Vodacom wamenifanyia ujambazi kwa mara ya pili

Na kama mpo humu vodacom taarifa iwafikie vizuri

Yani naweka vocha ya buku jero kujiunga kifurushi cha buku jero halaf mnaniambia sina salio la kutosha??

Tunasaidiana kupata hela au?
Sasa nilichofanyanikakopa nipige tafu 250/= nikaongezea kununua kifurushi chao cha "kijambazi"

Halaf mtaona kama hio tafu yenu nitawalipa
Utailipa tu, labda uache kutumia hiyo line.
Maana hata ukijiunga kupitia Mpesa wanakata.
 
Andika TAPELI Kwenda no. *102#
Pole, inawezekana kuna huduma umejiunga ndo maana ukiongeza salio wanakata kiasi kidogo. jaribu kuwapigia simu wakuambie shida ni nini
Hapana
ndio kamchezo kao
Kujiunga kifurushi cha 500 mfano hadi uwe na salio zaidi ya 500

Nikiangalia salio ni 1500 nikijiunga hawataki wanasema salio halitoshi
 
Andika bango kubwa kabisa likisomeka:
UTAPELI UTAPELI UTAPELI UTAPELI
UTAPELI UTAPELI UTAPELI UTAPELI
vodacom wamenipiga salio langu

🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Pole sana kwa hiyo kadhia Bossi...
Hata mimi nilikua muhanga wa hiyo kitu kwa muda mrefu ila nlifata hatua hizi hapa chini nikajitoa kifungoni
hivyo nimeona nisiwe mchoyo kukutoa kifungoni maana watumiaji wa Vodacom Tanzania sio watu wa kulalamikalalamika hovyo tunajiweza

VODACOM - POWER TO YOU
Mtandao Unaoongoza Tanzania

Screenshot_20211218-134601.jpg
 
Ujinga wa TCRA ni pale wanapowatumia hawa hawa voda kufikisha ujumbe kwa raia kua waepuke utapeli at the same time tunakuja kutapeliwa na hao hao wamiliki wa mitandao
 
Ujinga wa TCRA ni pale wanapowatumia hawa hawa voda kufikisha ujumbe kwa raia kua waepuke utapeli at the same time tunakuja kutapeliwa na hao hao wamiliki wa mitandao
Voda sio matapeli Bossi, it does depend na the way unavotumia laini yako. Nakumbuka zamani nlikua na Imani kama yako juu ya huu mtandao but now mambo ni bullbull

Kwa utafiti wangu usio rasmi nmegundua wengi wa watu wanaolalamikia hii mitandao ni either wanakopa na hawalipi deni maana voda ndo mtandao unaoongoza kwa kukopesha wateja wake..

Imagine mtu kakopa nipige tafu, kasongesha muamala, kakopa mpawa na hela zenyewe kwake ni za kusikilizia au kudownload unategemea nn.

Tukiweka kando mambo ya technical defects kwenye masuala mazima ya online transactions ambazo pia ni Minor sana ambapo mteja ndo anakuwa na makosa mostly kwa kukosa umakini, Vodacom unabakia kuwa mtandao Bora sana Hapa nchini afu Tigo wanafuata maana mitandao mingine mi siijui
 
Na kama mpo humu vodacom taarifa iwafikie vizuri

Yani naweka vocha ya buku jero kujiunga kifurushi cha buku jero halaf mnaniambia sina salio la kutosha??

Tunasaidiana kupata hela au?
Sasa nilichofanyanikakopa nipige tafu 250/= nikaongezea kununua kifurushi chao cha "kijambazi"

Halaf mtaona kama hio tafu yenu nitawalipa
Mradi wa chama cha majambazi
 
Voda sio matapeli Bossi, it does depend na the way unavotumia laini yako. Nakumbuka zamani nlikua na Imani kama yako juu ya huu mtandao but now mambo ni bullbull

Kwa utafiti wangu usio rasmi nmegundua wengi wa watu wanaolalamikia hii mitandao ni either wanakopa na hawalipi deni maana voda ndo mtandao unaoongoza kwa kukopesha wateja wake..

Imagine mtu kakopa nipige tafu, kasongesha muamala, kakopa mpawa na hela zenyewe kwake ni za kusikilizia au kudownload unategemea nn.

Tukiweka kando mambo ya technical defects kwenye masuala mazima ya online transactions ambazo pia ni Minor sana ambapo mteja ndo anakuwa na makosa mostly kwa kukosa umakini, Vodacom unabakia kuwa mtandao Bora sana Hapa nchini afu Tigo wanafuata maana mitandao mingine mi siijui
Voda ni matapeli kwasababu hizi zifuatazo

Mwezi novemba nilipokea meseji kutoka vodacom ofa ikiniambia nimepata ofa ya hii hapa chini, angalia muda wa hiyo meseji hapo ni saa 6 na dakika 4

Screenshot_20211218-141411.png

Wakati nikiendelea kutabasamu na kufikiria ni namna gani nimeianza siku kwa zari nikastukizwa na meseji hii ya pili
Screenshot_20211218-141513.png

Angalia hapo hizo meseji zimepishana dakika 20, nikasema leo mbona kama dilwale sherehe ya kihindi mazari hayaniishi

Lakini kumbe ilikua bosheni hizo meseji zilikua ni prank tu

Sasa kwa mwenendo huo wanaepukaje kuitwa matapeli?
 
Back
Top Bottom