Experience yako ni ipi?
Maana uswazi haiwaishiwi misemo
Shemeji kula...
Hainaga ushemeji..
Shemeji kinyama cha hamu..
Shemeji ni Dada akiwepo...
Cha dada ni changu pia...
Shemeji wa kiume je!?🤨
Afrika kivyetu vyetu.
Huko Cameroon kuna vituko vinaendelea kwa timu yao ya taifa.
Kocha wa timu hiyo Marc Bris, aliyefukuzwa kazi na Samuel Etoo amegoma kuachia ngazi baada ya kusikika akisema kuwa yeye ameajiriwa na Wizara ya Michezo ya Cameroon na sio Etoo.
Akaenda mbali zaidi akatangaza...
Cameroon
Yaani kwa mujibu wa wananchi waliofuatiilia wizi wa kura, waliojiandikisha kupiga kura serikali wameweka wapiga kura hewa na picha moja inayoonekana ya mpiga kura ni ya Mo Salah 😀 jamani kweli?
Seriously?
Africa
Vituko vya Aggrey Mwanri ambaye aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati akiomba kura kwa wajumbe wa CCM kwa ajili ya kupata ridhaa ya kuwa mbunge wa Jimbo la Siha Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro
Soma Pia: GE2025 - Aggrey Mwanri avunja wajumbe mbavu akiomba kura za maoni
Chanzo: ITV...
Wakenya ndani ya msiba
WAKENYA NDIO KUFIKA KWA JAMAA NA RAFIKI WA MAREHEMU BONFACE KARIOKI MWANGI KWELI KUFIWA MWANA NI UCHUNGU SANA NDIO HIO MAMBO TUMEPATANA NAYO HUKU NI UZUNI NA FURAHA RIP
Hamjambo Wote!
Kuna msemo na Imani kuwa kauli na maneno ya mara kwa mara huumba.
Kisaikolojia ni kweli. Kujitamkia au kutamkiwa maneno yaleyale mara kwa mara huyafanya yatokee. Na kuwa kweli.
Kwa sababu maneno huathiri mfumo wa ufahamu, kufikiri, na hatimaye mtazamo.
Je watu kusema taifa kuwa...
Ma IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu.
IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa Moshi. Kumbe mabosi sometimes wanajipooza na wale madada!, Mahita akiwa IGP akajipooza mahali na mdada...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Yaani Kuna Vichaa wanywa komoni kutoka pale Bitaraguru na Wanywa Ulanzi kutoka pale Kilolo wanapanua na kukenua Kwa bashasha wakiamini kabisa ya kwamba Arsenal (The Gunners )anakwenda kutolewa na timu ya Wazee Vijana (Real Madrid).
Huwa kila siku...
Wakati watu wanasubiri mwaka 2000 kila mtu alikuwa na hofu sana kwa jinsi mijadala mingi ambayo mpaka wakina kibwetero wakatokea hapo.
Mimi na kumbuka wakati tuna subiria 2000 mzee aliwaita ndugu zake wote na kuchinjwa kuku wa kutosha tukisubiri labda yesu anakuja ndio mwisho wa dunia.
Mwisho...
Trump bwana ana vituko kweli kweli anataka kumuendesha bwana Jerome Powell.
This would be a PERFECT time for Fed Chairman Jerome Powell to cut Interest Rates. He is always “late,” but he could now change his image, and quickly. Energy prices are down, Interest Rates are down, Inflation is down...
Jana night nikatoka na chaguo la moyo tubadili hata dinner tuupumzishe ugali dagaa kidogo, hao tukaenda kiwanja fulani jina kapuni kwa ajili ya kulinda brand.
Tukiwa tunaingia pale tunaangalia wapi pa kukaa ukizingatia ni sikukuu watu ni wengi karibia kila meza imejaa wadau, ghafla mbele yetu...
Heri ya sikukuu ya Idd, ila kuna vimbwanga mitaani hasa tunaishi wilaya ya Temeke. Watu wanazulula mtaani na watoto Hadi usiku kupiga picha na Bar zimejaa watu wakorofi kidogo Tu wanarusha chupa.
Sare za vijora vimejaa mtaani. Magari yamejaa kelele tupu wanaenda beach. Nashangaa Sana.
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.