viwanda

  1. JamiiForums Tanzania Hii ndio Urusi, Ulaya na Marekani wanaiogopa (Miundombinu, Utamaduni, Viwanda, Uchumi na Maliasili)

    BWANA YESU ASIFIWE Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake. NImefanya utafiti wangu kwa miaka mitano kuhusu nchi ya Urusi. Leo hii nitawaletea hali halisi ya nchi hii...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali Kuendelea Kuhamasisha Uwekezaji na Uendelezaji wa Viwanda Nchini - Mhe. Kigahe.

    Serikali kuendelea kuhamasisha uwekezaji na uendelezaji wa viwanda Nchini-Mhe.Kigahe. Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe amesema kuwa Serikali inaendelea na juhudi za kuhamasisha uwekezaji wa viwanda vipya na uendelezaji wa viwanda vilivyopo katika Sekta ya Mifugo na...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nigeria ni miongoni mwa mataifa 10 yanayoongoza kwa viwanda barani Afrika

    Hii ni orodha ya mataifa kumi yanayoongoza kwa viwanda barani Afrika. https://thenationonlineng.net/nigeria-among-10-most-industrialised-countries-in-africa/
  4. JamiiForums Tanzania SADC yajadili umuhimu wa rasilimali watu na fedha katika maendeleo ya viwanda

    Tamko la Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu uwekezaji katika Rasilimali Watu uliofanyika Jijini Dar es Salaam, Julai 2023, litakuwa sehemu ya utekelezaji wa kaulimbiu ya Mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaondelea Jijini Luanda...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Afrika tunapaswa kubadilisha makanisa na misikiti kuwa viwanda

    Kitu cha kwanza kinachofunga akili na kudumaza jitihada za maendeleo ya mtu mweusi ni imani( za dini na uchawi). Imani haiwezi jenga barabara, jenga hospital, tengeneza gari, Leta siasa safi wa haiwezi ondoa ufisadi n.k Na huu ugonjwa wa dini au imani unatumiwa sana na washindani wetu ili...
  6. JamiiForums Tanzania Viwanda 200 vya Ukraine vinazalisha drones, Urusi ijiandae kwa mvua ya drones

    Urusi ilishindwa kutumia fursa yake vizuri pale mwanzo mwanzo ilipoanza kuiparamia Kyiv, wakati huo bado ilikua inaoopwa na kuonwa kama supapawa, leo hii imejikuta inapambana kujitetea badala ya kushambulia, wanajeshi wanakufa na kufukuziwa huku wakirudi nyuma, Ukraine inazidi kujiboresha...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Uanzishwaji wa Viwanda vijijini Sera mojawapo ya kupunguza idadi ya watu na vijana wasio kuwa na Ajira katika Miji mikubwa

    Kwa nchi kama Tanzania ambayo ipo katika nchi zinazoendelea duniani inahitajika jitihada kubwa kutoka kwa viongozi wetu katika kujenga uchumi wa nchi yetu hasa kupitia katika nyanja kuu ya uchumi ambayo ni kilimo Imo na viwanda . Endapo sera hii ikitumika vyema Na Serikali basi manufaa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara. --- PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali Yapiga Marufuku Kuingiza Malighafi ya Chumvi Kutoka Nje kwa Viwanda vya Ndani

    SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUINGIZA MALIGHAFI YA CHUMVI KUTOKA NJE KWA VIWANDA VYA NDANI "Mkakati wa Serikali kuvutia wawekezaji katika sekta ya Chumvi unaendelea ikiwa ni pamoja na kutenga eneo lenye ukubwa wa Hekari 168 katika Wilaya ya Kilwa kwaajili ya wawekezaji Wenye nia ya kuchakata...
  10. JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji ashinda Tuzo ya Viwanda Afrika, amshukuru Rais Samia

    Mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya Afrika ya mzalishaji bora wa bidhaa za viwandani. Mo ambaye ni bilionea namba moja Afrika Mashariki na Kati alitangazwa mshindi jana, nchini Afrika kusini katika kilele cha tuzo za viongozi wa biashara barani Afrika (All Afrika Business...
  11. JamiiForums Tanzania Hakuna nchi duniani itaendelea duniani kama siasa inalipa vizuri kuliko viwanda

    Katika quote maarufu za siasa Kuna hii ambayo inatabiri maendeleo ya nchi na watu wake. Inasema "katika nchi ambayo utajiri wa haraka kabisa ni kuwa MWANASIASA kuliko kufanyabiashara, kulima, na kuwa mwekezaji" Basi umasikini wa hiyo nchi mkubwa wa kutupwa kwasababu katika hiyo nchi...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Ni jinsi gani Viongozi wa sasa wanaweza kurejesha Tanzania ya Viwanda ya Mwalimu Nyerere?

    Utangulizi: Tanzania ni nchi iliyojaaliwa rasilimali nyingi sana zinazofanya ionekane ni nchi yenye fursa nyingi za uwekezaji, masoko ya ndani na nje, na nguvu kazi yenye uwezo. Kwa kutumia rasilimali hizi, kuunganisha nguvu na kuchukua hatua madhubuti, Tanzania inaweza kurejesha hadhi yake...
  13. JamiiForums Tanzania Mageuzi ya nne ya viwanda

     athari za mageuzi ya nne ya viwanda
  14. N

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuendelea kunufaika na karafuu ya Morogoro, wakatazwa isiuzwe kwa ushindani, Waziri wa Kilimo, viwanda SMZ yuko Morogoro leo

    Juhudi za Mkoa wa Morogoro kuwakwamua wakulima wa karafuu kupata mnunuzi mwenye bei nzuri zimegonga mwamba baada ya kulazimishwa kuwa lazima karafuu inayozalishwa Morogoro basi iuzwe kwa SMZ ili wao wauze nje kwa bei kubwa zaidi. Kwa wasiojua, Morogoro vijijini wanazalisha karafuu nyingi kuliko...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kwenye viwanda tulichemka, Bandari tuweze? Nionyesheni tulichowahi kubinafsisha tukapata faida!

    Watanzania tumerogwa siyo bule! Siku zote mkaguzi wa hesabu za Serikali (CAG) mara zote ukaguzi wake katika sector ya Bandari amekuwa akisisitiza ufanisi uongezwe ili mapato yaongezeke ukilinganisha na Bandari zingine, lakini hakuwahi kusema kuna hasara iliyotokana na uendeshaji wa Bandari...
  16. JamiiForums Tanzania Dhuluma na wizi viwanda vya Mabati Dar, TBS oneni haya

    Miaka ya nyuma mabati yalipigwa mhuri kuonyesha gauge au viwango (mf G32, G28), sasa hivi sio hivyo. Unanunua mabati ya mgongo mpana na kofia kwa bei ghali. Haipiti muda kutu tayari. Unaende kiwandani unalipia mabati ya kukunja, wanakunja na kusababisha uharibufu (kuchanika), bado...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania ya viwanda: Mei Mosi na kundi lililosahaulika ndani yake

    Ni majengo makubwa makubwa, yenye thamani ya mamilioni ya shilingi yakiwa yamewekezwa. Ndani yake kuna mitambo ya aina mbalimbali yenye kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotumika katika maisha ya kila siku kwa kila Mtanzania. Bidhaa zenye kuzalisha faida za thamani ya mamilioni ya shilingi na...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/2024

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/2024
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania ya viwanda inawezekana

    TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA Kuiga kizuri si dhambi.Ni vyema tukarudi nyuma mpaka katikati ya karne ya 18.Uingereza ilikuwa na uchumi wa kati na ni hata nyuma zaidi ya hapa tulipo sisi sasa.Si hili tu India pia ni nchi ambayo kwa kiasi kikubwa vijana wengi na familia nyingi zenye maisha ya...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda Dkt. Kijaji - Serikali Itaendelea kuvijengea uwezo Viwanda vya Ndani

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali itaendelea kuvijengea uwezo viwanda vya ndani vinavyozalisha saruji kabla bidhaa hiyo haijaruhusiwa kuwa kati ya bidhaa kumi zitakazoweza kuingia katika soko huru la Afrika (AfCFTA). Ameyasema hayo tarehe 21...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…