VIWANJA NI BEI GANI ?

VIWANJA NI BEI GANI ?

My mee

Senior Member
Joined
Jan 23, 2025
Posts
153
Reaction score
358
kuna mtu ZAMANI alikuwa na hela akafilisika.,sasa akanitafuta na kuuliza kama nataka kiwanja.
Akaniambia niulize bei ni mwambie.
Sasa kabla sijashika pesa siwezi kwenda kuangalia viwanja..
Kwa maeneo ya mbezi mpaka kibaha.naweza pata kiwanja kwa bei Gani.kisiwe bei sana. Huyu mtu namuona kabisa uchumi wake haujakaa sawa.
1ml mpaka 2ml.
 
Kwa budget ya 1M hadi 2M kwa Dar na Pwani kwa sasa labda upate pori la ukoka sana au sehemu ambayo haina hata njia ya kupitisha pikipiki. Miaka hii ardhi imepanda thamani mpaka unashangaa.
 
kuna mtu ZAMANI alikuwa na hela akafilisika.,sasa akanitafuta na kuuliza kama nataka kiwanja.
Akaniambia niulize bei ni mwambie.
Sasa kabla sijashika pesa siwezi kwenda kuangalia viwanja..
Kwa maeneo ya mbezi mpaka kibaha.naweza pata kiwanja kwa bei Gani.kisiwe bei sana. Huyu mtu namuona kabisa uchumi wake haujakaa sawa.
1ml mpaka 2ml.
Yeye kiwanja chake kipo sehemu gani?
 
kuna mtu ZAMANI alikuwa na hela akafilisika.,sasa akanitafuta na kuuliza kama nataka kiwanja.
Akaniambia niulize bei ni mwambie.
Sasa kabla sijashika pesa siwezi kwenda kuangalia viwanja..
Kwa maeneo ya mbezi mpaka kibaha.naweza pata kiwanja kwa bei Gani.kisiwe bei sana. Huyu mtu namuona kabisa uchumi wake haujakaa sawa.
1ml mpaka 2ml.
Njoo na 1trn nikupe kiwanja 60mx60m mbezi beach
 
Back
Top Bottom