vyama vya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia suala la Mikutano ya Kisiasa ni la Kisheria. Huwezi kuomba na kujipa mwenyewe ulichoomba, bila kukubaliwa na wale uliowaomba

    Kumbe Rais Samia alikuwa na mkutano na kundi fulani la watu! Sikufuatilia aliongea nini, kwa sababu huwa napata taabu sana kufuatilia mikutano ya Wanasiasa iwe wa chama tawala au upinzani. Hata hivyo, kupitia mijadala mbalimbali nikagundua nikakutana na hoja za SSH "hataki" mikutano ya vyama...
  2. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Rais ana uwezo wa kuifuta sheria ya vyama vya siasa (Na. 5 ya 1992) inayoruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa?

    Kama jibu ni ndiyo, Sheria ipi nyingine ana madaraka ya kuifuta bila kushirikisha Bunge?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Shaka atoa somo kwa vyama vya siasa nchini

    "Hakuna chama chochote cha siasa chenye wajibu wala haki ya kumuamrisha Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama au kutoa shindikizo katika maamuzi ya Rais hususani juu ya muda, wakati na namna ya kuwaona Wananchi ndani ya nchi anayoiongoza. Madai ya kuandika barua na...
  4. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Kampeni dhidi ya Diamond Platnumz: Wanaharakati kuweni serious kidogo

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu. Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki. Mi naomba mnifafanulie...
  5. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na uhuru wa vyama vya siasa una raha yake

    Kusema ukweli demokrasia na uhuru wa vyama vya siasa kufanya kazi zake kwa uhuru kuna raha yake. Mama Samia rais wetu, wewe tayari ni rais huna cha kupoteza, huhitaji teuzi wala ajira yeyote. Ajira uliyonayo ni ya juu kabisa, hakuna ajira zaidi ya urais hivyo huna cha kupoteza wala kuogopa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tangaza kuruhusu Mikutano ya vyama vya siasa katika 'open ground', itakusaidia sana

    Hakuna asiyejua kuwa mikutano hii ilipigwa ban kimagumashi na mapolisi kushikilia bango na bado haki hii kikatiba imebamizwa kwa visingizio hivi na vile. Tunahitaji Rais Samia autangazie umma kuwa haki hii ipo wazi na vyama vifanye mikutano yake kwa raha mustarehe bila ya kubugudhiwa, tupo...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi yawataka mawakala wa vyama vya siasa na wasimamizi kuzingatia sheria za Uchaguzi katika Uchaguzi mdogo wa muhambwe, buhigwe na kata 5

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema vyama vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani Kigoma na Uchaguzi wa Udiwani katika kata tano za Tanzania Bara, vina wajibu wa kuweka mawakala kwenye vituo vya kupigia na kujumlisha kura lakini mawakala hao...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

    Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake. Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa? Yohana nauliza kwanini Freeman...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Francis Mutungi na Sisty Nyahyoza waondolewe Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, wametumika kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa

    Maadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko. Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa kwa kuyalinda makundi ya wahalifu , huku akisimamia kugawa ruzuku halali ya Cuf kwa...
  10. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Mustakabali wa vyama vya Siasa Tanzania

    Kama kweli kuna nia ya dhati ya kuwa na demokrasia ya kweli, maslahi ya ruzuku kwenye vyama vya upinzani vingejiweka pembeni na kuwa na chama kimoja au viwili vya upinzani vikibeba agenda au sera za kitaifa. Kushindwa huku na kukimbiwa na watu mnaowakaribisha kunathibitisha political readiness...
  11. JOYOPAPASI

    JamiiForums Tanzania Vyama mfu vya Upinzani kuitoa CCM madarakani haiwezekani na haitatokea milele, ila ikitokea huo ndio mwisho wa Tanzania

    VYAMA MFU VYA UPINZANI KUITOA CCM MADARAKANI HAIWEZEKANI NA HAITATOKEA MILELE, ILA IKITOKEA HUO NDO MWISHO WA TANZANIA....Na Joseph Yona. MbagalaZmaHome yonapavea@gmail.com 0713802226 Kama ingetokea maajabu wananchi wa Tanzania wakafanya maamuzi ya kizwazwa kukitoa madarakani Chama Cha...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 2018

    Kwanini tunajali kuhusu marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa? 1: Marekebisho yanampa Msajili mamlaka kubwa isiyo na mipaka. Kimsingi, marekebisho yanayopendekezwa hayatoi fursa ya ushindani huru kwenye jukwaa la kisiasa. Msajili anateuliwa na Rais, ambaye ni mwenyekiA wa chama kimoja cha...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Umoja wa vyama 10 vya upinzani nchini Tanzania vimefungua kesi Mahakamani Kuu kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa

    Viongozi waandamizi wa vyama mbalimbali vya upinzani leo watazungumza na waandishi wa habari. Watazungumzia maazimio ya #Azimio la Zanzibar. Muda: Saa tano kamili asubuhi Eneo: Makao Makuu ya CHAUMMA, Makumbusho, Dar es salaam. ====== UPDATES; Viongozi Waandamizi wa Vyama mbalimbali vya...
Back
Top Bottom