Kenya 2022 Odinga adhibitiwe, ataleta vurugu

Kenya 2022 General Election

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,223
7,408
Huyu mwamba Hana cha kupoteza, asipodhibitiwa tutaanza kutafuta wasuluhishi wa kimataifa kusuluhisha Mgogoro.

Awekwe chini ya ulinzi mkali akubali kushindwa na kumpongeza Mheshimiwa Dr. Ruto (PhD) kisha aachiwe baada ya Rais mpya kuapishwa.

Pia, Wasisahau kuzima internet mwezi mzima
 
Nyie wabongo acheni kushoboka na Mambo ya Kenya,kura bado zinahesabiwa katika ukumbi wa Bomas

Mpaka hivi Sasa matokeo yaliyodhibitishwa Ni kutoka katika maeneo bunge 149 pekee Kati ya maeneo bunge 290.

Kulingana na jinsi matokeo yalivyo Hadi Sasa Ni kwamba Ruto anaongoza kwa asilimia 51 akifuatwa kwa ukaribu na mzee Odinga kwa asilimia 49.

Mambo bado.
 
Huyu mwamba Hana cha kupoteza, asipodhibitiwa tutaanza kutafuta wasuluhishi wa kimataifa kusuluhisha Mgogoro. Awekwe chini ya ulinzi mkali akubali kushindwa na kumpongeza Mheshimiwa Dr. Ruto (PhD) kisha aachiwe baada ya Rais mpya kuapishwa.
Pia, Wasisahau kuzima internet mwezi mzima
Jambo la Kwanza lazima vurugu itatokea iwe ni nani ataapishwa tena Kenya internet haiwezi zimwa
 
Huyu mwamba Hana cha kupoteza, asipodhibitiwa tutaanza kutafuta wasuluhishi wa kimataifa kusuluhisha Mgogoro. Awekwe chini ya ulinzi mkali akubali kushindwa na kumpongeza Mheshimiwa Dr. Ruto (PhD) kisha aachiwe baada ya Rais mpya kuapishwa.
Pia, Wasisahau kuzima internet mwezi mzima
Maskini watanzania ni misukule
 
Huyu mwamba Hana cha kupoteza, asipodhibitiwa tutaanza kutafuta wasuluhishi wa kimataifa kusuluhisha Mgogoro. Awekwe chini ya ulinzi mkali akubali kushindwa na kumpongeza Mheshimiwa Dr. Ruto (PhD) kisha aachiwe baada ya Rais mpya kuapishwa.
Pia, Wasisahau kuzima internet mwezi mzima
Kafanya nini ?
 
Back
Top Bottom