vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukraine yajiandaa kwa vita vya kemikali, Marekani yatoa usaidizi

    Imeripotiwa kuwa Marekani imekuwa ikituma vifaa vya kinga (PPE) kwa Ukraine kwa ombi la nchi hiyo ili kujiandaa kwa shambulio lolote la silaha za kemikali wakati wa vita dhidi ya Urusi inayoendelea. Msemaji wa Baraza la Usalama la Kitaifa la Rais Joe Biden alithibitisha kwamba "vifaa vya kuokoa...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati wenzetu wanang'aka kuhusu vita DRC, Waganda tayari wameanza kuchangamkia fursa, Wakenya tusichelewe

    Wafanya biashara wa Uganda wamehojiwa wengi wameanza jitihada za kuchangamkia soko la DRC na fursa zilizopo, hii ni baada ya DRC kuwa mwanachama ndani ya EAC. Wakenya tusichelewe, bahari Hindi na Atlantic zimeunganishwa, tupambane.... Naomba pia serikali zetu zirahisishe suala la vyeti kama...
  3. JamiiForums Tanzania Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

    Habari za wakuu hapa ni vema uzi uachwe kuonesha nani kapoteza kwa namna tofaut tofauti, Kuna Nyuzi nyingi Sana hapa ila huu utakuwa wa kitaalamu Na shuhuda nilizoshuhudiwa siyo kwa kusimuliwa Wengi wameeleza chanzo cha Vita hii ila kwa hapa naonesha Matokea tu 1. Mpaka sasa week Jana natoka...
  4. JamiiForums Tanzania Urusi yaanza janja janja za kuvuta Belarus kwenye vita

    Hali imekua ngumu, Ukraine waligeuza kibao na kuanza kuwasukuma Warusi, hao Warusi walijaribu kubembeleza Belarus waingie kwenye vita ikashindikana, sasa wameanza janja za kupiga mabomu ndani ya Belarus ili ionekane kana kwamba Ukraine wameshambulia. Ndege ya Urusi ilipaa kutokea Belarus kisha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania haifungamani na upande wowote, kwanini hatununui mafuta ya Bei rahisi Urusi?

    Nianze Kwa kutoa pole kwa changamoto za kuishi! Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na taarifa kuhusu kupanda Kwa Bei za mafuta na gesi duniani, huku Urusi, Moja ya wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi akishusha Bei ya bidhaa hizo ambapo mataifa makubwa, ikiwa ni pamoja na Yale yaliyomwekea...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

    Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza...
  7. JamiiForums Tanzania Vita vya Urusi na Ukraine vyaifadisha Tanzania

    Uwekezaji katika uchimbaji wa gesi na mafuta nchini Tanzania utaongezeka kwa Dola Bilioni 10 sawa na tsh. Trilioni 23.2. Awali, Tanzania na kampuni ya uchimbaji mafuta na gesi ili ya Equinor ASA na Shell Plc zilikubali kuwekeza Dola bilioni 30 sawa na Tsh. Trilioni 69.58 ambapo kutokana na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vita ya kiuchumi kati ya Urusi na Mataifa ya Magharibi imefikia Patamu sana

    Lengo kubwa la mataifa ya magharibi ni kuiangusha kiuchumi Urusi ili hatimaye idhoofike kijeshi. Kufikia lengo hilo walimpata rais msanii na mchekeshaji Zelensky wa Ukraine, ambaye walimvimbisha kichwa na kumdanganya kuwa aigomee Urusi kuhusu kuruhusu majimbo ya mawili yaliyoko mashariki mwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mchekeshaji alivyomuhadaa mbabe wa vita Putin

    Hakika Wana Ukraine wanapaswa kutembea kifua mbele hadi hivi sasa mpira ni mapumziko wamesha mchapa mtu tatu kwa nunge. Hii vita watu waliichukulia poa akiwemo anayedaiwa kuwa mbabe wa vita Vladimir Putin, kutokana na ubutu wa jeshi la Ukraine wengi wetu tulijua ndani ya muda mfupi Putin na...
  10. JamiiForums Tanzania Vita vya Urusi vimeigharimu Ukraine $564.9bn kufikia sasa

    Vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vimeigharimu Ukraine $564.9bn (£429.3bn) kufikia sasa katika uharibifu wa miundombinu, kupoteza ukuaji wa uchumi na mambo mengine, kulingana na waziri wa uchumi wa Ukraine. Mapigano hayo yameharibu kilomita 8,000 (maili 4,970) za barabara na mita za mraba milioni...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yafanikiwa vita dhidi ya malaria kabla ya 2023, huku China ikitoa mchango katika uvumbuzi wa Artemisinin

    Pili Mwinyi Malaria ni ugonjwa hatari sana unaotokana na mbu jike ambaye anaambikiza binadamu na baadaye akuwa na homa kali, baridi, na mafua. Ugonjwa huu unaweza kusababisha kifo au hata matatizo ya akili pale malaria inapopanda kichwani. Mafanikio makubwa yamepatikana duniani katika kudhibiti...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi za siri tusizozijua vita ya Russia vs Ukraine

    Kila mtu anaongea kitu chake ila ipo siri kubwa sana ambayo wanausalama wanaijuwa nawamepiga kimya japo jana Mzee baba Ameamua kujilipua. "For the God Sake Putin cannot remain in Power" Nini dunia haikijuwi na nini dunia ya majasusi wanakijuwa ambacho ni siri nzito. Kwa wale hamjuwi basi sio...
  13. JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari 12 wauawa kwenye vita nchini Ukraine

    Waandishi wa habari 12 wamekufa nchini Ukraine tangu kuzuka kwa vita nchini humo mwezi mmoja uliopita taarifa hii ikiwa ni kulingana na mwanasheria mkuu Iryna Venediktova. Ameandika kupitia ukurasa wa Facebook kwamba pamoja nao waandishi wengine 10 wamejeruhiwa wakati wa mapigano hayo...
  14. JamiiForums Tanzania Kati ya watumishi wa Mungu wenye majina makubwa na wanaoonekana kwenye TV, hakuna hata mmoja aliyetabiri kinagaubaga vita ya Ukraine.

    Sasa nimeamini kuwa kadri elimu inavyoongezeka basi ujinga inapungua na nafasi yake kushikwa na upumbavu. Kwenye haya makanisa ya kitapeli kuna wasomi wa level zote lakini huwaambii kitu kuhusu kiongozi wao. Kabla ya vita ya UKRAINE sijasikia mtu wa Mungu yeyote aliyetabiri kwa uwazi mahali...
  15. JamiiForums Tanzania Vita vya ukraine huenda vikamfanya putin kufuata nyanyo michael gobachev 1991

    Sasa Kama ilivyokuwa mwaka 1991 baada ya hali kuwa mbaya nchini urusi na nchi za kisoviet kipindi cha vita baridi vilipekea raisi wa urusi na kiongozi wa nchi za kisoviet kujiuzulu mwaka 1991 Je putin huenda akajiuzulu hali ikizidi kuwa mbaya kwa kama ilivyokuwa kwa michael gobachev alikubali...
  16. JamiiForums Tanzania Media za Tanzania asante kwa kumsifu kupitiliza Rais Samia. Sasa mtupe uchambuzi wa Vita ya Ukraine na Urusi kiuchumi kwa Tanzania

    Nimejaribu kuangalia Media za nchini Rwanda, Kenya na Uganda hasa katika Coverages zao juu ya Vita baina ya Ukraine na Urusi na kugundua ya kwa Wanyarwanda, Wakenya na Waganda wameshaelimishwa na Kuchambuliwa vya kutosha juu ya Vita hiyo tofauti na Tanzania na Watanzania. Kila nikijitahidi...
  17. JamiiForums Tanzania Uchumi wa dunia unatarajiwa kupungua kwa asilimia 2.6 kutokana na vita vya Ukraine

    Wachumi wa Umoja wa mataifa wanaonya kwamba matarajio ya ukuaji wa uchumi mwaka huu yanafifia kwa haraka kutokana na athari mbaya za vita nchini Ukraine. Shirika la biashara na maendeleo la Umoja wa mataifa(UNCTAD) limeshusha sana makadirio ya awali yenye matumaini ya ukuaji wa uchumi wa dunia...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania inajifunza nini katika vita inayoendelea UKRAINE?

    Wasalaamu wanaJF, Ni kawaida yangu kuleta kwenu hoja za kizalendo na kuwaachia mfikiri kwa kina, kwa haraka na kwa muda mrefu. Hoja zangu hizi huwa hazina mvuto wa kisanaa bali kisayansi. Swali langu la leo na hoja yangu ni kuhusu vita vinavyoendelea huko UKRAINE. 1. Ni ukweli usiopingika...
  19. JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Arsenal, Hector Bellerín kuhusu Vita ya Ukraine

    Jamaa ameongea ukweli.
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania: Hatukupiga kura sababu tulichotaka kati ya Urusi vs Ukraine hakikutokea!

    Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sababu ya kupiga kura ya kutofungamana na upande wowote katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine Imesisitiza pande zote mbili kutafuta suluhu katika meza ya mazungumzo hilo ndilo walilotaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…