A
Anonymous
Guest
Mimi ni mkazi wa kata ya Inyala Mbeya vijijini.
Ni mwaka sasa umeisha tulipimishwa viwanja kwa bei ya laki 1 na elfu 30 kwa kiwanja ili tupewe hati. Lakini mpaka sasa wahusuka wamepotea tukipiga simu wanasema tuwaulize watendaji wa vijiji maana wao ndo walikusanya pesa zetu na walikuwa wanatuandika maijina tu bila risiti.
Viongozi wetu nao tukiwauliza wanasema tuwe tu na subra wataalamu wapo wanachora michoro watarudi tupewe hati miliki zetu. Sasa hatujui itakuwa ni lini!
Tunaomba msaada!