vodacom

  1. JamiiForums Tanzania Vodacom M-Pesa acheni udokozi wa pesa zetu nitawashitaki

    Hi . Kuna upigaji wa vihela vidogovidogo huko M-pesa wanazani kua sisi ni wajinga hua hatufatilii taarifa za pesa zetu ndogo ndogo zilizoko huko M-pesa Leo nimejitumiakiasi cha shilingi 1,100 kwenye account yangu ya tigopesa pesa ili ninunue kifurushi makato ya huo muamala yalikua 385 hii sio...
  2. JamiiForums Tanzania Vodacom internet huku kwangu inasumbua leo

    Leo internet ya Vodacom kama haiko sawa hivi. Je ni huku kwangu tu au hata huko?
  3. JamiiForums Tanzania Digital Services Executive at Vodacom June, 2022

    Description Role purpose: • Manages all digital products and company’s online channels • Proactively work with both IT and CORPS on improving digital customer touch points • Manage and maintain in-house digital products and platforms. • Ensure compliances on all services under...
  4. JamiiForums Tanzania Vodacom wameanza wizi wa hela za M-PESA

    Juzi asubuhi nilikwenda kwa wakala kutoa pesa kabla ya kuanza mihangaiko ya siku nikawa nimebakiza salio katika simu takribani Tshs.15,000+,,,, Cha ajabu jioni wakati natoka mishe mishe nikawa nataka nijiunge kifurushi cha kuongea na simu nikafanikiwa kujiunga kilikuwa cha Tsh.500. Ujumbe...
  5. JamiiForums Tanzania Territory Manager - Songea at Vodacom

    Description JOB PURPOSE Maximises sales revenue by working through and with distributors, dealers and other partners within assigned territory. Works alongside distributors and staff to carry out all the activities required to achieve set targets. Monitors stock levels both at distributor level...
  6. JamiiForums Tanzania Head of Tax at at VODACOM Tanzania Plc

    Head of Tax Dar Es Salaam, TZA Role Purpose and Key Accountabilities Role purpose: Head of Tax oversees an organization's tax policies and objectives. Monitors reporting and planning to ensure compliance with applicable Tax Laws. Additionally, Head of Tax ensures accuracy of tax returns and...
  7. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu mwingine ajiuzulu Vodacom. Mtandao unaelekea shimoni?

    Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose amejiuzulu nafasi hiyo ambapo atatizimiza miezi nane tangu mtangulizi wake, Hisham Hendi nae ajiuzulu kwenye nafasi hiyo. Sio ishara njema kwa kampuni kubwa kama Vodacom ambayo watu wanaota kuiongoza. Mwaka jana Vodacom ilisitisha...
  8. JamiiForums Tanzania Vodacom kubadili vifurushi vyake

    Nimetumiwa sms na voda sasa hivi, siku chache zijazo vifurushi vyao vitabadilika. Hawajaweka wazi kama wataongeza au watapunguza? Tutarajie nini?
  9. JamiiForums Tanzania Manager: Cyber Prevent & Demand at VODACOM April, 2022

    Role Purpose This role is responsible for effective planning and execution of Cyber security Technologies & Tooling, projects, and operations. This includes identification of security needs (demands) using Capacity growth and trends, coordinating delivery of the needs, and ensuring security...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa makampuni ya Simu, Tigo, Vodacom, Airtell, Halotel etc: Kama mnaweza tutengenezee VIBUBU vya kwenye simu/Mtandao

    My point is this: Tumezoea kuweka hela kwenye VIBUBU vya mbao ambavyo ikifika muda uliojipangia unakibomoa. SASA, ni imani yangu kuwa you can design a programme ambayo mtu anaweza akawa anaweka pesa zake (kama tunavyoweka kwenye M-pesa, Tigo pesa etc) na kuzitoa muda aliopanga ambapo kabla ya...
  11. JamiiForums Tanzania System Admin: IN Ops & Project at Vodacom

    Long Description Role purpose: The System administrator focus on all Management of Charging system application, Database, OS and Infrastructure which also include design and deployments of product, services and Technical projects lead. Administrator has a good understanding of established...
  12. JamiiForums Tanzania Enterprise Architect at Vodacom

    Job Profile Role purpose: The enterprise architect’s responsibilities include improving the current IT infrastructure, optimizing business operations, and setting the direction and approach for integrating information applications and programs. The enterprise architect is also responsible for...
  13. JamiiForums Tanzania TCRA, Vodacom wanatukata 200 kila tuongezapo salio za nini?

    Hii sasa kwangu ni mara ya tatu, Sijawahi kopa Ila nashangaa kila nikiweka salio. Sina huduma yoyote ambayo nimejiunga. Huu ni wizi.
  14. JamiiForums Tanzania Voda mnaboa, mnakera na mnachefua

    Hii ni kama mara ya tatu inanitokea. Mara ya kwanza nilihisi labda nimekosea. Nikasema basi bahati mbaya nimekosea. Yapili tena nikashituka nikasema hapa nimepigwa. Hii ya tatu sasa nimeamini wanachofanya hawa jamaa ni utapeli kama utapeli mwingine. Iko hivi, Kabla sijajiunga na kifurushi huwa...
  15. JamiiForums Tanzania Vodacom hiki mnachokifanya kwa wateja wenu ni uhuni wa hali ya juu sana. Jirekebisheni haraka iwezekanavyo

    Kwa wiki nzima Sasa Voda wamekuwa wakinifanyia Huu uhuni. Sina Deni songesha Wala nipige tafu. Nimeweka Bando la sh elfu 2 Na Mia tano ili nijiunge Na kifurushi cha internet cha siku. By the time namaliza kujiunga naambiwa salio halitoshi. Natazama salio nakuta lipon2400 au 2300 ikiwa Na...
  16. JamiiForums Tanzania Customer Operations Analyst at Vodacom

    Role purpose and Key Accountabilities Role purpose: The Customer Operations Analyst will be responsible in tracking all Backoffice and Call centre projects to ensure sound Business case, timely implementation and evaluation on ROI and Impact of projects delivered. The Analyst will be...
  17. JamiiForums Tanzania Wizi mpya wa Vodacom: Waziri wa Mawasiliano ingilia kati

    Unapata ujumbe huu kwamba tayari umeinganishwa na matandao wa Playinc., na unakatwa ths 200/= kwa siku. Ujumbe uko hivi: "VODACOMLIVE Hongera! Umeunganishwa na Playinc, Tembelea playinc.com/tz bure siku 3 kisha utatozwa Tsh200/siku. Kujiondoa tuma neno ONDOA Playinc1 kwenda 15599" Mtu huna...
  18. JamiiForums Tanzania System Admin – Infrastructure & Mpesa at Vodacom

    Role Purpose The Infrastructure Operations Specialist focuses upon administration of central and/or local data centres, legacy and/or centralized infrastructure, standards and requirements and provides support for the availability of Vodafone IT applications and Data Centre activities and...
  19. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania

    Vodacom Tanzania hamna jinsi mnaweza kupunguza haya maneno mengi mkaweka hata VODA TZ AU VODACOM TZ. HILI JINA LENU REFU MPAKA MUONEKANO WA CM UNAKUWA BOARED. JARIBUNI KUWA KAMA MITANDAO MINGINE JINA FUPI TU. KAMA TIGO TZ, HALOTEL TZ AU AIRTEL TZ
  20. JamiiForums Tanzania Vodacom wamenifanyia ujambazi kwa mara ya pili

    Thread was deleted
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…