viwanja

  1. JamiiForums Tanzania Plot4Sale VIWANJA KILUVYA MADUKANI JIRANI NA SHULE YA MSINGI TONDORONI

    MRADI MPYA WA VIWANJA – KILUVYA MADUKANI! 📍 Eneo: Kiluvya Madukani(Kwa sumaye) 🏫 Karibu na Shule ya Msingi Tondoroni 🛣️ Umbali wa takribani KM 4 kutoka Morogoro Road 📐 Ukubwa: Mita 20 × 20 💰 Bei: TSh Milioni 9 TU kwa kiwanja ✅ Mtaa mzuri na unaojengwa kisasa ✅ Eneo zuri kwa kujenga nyumba au...
  2. JamiiForums Tanzania Wahitaji wa vyumba vya kupanga,nyumba na viwanja bei rahisi maeneo ya ukonga,majohe na chanika,pitia hapa.

    Je wewe unahitaji vyumba vya kupanga bei rahisi?,vyumba vipo chumba kimoja kunzia Tsh25000/= , vyumba viwili kunzia Tsh50000/= na nyumba nzima kuanzia Tsh150000/=,na upande wa nyumba zinazouzwa pagale ni kuanzia Tsh8000,000/= na nyumba nzima kuanzia Tsh25000,000/= kuendelea na upande wa viwanja...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Ubungo Kibangu tunadai hati za viwanja, Manispaa ya Ubungo inatuzungusha

    Wananchi tulinunua viwanja katika eneo la Ubungo Kibangu Jeshini mwaka 2020, wakati Jeshi lilipokuwa linaweka mpaka kati ya maeneo ya wananchi na eneo la Jeshi, Kikosi Na. 671. Katika zoezi hilo la upimaji na uwekaji wa mipaka, vilipatikana viwanja kadhaa ambavyo vilifanyiwa demarcation na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wizara ya ardhi mtusaidie! Madalali wamegeuza bei za viwanja kuwa janga la kitaifa kwa bei zisizo halisi

    Mimi ni mmoja wa Watanzania wa kawaida ambao tunahangaika usiku na mchana, kwa juhudi na kipato chetu kidogo, ili angalau tuweze kumiliki kipande cha ardhi na kujenga makazi kwa ajili ya familia zetu. Hata hivyo, hali ilivyo sasa mtaani, kumiliki kiwanja kumeanza kuwa ndoto inayozidi kuwa ngumu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwekezaji kachukua viwanja vyangu vinne Kijiji Cha Msufini Kidete – Mkuranga, Pwani, kila ninapoenda hakuna msaada

    Mnamo Desemba 7, 2022, nilifanya uamuzi wa kuwekeza kwenye ardhi kwa kununua shamba lililopo Kijiji cha Msufini Kidete, Kata ya Mbezi, Wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Ununuzi huu haukuwa wa mitaani tu; nilifuata taratibu zote za kisheria na za kiserikali. Nilisaini mkataba halali mbele ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Nchi yeti bado haina uwezo wa kujenga uwanja wa kila mchezo, Viwanja vyetu tunavyojenga ni Olimpiki{ Kila mchezo uwezo kuchezwa}

  7. JamiiForums Tanzania MFUMO WA e-ARDHI UNARAHISISHA HUDUMA ZA ARDHI, UNAFUNGA MIANYA YA KERO ZA VIWANJA

    ★Wizara yaweka lengo la kufikisha mfumo huo katika mikoa yote ifikapo 2027 Serikali imeongeza kasi ya matumizi ya mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za ardhi na hati miliki, huku ikilenga kuufikisha mfumo huo katika mikoa yote nchini ifikapo mwaka 2027...
  8. JamiiForums Tanzania Viwanja viwili vinauzwa Kigamboni Tundwi

    Viwanja Viwili Vinauzwa. Mahali: Kigamboni Tundwi Songani. -Vipo km 20 kutoka Kibada, Mita 200 kutoka barabara kuu. -Kiwanja namba 509,510 vyote kwa pamoja vinauzwa. Ukubwa wa Eneo: SQM 1378 na SQM 1449. Bei: Tzs Milioni 35 (Vyote Viwili). Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama...
  9. JamiiForums Tanzania Viwanja 14 vinauzwa Msalato karibu na Uwanja wa Ndege Mpya Dodoma

    Habarini, kama mlivyosoma Viwanja 14 vipo pamoja na vinamilikiwa na mtu mmoja vinauzwa... na kila kimoja kina Sqm 800 vina Hati na vinapatikana karibu na uwanja wa ndege mpya wa Dodoma, ni sehemu nzuri kwa makazi hata uwekezaji pia maana vipo karibu na Uwanja wa Ndege mpya. Ukivichukua vyote...
  10. JamiiForums Tanzania Viwanja Sasa ni Kwa bei ya ofa. Milioni Moja tu(1,000,000/=)

    Habari ya leo ndugu zangu....! Ninaendelea kiwashukru wote mnaoniunga mkono katika shughuli hii.Wengine Kwa faraja ya maneno na wengine Kwa kununua viwanja. Ahsante sana Kwa wale waliofika na kutembelea site zetu pia,hata kama hukupata nafasi ya kununua Kwa wakati huo,Nina Imani Kuna siku...
  11. JamiiForums Tanzania Viwanja vi2 (sqm2400,2100)vinauzwa vikonje dodoma

    Habari zenu wakuu!! Viwanja vipo 2 vimefatana vinauzwa…. 1.sqm2400..2.sqm2100 jumla sqm4500.. Bei ni 19m kwakila kimoja Vipo dodoma (vikonje) kutoka makao makuu ya tbc ni km 3 na kutoka dar es salaam road ni km 6…. Document zote zipo (prosess ya hati iko ardhi tayari )inasubiliwa control no tu...
  12. JamiiForums Tanzania Mnaonunua viwanja Tausi, Uwa mnafanya utaratibu gani kwenda kuona kiwanja?

    Habari Wadau Naomba kujua uwa mnachukua hatua gani za kwenda kuona kiwanja kabla ya kununua au baada ya kununua katika site ya Tausi. Je unaenda na Afisa ardhi au inakuwaje, maana ramani ya Tausi haiwezi kukupa direction nzuri mpaka kwenda kukiona kiwanja hususani kwenye maeneo ambayo bado ni...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 1, 2026

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 1, 2026.
  14. JamiiForums Tanzania NDEGE KAMA HIZI BOEING HURUKA FUTI 34,000 JUU YA USAWA WA BAHARI,b NI SAWA NA VIWANJAVYA SOKA KARIBU 100!

    Kuna kitu cha kushangaza sana kuhusu safari za ndege ambacho wengi wetu hatukifikirii. Ndege kubwa za abiria kama Boeing 737 zinaweza kusafiri katika mwinuko wa karibu futi 34,000 (34,000 ft) kutoka usawa wa bahari. Lakini futi 34,000 ni kiasi gani kwa lugha tunayoielewa vizuri? 34,000 ft =...
  15. JamiiForums Tanzania Je haiwezekani katika bwawa la rufiji wakapandikizwa sato?

    Ili watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?... Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada, yaani waishi katika misingi ya asili, je linawezekana? #Wajuzi mtujuze! -SATO -SANGARA
  16. JamiiForums Tanzania Mwigulu aagiza kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vya AFCON iongezeke, ataka Wakandarasi kukamilisha mikataba ya Wafanyakazi

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vitakavyotumika katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ili vikamilike kwa wakati na kukidhi viwango vinavyotakiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Amesema kazi hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa kibada na kisarawe ii-kigamboni

    Kibada(1.4km kutokea kibada centre) Maji na umeme tayari,Barabara inapitika mda wote Ukubwa wa Eneo: Sqm 580 Nyaraka: Hatimiliki Bei: Tzs Milioni 20.3 Vumilia ukooni-Kisarawe II(2km kutokea DSM zoo) Maji na umeme tayari,Barabara inapitika mda wote Ukubwa wa Eneo: Sqm 785 Nyaraka: Hatimiliki...
  18. JamiiForums Tanzania VIWANJA NI BEI GANI ?

    kuna mtu ZAMANI alikuwa na hela akafilisika.,sasa akanitafuta na kuuliza kama nataka kiwanja. Akaniambia niulize bei ni mwambie. Sasa kabla sijashika pesa siwezi kwenda kuangalia viwanja.. Kwa maeneo ya mbezi mpaka kibaha.naweza pata kiwanja kwa bei Gani.kisiwe bei sana. Huyu mtu namuona...
  19. M

    JamiiForums Tanzania wewe ni mtu wa kuchill nyumbani au wa kutoka kwenda viwanja, vijiweni, n.k ?

    Wewe ni mtu wa kuchill nyumbani 🏡 au wa kutoka kwenda viwanja
  20. JamiiForums Tanzania Viwanja 2 mbezi -Luguruni vinauzwa

    VIWANJA 2 – MBEZI LUGURUNI VINAUZWA Je, unatafuta kiwanja kwa ajili ya makazi au uwekezaji? Hii ni fursa yako! 📍 Eneo: Mbezi Luguruni 🔹 Kiwanja cha 1 📐 Ukubwa: 700 m² (SQM 700) 💰 Bei: TSh Milioni 15 🔹 Kiwanja cha 2 📐 Ukubwa: 1,300 m² (SQM 1300) 💰 Bei: TSh Milioni 35 ✅ Vyote vimepimwa na vina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…