anayeona kuna tishio au hali isiyo ya kawaida kwenye siasa. Ila viongozi wa kisiasa ni kama wamepaniki. Pamoja na mikutano yote waliyofanya bado nafsini mwao wanaamini wananchi wana njaa na wakiruhusiwa kuonyesha njaa zao kura zitapungua. Je makatazo haya hayapelekei kuathiri...
  20. Tlaatlaah

    Ndani ya vyama vya siasa upinzani Tanzania gumzo na hoja kuu ndani ya vikao vyao ni Samia Suluhu Hassan tu 2025

    Wengi wao wako radhi, na wameridhia kuunga mkono jitihada za Dr. Samia Suluhu Hassan za sasa; na endapo pia ataamua kugombea ukuu wa nchi kwa ngwe nyingine ya pili, basi watamuunga mkono kwa 100%. Kuna wanachama wachache miongoni mwa vyama hivyo vya siasa vya upinzani, wanajaribu kuweka vikwazo...
Back
Top Bottom