vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mahusuano mabaya: Viongozi Masasi Mkoani Mtwara kaeni mjipange vizuri

    Katika hali ya kipekee leo Rais katika zuara yake Masasi Mkoani Mtwara amepokea kero mbalimbali lakini kero hii ya mahusiano amewataka viongozi wakae. Ni kweli zipo kero nyingi lakini kero inapofikishwa kwa Rais inapata uzito. Kero hii inaonesha bado tuna safari ndefu sana katika utekelezaji...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Unafanya Vizuri so far Don't Be Tempted!

    Habari za muda wapenzi wa Jamii Forums. Nimeona na mimi nitoe kidogo maoni yangu ya utawala awamu hii ya 6 chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kwa tathmini fupi katika kipindi hiki cha muda wa miaka hii miwili naona anakwenda vizuri japo kasoro ndogo ndogo hazikosekani. Anafanya mambo...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke anafutwa machozi kwa Pesa siyo leso

    Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!. Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute machozi nani? Leo sina mengi,nadhani ujumbe umefika. Sina muda wa kuandika nina muda wa kutumia pesa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkandarasi barabara ya Itoni- Lusitu (Njombe) adaiwa kuwa na mpango kutahatarisha mito na maisha ya wananchi

    Kwa habari nilizozipata nikuwa ili kupunguza ghrama za ujenzi mkandarasi anayejenga barabara ya ITONI- LUSITU kwenye eneo la Kitulila anafanya MPANGO wa Kuchepusha Barabara ambako ni karibu sana na vyanzo vya maji na kuacha barabara kuu ambayo Haina shina kwa kigezo cha kupunguza ghrama za...
  5. JamiiForums Tanzania Ukraine wapata wapenya mji wa Tokmak, mapigo ya counteroffensive yanaendelea vizuri

    Kuna sehemu nimeona Putin amelazimika kuita kikao cha ghafla maana haimuingii akilini namna wanajeshi wake wanaachia maeneo na kuikimbia moto wa Ukraine.....yaani haelewi ukifanya mchanganyiko wa storm shadow, cluster bombs na HIMARS haviwaachi wanajeshi salama..... US officials told CBS News...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Taa ya kuongozea magari Kinondoni Biafra inakaribia kuanguka, kodi kubwa tunazolipa zitumike vizuri!

    Wakuu, Hizi ni taa zipo Kinondoni Biafra, Dar. Moja imejishikilia vizuri wakati nyingine inakaribia kuanguka. Naamini kufanyiwa maboresho sasa ni bora na itakuwa gharama nafuu kuliko kusubiri ianguke iharibike zaidi. Kodi zetu ndio zinawezesha ukarabati huo kufanyika na kama ikiachwa ikaanguka...
  7. JamiiForums Tanzania Siyo siri Rais Samia alianza vizuri, sasa analikoroga

    Baada ya kipindi cha Magufuli Awamu ya Tano, alipoingia mama Samia , wengi tulivuta pumzi ya uafadhali kisiasa. Pamoja na kuwa mwana CCM, Awamu ya Tano iliyokuwa a One Man Show, kila mtu alikula mboko. Sasa tunaona mambo yanataka kujirudia tena. Power has gone to the head, mama hasikilizi...
  8. JamiiForums Tanzania Kweli vizuri gharama, MaDJ ni wengi kuliko Wasanii waimbaji kwenye tamasha la Simba Day 2023

    Simba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa. Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man, na John Makini. Wale ambao kinachowapeleka ni wasanii basi imekula kwao, kiingilio chako hakitoshi.
  9. JamiiForums Tanzania Anayefahamu sifa za mabinti wa Kinyaturu

    jaman wanaMMU naombeni msaada wenu kwa anayejua sifa za mabinti wa kinyaturu atiririke hapa kabla sijafanya maamuzi magumu
  10. JamiiForums Tanzania Sehemu za Massage ziangaliwe kwa umakini mkubwa

    Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye. Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba...
  11. JamiiForums Tanzania Hata kama tulipigwa huko ICSID Mwangakala alituwakilisha vizuri

    Mr. Andrew A. Mwangakala Ag. Assistant Commissioner -Financial Modeling
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kayataka mwenyewe, alikuwa ameanza vizuri tu

    Siasa za mivutano ‘Confrontational Politics’ aliziweza Mwendazake, sidhani kama Rais Samia ataziweza. Samia alikuja na hoja ya ‘Maridhiano’, hoja ambayo ilipokelewa vizuri na pande zote ingawa kwa shingo upande, baadhi hawakufurahishwa. Kwa kiasi kikubwa siasa za vyama vya Upinzani hasa...
  13. JamiiForums Tanzania KWELI Maharage mekundu yenye umbo kama figo yasipopikwa vizuri huweza kuwa sumu

    Wakuu kinachosemwa juu ya sumu kwenye maharage mekundu ni kweli? Nimeona machapisho mtandaoni kuwa maharage mekundu ni hatari kwa afya zetu nikapata hofu ukizingatia maharage ndio mboga kuu kwetu wengi. Msaada wa kujua ukweli wa jambo hili.
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa: Tukipata muwekezaji mahiri bandarini, 67% ya bajeti itatoka bandari ya Dar na kuacha kutembeza bakuli

    Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar. Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Pengine Unamsikia tu Shetani Juu juu. Humfahamu Vizuri na Unasema ni Adui Yako

    Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako. Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake? Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s 0743781910 Kamwe Usimfananishe shetani na majini , mapepo , mizimu wachawi n.k. Ambao una uwezo wa kufanya nao vita kirahisi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Pengine Unamsikia tu Shetani Juujuu. Humfahamu vizuri na unasema ni adui yako

    Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako. Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake? Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s 0743781910 Kamwe Usimfananishe shetani na majini , mapepo , mizimu wachawi n.k. Ambao una uwezo wa kufanya nao vita kirahisi...
  17. JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Wabunge wa CCM tuko vizuri kichwani, tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu

    Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Watanzania hawajaridhika na uwekezaji wa bandari, serikali isione aibu kuachana nao

    Mzee Butiku anasema kwa namna kelele zilivyo nyingi kuhusu suala la bandari serikali Ina namna mbili tu.. 1. Kiheshimu hofu na maoni ya wananchi kwamba hawajaridhika na suala hili, au 2. Kuwapuuza wananchi na kuendeleza na suala hili. Lakini wapime madhara ya kila uamuzi watakaoifanya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Simba na Azam zisipofanya vizuri ZICHEKWE

    Nguvu kubwa ya kumtoa Feisal kwa fitina pale Yanga na usajili mkubwa wa wachezaji wa nje basi tunategemea Azam kuchukuwa kombe la ligi kuu(NBC) , Kombe la Shirikisho la Azam . Simba kwa usajili wa wachezaji wa nje walioufanya kwa vibe na mbwembwe na jinsi MNAVYOJIAPIZA KUWA HAKUNA KAMA SIMBA...
  20. JamiiForums Tanzania Van der Sar avuja damu kwenye ubongo, alazwa ICU. Inaelezwa anaendelea vizuri

    Golikipa wa zamani wa Manchester United, Edwin van der Sar amepata tatizo la kuvuja damu kwenye ubongo na yuko katika chumba cha Wagonjwa Mahututi nchini Croatia Taarifa iliyotolewa na Klabu ya Ajax ambapo Van der Sar alikuwa anahudumu kama Mtendaji Mkuu baada ya kustaafu soka, imesema nguli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…