vodacom tanzania

  1. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya

    Wananzengo na members wote JF na nje ya JF, yatupasa kupaza sauti kukinzana na utaratibu huu mpya wa vifurushi huu utakandamiza masikini. Haiwezekani vifurushi vipande hivyo. Inaonekana hayo si mabadiliko bali ni ukandamizaji. Serikali lione hili. SAUTI YA WATANZANIA
  2. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Vodacom, huu wema umeanza lini?

    Vodacom, huu wema umeanza lini? Leo nimeona push menu za USSD, zikiniuliza na hatimaye kuniwezesha kujitoa kwenye matumizi ya salio kulipia huduma za mtandao wa intaneti kutoka kwenye salio la kawaida. Kwa hiyo kuanzia leo, hata bando la GB likikata, salio la kawaida lililopo halitaguswa...
  3. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Kwanini mnataka kunisitishia huduma ya kukopa M-PAWA halafu tena mnaniuliza kama ninahitaji mkopo?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
  4. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa TPB na Vodacom Tanzania kwa huduma ya M-Koba

    Pongezi nyingi kwa TPB na Vodacom Tanzania kwa huduma maridhawa ya M-Koba. Nimefurahi kukuta sasa mtu mwenye laini ya simu ya mtandao wowote anaweza kuwa mwanachama wa M-Koba. Mbona kimyakimya? Hili ni jambo kubwa sana. Lilipaswa kuzinduliwa kwa mashamsham yote. Fursa ya Kuboresha: Wekeni...
  5. E

    JamiiForums Tanzania TCRA Tanzania kwa haya yanayofanywa na kampuni ya Vodacom Tanzania kwa wateja wanaotumia simu janja yako sawa?

    TCRA tanzania, naomba mnisaidie kujua kama mambo yanayofanywa na kampuni ya simu ya vodacom tanzania nisahii! Nakama nisahii mtupe ufafanuzi, kama siyo sahihi mkomeshe jambo hili na muwaagize warudishe gharama tulizotumia katika huduma ambayo kimsingi ni haki kwa mteja kuipata bila gharama...
  6. Vodacom Tanzania

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
  7. Elon Mzebuluni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA TABLET inauzwa

    Jipatie tablet ya vodafone vfd 1100 iko katika hali nzuri mno,haina shida yeyote ni nzima kabisa kama unavyoiona kwenye picha, inakwenda kwa bei ya 100,000 mazungumzo yapo. Napatikana Mbeya nicheki kwa 0767142928 karibu tufanye biashara.
  8. dubu

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wengine bodi ya Vodacom Tanzania watangaza kujiuzulu

    Leo Jumatatu Desemba 23, 2019 Kampuni ya Vodacom Tanzania imetangaza kujiuzulu kwa wakurugenzi wawili Andries Delport na Till Streichert kuanzia Mei na Juni 2020. Wakurugenzi wawili wa bodi ya kampuni ya Vodacom Tanzania; Andries Delport na Till Streichert wametangaza kujiuzulu. Tangazo...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Manager: Resourcing and Development at Vodacom Tanzania

    Position Manager: Resourcing and Development - HRLDOE Role purpose: Delivering an employee experience that unlocks personal growth & business performance by creating a strong community that everyone is proud to be part of. Responsible for acquiring and developing skills and capabilities...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

    NAYASHITAKI MAKAMPUNI MANNE YA SIMU. BASHIR YAKUB, Wakili. 0714047241 Naishitaki Tigo, Airtel, Vodacom na Halotel. Kwa mujibu ya Sheria Namba 12/2003 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania mashtaka ya aina hii natakiwa kuyaandikia makampuni hayo taarifa kuyataka yarekebishe ndani ya siku 30...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania New Job Vacancies at Vodacom Tanzania, Administrator: M-PESA Agents | Deadline: 01st November, 2019

    Jobs in Tanzania: New Job Vacancies at VODACOM Tanzania, 2019 AJIRA TANZANIA 2019 / NAFASI ZA KAZI 2019 Position: Administrator: M-PESA Agents - MPESAN JOB PURPOSE The M-PESA Agent Administrator will be responsible to assist the M-PESA support Managers deliver against M-PESA revenue targets...
  12. hidemyid2019

    JamiiForums Tanzania Vodacom wamevujisha taarifa zangu(?) - Kuweni makini na matumizi yenu ya Simu

    Kwanza kabisa naomba kuwasalimu wote, Baada ya hapo kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba kueleza jinsi ilivyokuwa hadi mimi kufikia hatua ya kusema kuwa VodaCom wamevujisha taarifa zangu za mawasiliano Leo majira ya saa nane mchana, niliwasiliana na mwenye nyumba wangu kuhusu tatizo la...
  13. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Bilionea Rostam Aziz amemalizana na Vodacom Tanzania (Auza hisa zote kwa Vodacom SA)

    Tanzanian Tycoon Rostam Aziz Sells Last Tranche Of Vodacom Shares For $220 Million Tajiri Kongwe nchini Tanzania Rostam Aziz, Hatimaye amemalizia Ngwe ya Mwisho ya Mauzo fungu la mwisho la Hisa zake za Vodacom Tanzania kwa kuwauzia Vodacom South Africa. Kwa Mujibu wa report kutoka Citizen...
  14. moto ya mbongo

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania pays $2.3m settlement to free employees

    Vodacom's Tanzanian unit said it paid a settlement of 5.3 billion shillings ($2.3 million) for the release of five employees charged with depriving the government of revenue. The state said it didn’t receive more than 11 billion shillings from Vodacom Tanzania due to irregularities that the...
  15. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania yapata CEO Mpya, Hisham Hendi raia wa Misri

    Waafrika alieturoga alituweza sana. Mwaka jana Vodacom ikateua raia mwanamama mmoja kutoka Kenya kuja kua mkurugenzi wake, maneno yakawa maneno kua kwani tumekosa mtanzania wa kushika hizo nafasi na mambo kede kede, serikali ikamnyima kibali cha kazi. Dada wa watu akaendelea na maisha yake huko...
Back
Top Bottom