vyama vya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

    Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc Upande wangu, i dont think so.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watanzania kwa tabia na mienendo ya baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa leo nimejua kwanini CCM ilijenga vyuo vyake vya Uongozi

    A political leader who behave like anybody that is not a political leader Lack of emotional intelligence and failure to build relationships! Niwatakie mchana usiku mwema
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msajili avitaka vyama vya siasa kuwasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewataka viongozi wa vyama nchini kuhakikisha wagombea katika uchaguzi mkuu wanawasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi, vinginevyo wanaweza kuwekewa pingamizi la kugombea.
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Omary Mjengwa: Vyama vingi vya Tanzania havina siri. Unamueleza Mmarekani Tanzania ipo hivi na hivi ili iweje?

    Wakati akizungumza katika mkutano wa vya viongozi wakuu wa vyama vya siasa wakipatiwa mafunzo ya sheria ya gharama za uchaguzi. MWanadiplomasia na mbobezi wa Itifaki Omary Mjengwa amegusia suala la usiri ambapo ameeleza kuna vyama vya siasa havina siri. === "Vyama vingi Tanzania havina siri...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vyama vya Siasa vyakumbushwa sheria za gharama/bajeti za uchaguzi

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imewakumbusha viongozi wa vyama kuzingatia sheria ya gharama za uchaguzi, ambayo imefanyiwa marekebisho na Bunge mwaka huu. Lengo ni kuepusha viongozi kuwekewa pingamizi au kufikishwa mahakamani kwa makosa ya jinai Maelekezo hayo yametolewa wakati...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Yanga kushitakiwa FIFA na wanaharakati kwa kuvunja Sheria za FIFA zinazikataza vilabu kushiriki siasa za vyama vya siasa

    Hiki ndio kinachoendelea hiko kwenye kurasa za wanaharakati Jamani tuwaandikie FIFA kuhusu ukiukwaji wa kanuni za maadili ya Yanga! Kanuni za FIFA na hata CAF zinakataza kabisa kujihusisha na siasa za vyama! Itume kwa barua pepe ethics@fifa.org Anwani andika: FIFA Ethics Committee...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Inaruhusiwa kuwa mwanachama wa zaidi ya chama kimoja cha siasa?

    Katiba za vyama na sheria ya nchi inasemaje kuhusu mtu kuwa mwanachama wa zaidi ya chama kimoja cha siasa? Wanachadema waliojiunga chaumma, wamejivua uanachama wa chadema au ni wanachama wa vyama vyote?
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 THBUB Yatoa Wito kwa Viongozi wa Dini na vyama vya Siasa Kuepuka Lugha za Uchochezi uchaguzi mkuu 2025

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imewataka wadau wa uchaguzi wakiwemo viongozi wa dini na vyama vya siasa kujiepusha na lugha za matusi, kejeli, ubaguzi na uchochezi, hasa wakati wa kampeni huku akiwasisitiza kutanguliza mbele masilahi ya taifa. Wito huo umetolewa na Makamu...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Onesmo: Vyama vya Siasa tusibezane wala kugombana

    Ndugu. Onesmo ole Bulumwa amezungumza hayo baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza na kutoa salamu kwa wanachama na wajumbe waliofika katika mkutano huo Mlimani City Jijini Dar es salaam. Kwanza kabisa Tunapenda kuwapongeza chama cha ACT kwa uzalendo kwa kuendelea kutambua Sector Binafsi hasa...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Wanachama wa ACT Wazalendo wagomea salamu ya Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa

    NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye Mkutano Maalum wa chama hicho leo, Agosti 6, 2025 alianza kwa kuwasalimia ''Nawasalimu kwa jina la Jumhuri ya Muungano wa Tanzania." mwitikio wake haukuwa vile alivyotarajia.
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vyama vya siasa vyatoa pongezi kwa Tume huru ya uchaguzi

    Soma pia: Vyama vya siasa vyahakikishiwa uwanja sawa Uchaguzi Mkuu 2025 Chanzo: Uchaguzi tv
  12. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Msajili wa vyama vya siasa akiri kupokea barua ya CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu 2025

  13. Z

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusikiliza mahojiano ya Mr Nyanda na Balozi Polepole, Nimegundua Hoja yake ilipo. Katiba ya JMt inasigana na utaratibu wa vyama vya siasa

    https://www.youtube.com/live/SLd-cTx-idU?si=mNjNJacGsstDpqwD Leo ndo nimemwelewa pole pole anachokimaanisha!! Yani katibu ya JMT iliposema kuwa ikiwa makamu wa rais atachukuwa madaraka baada ya rais kufariki ,kwa utaratibu wa chama imara kama CCM ,ilitakiwa kuwepo utaratibu wa kutia Nia Yani...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbatia aitupia lawama nzito Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameibuka hadharani na kutoa lawama nzito dhidi ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, akidai kuwa ilihusika moja kwa moja katika mchakato ‘usio halali’ uliomng'oa chamani yeye pamoja na viongozi wengine wa juu wa chama hicho kupitia...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi, Msajili wa vyama vya Siasa, ulipo huoni Aibu wee Mzee? Tazama CCM wanavyokuumbua , umegeuka kua Muhuni katika Tanzania ya Wasomi!!

    Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa. Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA. Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM, Msajili wa vyama vya siasa wanachekesha

    CCM, MSAJILI wa VYAMA vya SIASA; WANACHEKESHA. Kuna jitihada zinazoendelea kufunika dosari kubwa za kikatiba, kikanuni, na kisiasa katika mchakato wa kumteua mgombea Urais CCM mwaka 2025. Mchakato huo ulikuwa na dosari za msingi na kimantiki‬. ‪Wachambuzi na wapambe wa DOLA wanatumia historia...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasimamizi wa Uchaguzi Mwanza na Mara Watakiwa Kushirikisha Vyama vya Siasa Kikamilifu

    Maafisa na wasimamizi wa uchaguzi katika mikoa ya Mwanza na Mara wametakiwa kuhakikisha wanavishirikisha vyama vya siasa kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi, huku wakizingatia sheria na kuiepuka migogoro inayoweza kuibuka wakati wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Wito...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Ikiwa CCM ilikiuka katiba yake, Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa imechukua hatua gani?

    Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais. Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani? Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe? Wanaionea chadema hata inapokuwa haina...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Barua ya wazi kwa msajili wa vyama vya siasa, na Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi: Mgombea urais wa CCM siyo halali

    Ndugu Msajili na Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi Awali ya yote nawasalimia, na nawatakia majukumu mema ya kazi zenu. Nimechukua fursa hii kuwaandikia barua, kama raia, mzalendo, na mdau wa utawala wa sheria. Kama mnavyofahamu chama cha CCM kimetangaza mgombea wake miezi kadhaa...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA

    Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA. Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni...
Back
Top Bottom