Vodacom ni Wezi?

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,422
85,857
Tangu Vodacom Tanzania wapunguze Bundle wamekuwa na tabia ya kutokutuma ujumbe wa kiasi cha bundle ulichonunua, thamani yake na muda wa matumizi! Nimejaribu kuwasiliana nao bila mafanikio.

Jana nikajiunga tena na bundle ya week ya Tzs 3,000 ila sijapokea SMS tena inayoosha thamani, kiwango na muda wa matumizi. Kwa bahati mbaya sana mchana huu wananiambia kifurushi kimeisha!

Na Jana muda mwingi SAna nilikua offline. Kimetokea nini? Nimenunua tena mchana huu issue iko pale pale.

Na hii niliwahi experience Mara kadhaa huko nyuma. Ukinunua kifurushi halafu hupati SMS alert basi ujue hio bundle haina uhai mwingi.

Ukiwapigia ukabahatika kuwapata, sana majibu ya kukaririshwa mno! Hawanaga msaada wowote.

Anyway, nimenunua tena wacha tuendelee kunyanyaswa.
 
Dawa yao ni kuhama tu mkuu. Japo mitandao tote tu wako na shida, Ila Voda wamezidi Sana.
Mpwa nimehama weeeeeeee sasa hawa walikua na nafuu, Tigo wao network yao hadi uwe mjini! Airtel ni ingia toka kama kichaaa
 
Ndani ya week hii we mtu wapili kuwalalamikia voda. Hama mkuu jaribu mtandao mwingine

Anayejua mtandao wenye bando nzuri anijuze ila sio Voda
 
Ndani ya week hii we mtu wapili kuwalalamikia voda. Hama mkuu jaribu mtandao mwingine

Anayejua mtandao wenye bando nzuri anijuze ila sio Voda
Seems wame-out source hii huduma! Kuna kenge mmoja ndio anai-run
 
Kuna siku nimeuliza salio la mb zangu zilizobaki nikiwa nipo data on wakaniambia zimebaki mb 68, nikaona kumbe zitanisukuma, nimeingia fb tu ndan ya dak tano nikaona fb haiendi tena, mm hangaika weeee😂😂😂 nikijua shida itakuwa mtandao mpaka nikarequest internet configuration 😂😂😂, nimeikofim sasa ingia tena inagoma, nikasema ngoja nijarb yutubu. Mwee ngoma ikagoma. Bc akili ikasema we Abeid ebu ulizia salio tena😁, nilichokiona nikabaki nacheka tu ila nikajiambia "akufukuzae....." Saizi nipo zang halotel ila yule bwana bado nammc kwa kasi tu😂😂😂
 
hii Wizara ya habari huwa najiuliza ina kazi gani! Ujinga huu wa kudumu huwezi ufanya kwa walioendelea. Akina msiba hawana kitu wanadaiwa kulipa fidia 6b/- na wewe kusanya ushahidi uende kushitaki dai 6t/- kama fidia wanaweza kukulipa. Haya ndiyo maisha ya watu weusi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom