vyama vya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Uzushi kuhusu mauaji kuwa ni mikakati ya vyama vya siasa, tusiyape nafasi kama mtaji wa kisiasa tunapoelekea uchaguzi Oktoba 2025

    UZUSHI KUHUSU MAUAJI KUWA NI MIKAKATI YA VYAMA VYA SIASA, TUSIYAPE NAFASI KAMA MTAJI WA KISIASA TUNAPOELEKEA UCHAGUZI OKTOBA 2025 🖊️Mwanaharakati Huru Tanzania Katika siku za karibuni, kumezuka wimbi la maneno ya uzushi na tuhuma nzito zinazodai kuwa kuna vyama vya siasa vinavyopanga au...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vingeweke nguvu kwenye mabadiliko ya kiuchaguzi ili muweze kufanya ushindani wa kweli na kujenga demokrasia

    Uchaguzi wa ushindani ndio tunao utazamia pale mgombea anaposimama na kueleza yale atakayo yafanya na kuyatekeleza kwa ushindani wa vitendo kwa upinzani, na sio uchaguzi wa kujiteuwa ulipo kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia, hakuwezi kuwa na uwajibikaji hapo. Kwanini vyama vya kisiasa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Eveline Munisi: Viongozi wa vyama vya siasa tulinde amani

    Nianze kwa kupongeza TLS kwa kutuandalia hili kongamano ambalo binafsi limenifungua mambo mengi kuhusiana na sheria ya uchaguzi, na yaliyopo ndani ya Katiba kwa ujumla. Suala wa wasimamizi lilikuwa shida sana pale awali kwa sababu kila kitu kwenye uchaguzi ni serikali inasimama. Lakini kwenye...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Live from JNCC: Kikao kazi cha Msajili wa Vyama vya Siasa na Jukwaa la Wahariri, kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Wanabodi Jumamosi ya leo, nimeanzia, ukumbi wa JNCC, kwenye kikao kazi cha Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi, na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Jukwaa la Wahariri (TEF), kuelekea uchaguzi mkuu 2025!. NB: Kumbe Kikao hiki ni Strictly Confidential!, hivyo nitawapa briefing...
  5. Wissa Joseph G

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa

    Napenda kufahamu ni jinsi gani hivi vyama vya upizani vinachangia Maendeleo ya nchi yetu .
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ubinafsi umefanya vyama vya siasa kutotumia nafasi ya kukataa kutia sahihi kanuni za uchaguzi kuwalazimisha CCM kukaa nao mezani na kubadili kanuni

    Leo hii, kama vyama vyote vya siasa vingechukua msimamo wa kukataa kutia sahihi kanuni za uchaguzi, amini nawaambieni, sasa hivi tungekuwa tunaongea mambo mengine kabisa. Vyama vya siasa havikuiona na kutambua kuwa hiyo ilikuwa nafasi ya kuilazimisha CCM kukaa nao mezani na hata kubadili kanuni...
  7. Idofu

    JamiiForums Tanzania Hivi Vyama 16 shughuli zao za Kisiasa wanafanyia wapi?

    Kwa Kipindi hiki Cha maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ni Vyama vitatu tu ambavyo ni CCM,CHADEMA na ACT ndio naona vina pilika pilika nyingi za kuuza sera zao kwa wananchi!! Swali la kujiuliza hivi Vyama vingine shughuli zao wanafanyia sehemu gani?,Kuna Vyama tangu uishe Uchaguzi Mkuu uliopita mpaka...
  8. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Akili kumkichwa: Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Uchambuzi wa Kikatiba chini ya Ibara ya 74(11) na (12) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 Utangulizi Demokrasia ya kweli hujengwa juu ya misingi ya kuheshimu Katiba, taasisi, na sheria. Katika muktadha wa maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya...
  9. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mikakati ya Ushindi kwa Vyama vya Siasa katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 Tanzania

    Na. Alloyce, P.R. Utangulizi Uchaguzi Mkuu wa 2025 unatarajiwa kuwa mojawapo ya matukio muhimu katika historia ya siasa za Taifa letu (Tanzania). Katika mazingira ya kisiasa yanayobadilika kwa kasi, vyama vya siasa vinakabiliwa na changamoto ya kujenga imani kwa wananchi, kuongeza ushawishi na...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: G55 kuiwakilisha CHADEMA kusaini kanuni za uchaguzi mkuu kwa mujibu wa sheria za vyama vya siasa

    Zoezi hilo litafanyika katika ofisi za tume huru ya taifa ya uchaguzi kesho juma mosi tar.12.4.2025, huku ikisemekana kwamba G55 watashiriki zoezi hilo muhimu endapo hapatakuwepo na muwakilishi wa chadema kwenye hafla hiyo ya kisheria. Una maoni gani juu ya jambo hili ndugu mdau?🐒 Mungu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume, serikali na vyama vya siasa kusaini maadili ya uchaguzi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg. Kailima, R. K akifafanua jambo. Na Mwandishi Wetu Dodoma. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, vyama vya siasa na Serikali kesho tarehe 12 Aprili, 2025 wanatarajiwa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi yatakayotumika kwenye uchaguzi...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa: Serikali imetoa ruzuku ya TSh 13.17 bilioni kwa Vyama vya Siasa

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kuwa Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi Bilioni 13.17 kwa vyama vya siasa vyenye sifa ya kupata ruzuku hadi kufikia Machi 2025. Hatua hii imeendelea kusaidia kuimarisha na kuendeleza uendeshaji wa shughuli za vyama vya siasa nchini. Aidha, Ofisi ya Msajili...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya Siasa vyenye nia ya kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, Aprili 12, 2025

    Tarehe 12, April, 2025 Ofisi ya Msajili inataka vyama vyote vyenye nia ya kushiriki Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwenda kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, na kutosaini kanuni hizo kwa mujibu wa Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi za 2024 ni kosa la kuondolewa moja kwa moja kwa chama kushiriki...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Makalla ingesemwa na kiongozi wa CHADEMA unadhani nini kingetokea? Uhaini? Msajili wa Vyama vya Siasa ametenda haki?

    Wakuu, Naamini wengi kama mimi hatujaelewa kabisa jinsi suala hili linalotishia usalama wa taifa lilivyopita kimya kimya. Ugonjwa kama Ebola ni muda mchache tu kufuta generation ya watu ukiangalia na vile tulivyokuwa duni kwenye suala la afya linapokuja kupambana na magonjwa kama hayo...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa asema tayari hatua zimechukuliwa dhidi ya Amos Makalla kuhusu CHADEMA kununua virusi vya M-pox na Ebola

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa majibu kwa chama cha ACT Wazalendo kuhusu ombi lao la kuchukuliwa hatua dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla. Katika barua yake, Msajili ameeleza kuwa tayari ofisi yake ilishachukua hatua...
  16. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa fanya kazi yako, unapwaya sana halafu sijui kama unaona au makusudi?

    Msajili wa vyama vya siasa punguza unazi kidogo alafu fanya kazi yako. Kuna mahali unapwaya na kushindwa kuficha hisia zako. Juzi umemsikia mwenezi wa CCM alichosema hadharani mbele ya wananchi. Hakusema chochote, hujatoa onyo lolote kwa CCM kama msajili wa vyama, hujawaita CCM waje kutoa...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Makalla kuhusu ‘Virusi vya Ebola’, ni Kauli ya CCM. Msajili wa Vyama vya Siasa yuko wapi?

    Msajili yupo Kwa ajili ya CHADEMA tu ??. Kwamba Msajili hata Kuionya CCM kupitia viongozi wake kuacha kutoa matamko ya Taharuki , haonekani!!. Ama KWELI, No Reforms, No Election
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo yamtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kumchukulia hatua Makalla kauli ya CHADEMA kutaka kupandikiza M-Pox na Ebola nchini

    Chama cha ACT Wazalendo kimemwandikia rasmi Msajili wa Vyama vya Siasa malalamiko dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amosi Makalla kutokana na matamshi yake ya madai kuwa CHADEMA kinaendesha harambee ya kununua virusi vya M-pox na Ebola kwa lengo la kuzuia uchaguzi mkuu wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa, kama unaweza kum summon Mnyika kuhusu No reoforms No election, basi Amos utamsummon kwa m-pox na ebola saga

    Realistically, wenye akili wanategemea as soon as possible umuite Amos Makala na kumkanya na kumpa onyo publically atoe maelezo na ushahidi wa hiki alichokisema. Short of that hutaeleweka. Soma Pre GE2025 - CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UMEAHIRISHWA: Tunawezaje kuhakikisha kuwa Rushwa inakoma ndani ya vyama vya siasa kwa ya maendeleo ya jamii?

    Rushwa ndani ya vyama vya siasa inahujumu demokrasia kwa kupendelea wenye nguvu kifedha, huku ikiweka kando wagombea wenye sifa lakini wasio na rasilimali kubwa. Hali hii huzaa uongozi unaotanguliza maslahi binafsi badala ya sera zinazowanufaisha wananchi wote, hivyo kudhoofisha maendeleo ya...
Back
Top Bottom