vodacom tanzania

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera akataa Uamuzi wa Mahakama, apanga kukata Rufaa dhidi ya Vodacom Tanzania

    Baada ya Mahakama Kuu Masjala ndogo Dar es Salaam kuifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited, ameibuka na kudai kuwa amepanga kukata rufaa kwenye Mahakama ya Rufani Tanzania baada ya...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaifuta kesi ya Kabendera dhidi ya Vodacom

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited. Uamuzi huo wa kuifuata kesi hiyo utolewa leo Jumanne, Septemba 10, 2024 na Naibu Msajili wa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kutekwa mwanahabari Kabendera, Mahakama kumaliza ubishi wa uhalali wake leo

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumanne, Septemba 10, 2024 inatarajiwa kutoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowekwa na kampuni ya huduma za mawasiliano kwa simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited katika kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwanahabari, Erick Kabendera...
  4. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania yatangaza washindi wa droo ya sita ya kampeni yani balaa

    Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania Plc, Joseph Sayi (Kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 kwa mshindi wa mwezi wa kampeni ya Ni Balaa! Amina Gwila mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha Tawi la Dodoma mwishoni mwa wiki katika hafla iliyofanyika duka la Vodacom jijini...
  5. GEBA2013

    JamiiForums Tanzania KERO Vodacom punguzeni wizi na utapeli

    Vodacom mmekuwa wezi na matapeli, mnachukua pesa za watu kwenye M-pesa na muda wa maongezi kitapeli. Mara nyingi nimevumilia inatosha. Hii laini kama sijachoma moto basi sitatumia tena. Utaratibu wa kupiga simu huduma kwa wateja ili kuongea na wahudumu mmeondoa. VODACOM MUWE NA HURUMA...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Vodacom Tanzania imeahidi kuendelea kuunga mkono juhudi za ubunifu wa aina mbalimbali unaofanywa nchini Tanzania

    Vodacom yaahidi kuwekeza zaidi katika maswala ya uvumbuzi Kampuni ya Vodacom Tanzania imeahidi kuendelea kuunga mkono juhudi za ubunifu wa aina mbalimbali unaofanywa nchini Tanzania. Ahadi hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Phillipe Besiimire Jijini...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania yainunua kampuni ya Smile kwa Tsh. Bilioni 68.8 ili kuongeza usambazaji wa mtandao wa 4G na 5G

    Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC (VTPLC), imekamilisha ununuzi wa Smile Communication Tanzania Limited, kampuni ndogo ya simu inayoshindana, bila deni au fedha taslimu, kwa TZS 68.8 bilioni ($27.4 milioni), ili kusaidia mipango yake ya kuzindua huduma za mtandao wa 4G na 5G zinazoshindana...
  8. jonas amos

    JamiiForums Tanzania VODACOM wamesema, dakika zilizobaki zinapaswa kutumika usiku kuanzia 5.59 mpaka 11.59 Alfajiri

    Habari, ya kutwa mwanzo wa juma kabisa siku ya hangover kazini za weekend nzima Mimi kwa majina ndo haya haya mnayoyaona Nimekutana na changamoto ya wizi wa dakika kutoka mtandao wa vodacom Nilijiunga kifurushi cha wiki cheka ya tsh 30,00 ambapo hupata dakika zenye nchanganuo wa matumiz...
  9. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Hakuna namna naweza kuwashtaki Vodacom Tanzania kwa kuchelewesha muamala!?

    Wakuu, hivi kisheria hii imekaaje!? Kuna uwezekano wa kuwafungulia shauri mahakanani hawa watoa Huduma kama Vodacom Tanzania kwa tatizo la kuchelewesha muamala wangu wa MUHIMU!? Haya makampuni yamekuwa yakifanya kazi kwa mazoea sana... na kufanya wanachojisikia... Hivi hakuna sheria ya wajibu...
  10. myyola

    JamiiForums Tanzania App ya Tigopesa ni best kuliko App zingine za mitandao ya simu

    Kwanini app ya tigopesa ni nzuri kwasababu ipo security pia ina uwezo kulunch bila Internet (km huna)tofauti na wengine mpaka uwe na bando. Pia unaweza set badala kufungulia password unatumia fingerprint au face id kutokana device yako. Nini maoni yako
  11. Trab na Trat

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania ni kielelezo cha huduma mbovu za mawasiliano

    Hawa watu hawajali kabisa wateja wao hasa wanaoishi kwenye maeneo ya kipato cha chini. Kuanzia Jumamosi Jioni, huduma za internet zilishuka ghafla katika eneo la Chigongwe - Halmashauri ya Dodoma Jiji. Mpaka hivi leo huduma za internet zinasua sua na taarifa wanazo ila wameamua kupuuza...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu alipie makato ya kuhamisha fedha wakati muamala umefeli?

    Unatuma pesa kwenda mtandao mwingine au benki halafu muamala unafeli, pesa uliyokua unatuma inarudishwa kwako, lakini tozo na makato kutoka mtandao wa simu hazirudishwi! Kwanini pesa ya makato ya mitandao ya simu pamoja na tozo hazirudishwi? Kwanini ukatwe tozo na makato kutoka mtandao wa simu...
  13. UNSPECIFIED

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania mmeniharibia sana na M-Pesa yenu

    Tarehe 29/12/2022 saa tano usiku nilifanya muamala kutoka simu yangu kwenda akaunti ya benki NMB kiasi Cha 2.25m Cha kushangaza mpaka Leo hii 31/12/2022 saa saba usiku ikiwa takribani saa 27 toka nifanye muamala bado pesa haijafika NMB wala kwangu haijarudi kisingizio ni mtandao. Nimeumizwa...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania kusambaza huduma ya M-PESA nchi za SADC

    Watumiaji walio na M-Pesa ya Vodacom sasa wataweza kutuma na kupokea pesa kwa urahisi kwa nchi nane mpya zilizo na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (Sadc), kutokana na upanuzi wa jalada la mfumo wa uhamishaji pesa wa kimataifa (IMT). Nchi mpya zitakazotumika katika upanuzi huo ni...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu na huduma stahiki kwa wananchi

    Kuna kitu inabidi tujiulize kuhusu makampuni ya simu na huduma tunazostahili kupata kutoka kwao, huduma ambazo ni haki yetu kupata na wala hatupewi msaada. Shida inatokea pale watanzania wapoona makampuni haya ya simu yanatuhurumia kutupatia huduma hizi na kwamba bila ya huruma yao basi huduma...
  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Non Executive Director at VODACOM Tanzania Plc

    Non Executive Director for Vodacom Tanzania PLC Dar es Salaam, Dar es Salam, Tanzania, United Republic of Overview Description Sitholizwe Mdlalose appointed as a Non-Executive Director The Company announced on 10 May 2022 that Sitholizwe Mdlalose, the Company’s Managing Director will be...
  17. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Maombi Kwa Vodacom Tanzania PLC

    Habari za Usiku mabibi na Mabwana... Niende kwenye Hoja.. VODACOM mmetupatia huduma ya M pesa Visa card aisee mmeturahisishia Usumbufu wa Mabenki ya ndani haswa, ulikua ukienda pale CRDB haki ya mama ukitaka kujiunga Online Banking unatazamwa mara mbili mbili, anachukua card yako anakwambia...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Head of Tax at at VODACOM Tanzania Plc

    Head of Tax Dar Es Salaam, TZA Role Purpose and Key Accountabilities Role purpose: Head of Tax oversees an organization's tax policies and objectives. Monitors reporting and planning to ensure compliance with applicable Tax Laws. Additionally, Head of Tax ensures accuracy of tax returns and...
  19. SALADY

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania

    Vodacom Tanzania hamna jinsi mnaweza kupunguza haya maneno mengi mkaweka hata VODA TZ AU VODACOM TZ. HILI JINA LENU REFU MPAKA MUONEKANO WA CM UNAKUWA BOARED. JARIBUNI KUWA KAMA MITANDAO MINGINE JINA FUPI TU. KAMA TIGO TZ, HALOTEL TZ AU AIRTEL TZ
  20. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Vodacom Nitawashtaki

    Leo nimechafukwa kupita maelezo! Hivi nyie Vodacom Tanzania kwanini mnaniibia? Kwanini mnaniunga na huduma bila ridhaa yangu na kuanza kufyeka salio langu? Cha kusikitisha nilipowapigia watoa huduma wenu (customer care) wanasema eti nilijiunga na huduma inaitwa SOKA LETU, jamani Vodacom...
Back
Top Bottom