Utekaji na mauaji ya wanaomkosoa Rais, Utengenezaji wa mifumo bandia ya Uchaguzi, tume huru bandia ya uchaguzi, utangazaji wa Rais na wabunge ambao hawakuchaguliwa na wananchi, na kisha mauaji ya kiharamia ya Maelfu ya Watanganyika, vyote vimefanyika chini ya Serikali ya CCM.
Ushetani huu wote...
Hakuna asiyejua kuwa Katiba yetu inatamka wazi kuwa nchi yetu ni ya vyama vingi na serikali haina dini lakini raia wake yupo na uhuru wa kuchagua imani yake.
Je, tunapoongelea suala la maridhiano ni akina nani wahusika wa maridhiano haya? Je, ni ungomvi wa wafanya biashara? Ni ungomvi ndani ya...
Ushauri aliopewa na baba yake. Angélique Kidjo ni mwanamuziki kutoka nchini Benin na mshindi wa Grammy Awards 5.
Wasanii wa Tanzania amkeni usingizini, wenzenu hapo Kenya wameshawapita mbaali kimuziki kwa sababu ya kuendekeza siasa badala ya kujikita kwenye mambo ya msingi!
Friends and Our Enemies,
Kila mwenye akili na uelewa wa mambo anafahamu kuwa chanzo cha machafuko haya yaliyotokea ni uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo.
Chadema kupitia mwenyekiti wao Tundu Lisu na makamu wake John heche kwa nyakati tofauti fofauti walishawahi kunukuliwa wakisema...
Katika historia ya mataifa, kuna nyakati ambazo taifa hufika kwenye makutano ya maamuzi ya maadili na dhamira. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini Tanzania umeacha doa lisilofutika kirahisi doa la kishetani, kama ambavyo wananchi wengi wameuita kwa uchungu. Wengi wamesema wazi kuwa si uchaguzi wa...
Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
*Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo.
Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
Mahakama Kuu Kanda ya Manyara imekubaliana na maombi ya Chadema ya kuendelea na kesi ya msingi, huku ikitupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa dhidi ya chama hicho kuendelea na kesi hiyo.
Kesi hiyo iliyosikilizwa leo Oktoba 2, 2025 na Jaji Nenelwa Mwihumbi...
Hello wakuu INEC najua wapo huku wanatumia VPN zao kuangalia Upepo unaendaje.
Kumekuwa na Tuhuma mbalimbali ambazo zinatolewa Kupitia Mitandao ya kijamii hapa nchini ambazo zinaeleza kuwa Kila mkoa mgombea Urais wa CCM anafika kwa ajili ya kunadi sera zake shule zote za karibu wanafunzi na...
Baadhi ya vyama vya siasa visiwani Zanzibar vimesitisha mikutano yake ya kampeni kufuatia kifo cha mgombea ubunge wa Jimbo la Fuoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abass Ali Mwinyi, kilichotokea jana.
Miongoni mwa vyama vilivyositisha shughuli zake ni CCM pamoja na Chama cha ACT Wazalendo...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndugu. Kailima Ramadhani leo tarehe 30 Agosti, 2025 ameongoza kikao cha wawakilishi wa vyama vya siasa kupitia na kufanya mabadiliko madogo kwenye ratiba ya mikutano ya hadhara ya kampeni za wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa...
Ni kutokana na kugundua vilikuwa vinatumika na Mtandao.. Tunaofahamu tunafahamu Eric hajawahi kuwa that much smart.
Vyama vya upinzani vingi vina mapandikizi ya Mtandao. Na hawa ndo walikuwa wanawawezesha wafanye harakati zao za Kimaslahi. Zitto Kabwe alishauriwa asijiunge CCM aanzishe Chama...
Wakuu habari,
Tufuatilie live ya Jeshi la Polisi ikitoa tamko kuelekea kampeni za vyama vya siasa inayotarajiwa kuanza kesho Agosti 28, 2025
https://youtu.be/oMKspe2-o1Y?si=K58UWSQsgIJMBPg7
Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime: " Kesho Agosti 28, 2025 kama ilivyotangazwa na Tume huru ya...
Nakupongeza kwa kutenda haki, kama amechaguliwa kinyume na Katiba ya ACT, mtengue kama ulivyofanya.
Lakini mbona scenario ya Mpina ni sawa na ya Samia? why double standards
Ninaomba jibu ya dokezo langu hapo juu.
MONALISA JOSEPH NDALA | 0657299225 | 0741299226 | ndalamonalisa50@gmail.com
26 Agosti 2025
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU UAMUZI WA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUHUSIANA NA MALALAMIKO YANGU DHIDI YA UTEUZI WA BW. LUHAGA JOELSON MPINA KAMA MGOMBEA URAIS WA ACT-WAZALENDO
Mtukumbuke kuwa mimi Monalisa...
Ni kwamba vyama vya siasa vyaendeshwa na binadamu kama CCM Hivyo kama CCM ni waoongo. kwa ubinadamu wao basi na wenzao ni binadamu huwa wakati mwingine husema urongo. Sasa sema hayo mambo ya uongo ambayo ukiamini kwamba ni ya kweli wakati huo
Kumekuwa na tuhuma zinazodai kuwa mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) umeunganishwa au unashirikishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa nia inayotazamwa/hisiwa kuwa ovu na inayokiuka haki za faragha na usawa wa kisiasa.
Uhalali wa jambo...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
Niwashauri tu nyie watu ambao mmekesha mnamsikiliza polepole, hebu muwe hata mnajihoji wenyewe mtapata kitu badala ya kupelekeshwa na upotoshaji wa polepole, sasa NIDA inahusikaje wakati vituoni Kuna mawakala wa vyama vyote?
Lengo la polepole ni kupotosha umma kwasabu anajua Hana chakuongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.