vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Urusi itamaliza vita kwa kutumia nyuklia kwa siku chache tu-Medvedev

    Raisi wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi inaweza kumaliza vita vinavyoendelea ikipenda kwa kutumia silaha za nyuklia kama ilivyofanya Marekani mwaka 1945. Namna nyengine ya kumaliza vita hivyo alisema ni kwa Ukraine kusita kupokea silaha kutoka mataifa ya nje. Hayo aliyasema...
  2. O

    Vita ya ma-DAS, ma-DC yaichefua Serikali

    Dodoma. Ungedhani baada ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuwaonya wateule wake kuhusu kuendekeza migogoro kazini, hali hiyo pengine ingekoma. Lakini hali sivyo ilivyo. Migogoro isiyokwisha ya makatibu tawala wa wilaya na wakuu wa wilaya kwa baadhi ya wilaya nchini, imeibua hasira ya Serikali...
  3. M

    Rais Museveni aeleza jinsi NATO ilivyowapiga mkwara marais wa Africa wasiende Libya kutafuta suluhu kipindi cha vita ya Libya

    Akihutubia bunge la Pan Africa miaka kadhaa iliyopita Museveni ameeleza kuwa, umoja wa nchi za Africa uliunda kamati ya usuluhishi ya marais kadhaa wa Africa kwenda kutafuta Suluhu huko Libya lakini NATO ikawaambie wageuze hakuna kuingia Libya. Hii video ilikuwa ni kama imefichwa hivi kwa miaka...
  4. Tuliopitia Vita Na Chuki Makazini Tushirikishane Hapa

    Habari za muda huu Haya yalinikuta kwenye kazi yangu ya kwanza nilipokuwa bado sijafunzwa na Ulimwengu 1. Chuki ya kwanza nilijisababishia mwenyewe baada ya kutongoza wafanyakazi watatu kwa nyakati tofauti wote walichomoa na kumbe walihadithiana ndipo nikaanza kupitia sarakasi na vitimbi hadi...
  5. Makombora Ya Ulinzi Wa Anga Yanayorushwa kwa Mabega ya Ukraine "Manpads" Yaipuki Mifumo Ya Urusi"S-300/S-400" Kwenye Uwanja Wa Vita!

    Makombora Ya Ulinzi Wa Anga Yanayorushwa kwa Mabega ya Ukraine "Manpads" Yaipuki Mifumo Ya Urusi"S-300/S-400" Kwenye Uwanja Wa Vita.Yadungua ndege , helicopters na makombora mengi zaidi. https://eurasiantimes.com/new-ukraines-cheap-missile-outperforms-worlds-best-s-400/?amp
  6. R

    Putin katika hatari ya kupoteza utawala wake wa mabavu. Masaa 24 yajayo ni muhimu sana

    Rais wa Urusi anakabiliwa na tishio kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa utawala wake katika miaka 23 yote aliyokuwa akiongoza taifa lenye nguvu ya nyuklia. Ni jambo la kushangaza kuona jinsi alivyoweza kuendeleza udhibiti kamili kwa muda wote huo; sehemu muhimu ya kuonesha utawala wake wa kiimla...
  7. Vita ya Ukraine imetuonyesha kuwa hata Wazungu ni wajinga sana

    Kimsingi waafrika walikuwa wanawaona Wazungu kama watu wenye akili nyingi ma matajiri sana kuliko wao, lakini vita ya Ukraine imekanusha ujinga huu wa fikra hizi za inferiority/udhaifu dhidi ya Wazungu. Mpango wa Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya ulipangwa na Marekani kupitia Uingereza...
  8. Uvamizi wa Normandy(6.6.1944)-operesheni kubwa zaidi ya kijeshi ya Ushirikiano(US&UK)iliyosaidia kumaliza Vita vya Pili ya Dunia

    Uvamizi wa Normandy (1944) - Hii ilikuwa operesheni kubwa zaidi ya kijeshi ya Ushirikiano wa Magharibi katika Vita vya Pili ya Dunia. Uvamizi huu wa majeshi ya Marekani na Uingereza ulianza mnamo tarehe 6 Juni 1944, na ulikuwa hatua muhimu katika kumaliza vita hivyo. Uvamizi wa Normandy, ambao...
  9. Vita si mchezo wa kuigiza!.-Zelensky

    Kwa mara nyengine raisi wa Ukraine Volodymr Zelensky amekiri kuwa vita vya kukomboa maeneo yaliyotekwa vimekwenda kombo na kwamba havijaenda kama ilivyotarajiwa. Kuna watu wanadhani vita ni kama mchezo wa Hollywood na wanataka yapatikane mafanikio haraka. Moja ya sababu alizosema zimepelekea...
  10. Serikali Iwaangalie Watoto Waliositisha Masomo kwa Sababu ya Vita Ukraine

    MBUNGE JANEJELLY NTATE - SERIKALI IWAANGALIE WATOTO WALIOSITISHA MASOMO KWA SABABU YA VITA UKRAINE 🇺🇦 "Waziri wa Fedha umekubali kupunguza mipaka ya Utawala wako, kukubali Idara ya Mipango irudi kuwa tume ya Mipango. Rasilimali watu iliyopo pale walikuwa hawatumiki ipasavyo sasa hawa Wataalam...
  11. Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya, 26 Juni Mkoani Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya kimataifa ya siku ya kupiga vita dawa za kulevya duniani. Kamishna Jenerali wa Tume ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya, Aretas Lyimo ameeleza hayo alipokuwa akizungumza...
  12. China: Marekani chagua moja unataka vita ama ushirikiano?

    Mwanadiplomasia mkuu wa China amesema chanzo kikuu cha msuguano katika uhusiano kati ya China na Marekani ni "mtazamo mbaya" wa Marekani kuhusu nchi yake. Wang Yi alimwambia Blinken "hakuna nafasi ya majadiliano" juu ya Taiwan, kulingana na taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya China baada ya...
  13. Rais Museveni apona COVID-19, ajinadi yeye ni Veterani kwa kuushinda Ugonjwa huo

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuwa hatimaye amepona virusi vya ugonjwa wa Covid-19 baada ya vita vya wiki mbili na virusi hivyo. Mkuu huyo wa nchi mwenye umri wa miaka 78, katika taarifa yake Jumapili, alisema kwamba matokeo ya vipimo yalirudi yakionesha kuwa hana Covid na sasa...
  14. Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Heshima kwenu wanajamvi, Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika. Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE. Rais Samia...
  15. M

    SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

    Baada ya mamilioni ya watu zaidi ya 30,000,000 kufa katika nchi mbalimbali kutokana na vita kuu ya pili ya dunia, washauri wa mambo ya vita wa marekani walimshauri raisFranklin Delano Roosevelt wa wakati huo kuwa, ili kumaliza vita hivyo, inabidi aidhinishe matumizi ya bomu la nyuklia (wakati...
  16. M

    SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

    Baada ya mamilioni ya watu zaidi ya 30,000,000 kufa katika nchi mbalimbali kutokana na vita kuu ya pili ya dunia, washauri wa mambo ya vita wa marekani walimshauri raisFranklin Delano Roosevelt wa wakati huo kuwa, ili kumaliza vita hivyo, inabidi aidhinishe matumizi ya bomu la nyuklia (wakati...
  17. Mpaka Putin mwenyewe anakiri kapoteza sana kwenye hivi vita

    Sio kawaida kwa Putin kukiri mapigo anayopokea, siku zote huwa mbabe. ========= In a rare admission, Russian President Vladimir Putin acknowledged Friday that Russia is sustaining “significant losses” in the war on Ukraine. “In recent days, we have seen significant losses in Ukraine, they...
  18. Watoto Wanaofanyiwa Ukatili Katika Maeneo ya Vita ni Waathirika Wasio na Hatia wa Vurugu za Watu Wazima

    Watu wengi wanafurahia utulivu na amani katika maisha yao, lakini kuna maeneo mengi duniani ambapo vita na migogoro inaathiri maisha ya watu, haswa watoto. Watoto wanaotendewa ukatili katika maeneo ya vita ni waathirika wasio na hatia ambao wanakabiliwa na madhara makubwa ya kiakili, kimwili, na...
  19. Danadana ya kupatikana Katiba mpya lengo ni kuhalalisha mikataba mibovu

    Baada ya Bunge la CCM kupitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World ya Dubai hakuna tena shaka kuwa adui wa taifa hili ni CCM. Kumbe ile dana dana iliyokuwa ikipigwa kuchelewesha upatikanaji wa Katiba Mpya, ilikuwa kuwezesha Tanzania kuingia laini katiba mikataba ya aina...
  20. Hadithi Fupi: Vita vya Maji Mengi

    Na: Mwalimu Makoba "NI hadithi kama hadithi za sungura na fisi. Haihusiani na tukio lolote halisi." Sehemu ya Kwanza Hapo zamani za kale watu kutoka mbali waliwavamia Wenyeji. Watu hawa waliwachukua na kuwauza kama anavyouzwa mbuzi mnadani. Ili kujihakikishia Wananchi hawafurukuti au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…