vyama vya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa kuleta machafuko kama ya Oktoba 29 !

    Asema atakifutilia mbali CHADEMA kama kisipofanya shughuli zake za Siasa inavyotakiwa. Hapa nafikiri ndugu Msajili alimaanisha CHADEMA wamsifu Madame Presider ikiwezekana wampe na Tuzo ya Rais aliefanya Siasa bora Tanzania. Sisi wananchi yetu macho, mkitunyima haki tunaitafuta kwa nguvu
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Namshauri Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Kuifutia Usajili CHADEMA

    Kama mwanadiplomasia na mwanasiasa mwandamizi nchini, nimeifuatilia chadema kwa karibu sana na kwa muda mrefu, na nimethibitisha pasina shaka na kujiridhisha kwamba, chadema inakiuka sheria na masharti ya usajili wake, na kwahivyo inastahili kufutwa rasmi kisheria. Na hii itasaidia sana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Msajili wa vyama vya Siasa aache vitisho na hujuma dhidi ya vyama vya Upinzani

    Msajili wa Vyama vya Siasa amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) (barua ya tarehe 07 Mei, 2026 yenye kumbukumbu namba HA. 322/362/16A/22) akikitaka kijieleze kwa nini kisisimamishwe usajili wake au kutozwa faini kwa kile alichokieleza kuwa ni 'ukiukaji wa sheria ya vyama...
  4. Ileje

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja amtaka Msajili wa Vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi kuacha kutumia ofisi ya umma kama chanzo chake cha mapato!

    “Msajili wa Vyama vya Siasa anawataka CHADEMA muwasilishe maelezo kueleza kwa nini usajili wa chama chenu usisimamishwe au kutozwa faini kwa kukiuka masharti ya Sheria ya Vyama vya Siasa, ikiwemo masharti ya usajili.” — Msajili wa Vyama vya Siasa. Kwamba CHADEMA itozwe faini/kufutiwa usajili...
  5. Ileje

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa ni kirusi kwa demokrasia, imechangia vurugu za Oktoba 29

    OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA IDHIBITIWE KABLA HAIJASABABISHA MAAFA KWA MARA YA PILI. Tumeshauri sana na tunaendelea kushauri. Ofisi ya Msajili wa Vyama ndiyo chemichemi ya vurugu za kidemokrasia ndani ya Vyama vya Upinzani na inamchango mkubwa katika vurugu za Oktoba 29. Kimsingi Tume ya...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera akutana na kuzungumza na viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar

    Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera ambaye ni Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, ameendelea na ziara ya kukutana na wadau mbalimbali wa nchini Tanzania ambapo leo Aprili 13, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar. Dkt. Chakwera pia alipata fursa...
  7. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania NGOs na vyama vya siasa vya upinzani Afrika ni watengeneza maudhui katika karne hii

    "Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na vyama vya siasa vya upinzani barani Afrika katika karne hii, vinaendeshwa kwa ushabiki na kiki nyingi kupita kiasi. Kuna mambo wanayoyafanya hadi unajiuliza iwapo watu hawa wamepoteza uwezo wa kufikiri, au tatizo ni kukosa ajenda madhubuti za maendeleo...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa UN kukutana na vyama vya siasa vya Tanzania kujadili hali ya uchaguzi 2025, rais Samia apongezwa katika Demokrasia

    Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika (UNOAU), Bw. Parfait OnangaAnyanga, ambaye ni Mjumbe Maalum wa Mhe. Antonio Guterres, Katibu Mkuu UN ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Guinea yafuta vyama vya siasa 40

    Kupitia taarifa iliyotolewa na Wizara ya Tawala za Mikoa, ilieleza kuwa vyama hivyo vimeshindwa kutimiza wajibu wao wa kisheria, na kuamuru kusitishwa kwa shughuli za vyama hivyo pamoja na kufungiwa kwa mali zao. Soma pia Serikali ya Kijeshi Guinea yasitisha shughuli za vyama 3 vya upinzani...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima akitambulisha uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba Kardinali Pengo. Umegundua nini?

    Wakuu, Hii ni leo wakati Padri Kitima anatambulisho uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba wa Kardinali Pengo Hapo kuna sehemu kataja kuna vyama 17
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hakuna jinsi Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa ikafutwa?

    Hii Ofisi ikifutwa ni nini kitakosekana kwenye siasa za Tanzania? Naona kuwa na ofisi hii pamoja na waajiriwa wake ni ufujaji wa pesa za maskini walipa kodi wa nchi yetu.
  12. Pakome

    JamiiForums Tanzania Sina chuki na CHADEMA wala CCM, niliyoandika yalikuwa madhaifu ya kila Chama, vyama vya Siasa vinachochea maendeleo, yaliyotokea Oktoba 29 yasijirudie

    Hakuna Chama Takatifu cha Siasa duniani, kila Chama kima madhaifu yake, kinachotakiwa kufanyika ni kusahihishana, kusamehana na kusonga mbele Niliyoandika katika nyuzi zangu zilizopita yalikuwa ni madhaifu ya kila Chama na sii udalali wa siasa au uchawa kwa lugha ya mtaani Binafasi sina chuki...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Baraza la Vyama vya Siasa lakutana Morogoro, CHADEMA hawakuhudhuria

    Vyama vya Siasa 18 vyenye usajili wa kudumu vimeshiriki mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa ulioandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na kufanyika mjini Morogoro, huku CHADEMA ikiwa haijashiriki mkutano huo. Akizungumzia mkutano huo leo Februari 11, Msajili Msaidizi wa Vyama vya...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama

    Taarifa kwa Umma: Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama cha Independent People Party (IPP) Dar es Salaam, Leo tarehe 22 Januari, Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda ya Dar es Salaam) 2026 imetoa ruhusa ya kufungua kesi ya...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatoa kibali Msajili wa Vyama vya Siasa 'kushtakiwa'

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imetoa kibali cha kufungua kesi ya msingi kwa walalamikaji Vyonheaven Exaud Urima na Andrew Fadhili Bomani katika shauri la kiraia Na. 8286/2025 waliofungua dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) Katika...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Bunge lijadili na kuja na muundo wa vyama vya siasa nchini

    Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake. Hili litaepusha uwepo wa vyama...
  17. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano baina ya wakristo na waislamu ni muhimu kuliko hata vyama vya siasa

    Ni bora pasiwepo na vyama vya siasa lakini ukawapo ushirikiano wa dhati baina ya waislamu na wakristo kwani kila siku,tunashirikiana kwenye mambo mengi mno.Angalia baadhi ya mambo tunayoshirikiana japo kwa uchache: 1.Kuzikana 2.Kusafiri pamoja 3.Kufanya biashara 4.Kufanya ngono 5.Kucheza michezo...
  18. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hichi kipindi ni fursa adhimu ya vuguvugu jipya la vyama vya siasa nchini

    Kwa sisi watafiti, nguzo yetu kubwa ni kugundua chanzo cha tatizo na kulichambua vema, ili kuja na suluhisho. Kwa kilichotokea Octoba 29, japo chanzo chake, kwa nje, inaonekana ni "ujeuri na ubabe wa Chama cha Mapinduzi (CCM)," ila ki uhalisia kabisa, chanzo kikuu, mimi naweza kusema, ni...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Wameua Uhuru wa Vyombo vya Habari, wameua Vyama vya Siasa, wanataka kuua Madhehebu ya Dini na taasisi za Elimu.Tukatae

    Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma. Hakuna chombo cha habari kilicho huru main stream zote zina censorship hadi kwenye mitandao ya kijamii, Tik Talk, IG, Facebook...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha Gen Z kimekuwa na nguvu na mwiba mkubwa kwa mafisadi kwenye mataifa mbalimbali kuliko upinzani wa vyama vya siasa

    Kizazi cha Gen z kimekuwa na nguvu na mwiba mkubwa kwa mafisadi kwenye mataifa mbalimbali kuliko upinzani wa vyama vya siasa. Je, gen z wa Tanzania wanaweza kupindua serikali ya Tanzania? hili ni jibu ambalo linaweza kuwa ndio, kulingana na uchunguzi idadi ya gen z ni zaidi ya asilimia 60% ya...
Back
Top Bottom