vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    Vita walivyokuwa wakivisubiri Hamas sasa ndio vimeanza

    Baada ya vita vikali vya Israel kwa kutumia jeshi la anga na vifaru,vita halisi walivyokuwa wakivisubiri Hamas vitakavyowatoa jasho na kamasi Israel vimeanza.vita hivyo vinaweza vikavuta zaidi muda wa mapigano kati ya mwamba huyo na wapiganaji ambao muda mwengine wakiwa vitani huamua kuvaa...
  2. Mto Songwe

    China Secretly Transforms Huawei Into Most Powerful Chip War Weapon

    Source: Bloomberg Subscribe China Secretly Transforms Huawei Into Most Powerful Chip War Weapon The government is increasingly relying on Huawei — the company Washington tried to destroy — to lead the country’s efforts to build an independent semiconductor ecosystem. By Bloomberg News...
  3. Determinantor

    Nguvu tunayotumia "kushadadia" Vita visivyotuhusu tungeitumia kukemea maasi kwenye Taifa letu

    Salam, Nimekua najiuliza mara nyingi sana kuwa hizi nguvu zinazotumika kushabikia vita au maasi kwenye nchi ambazo wala hazituhusu, si tungezitumia hapa kwetu kukemea maovu? Mfano ni haya yafuatayo 1. Ndani ya kipindi kisichozidi siku 10 yaani kati ya November 25 - December 2 Polisi...
  4. Oscar Lyrics

    Vita ya Israel Vs Palestina Imeifunika kabisa Russia Vs Ukraine

    Vita ya Russia na Ukraine bado inaendelea au wameamua kupumzika ili kufutilia vita ya Israel na Palestina? Hata vyombo vya habari vime-base zaidi kureport matukio ya Israel na Palestina utadhani vita ya Russia na Ukraine imeisha. Au wanaviziana? Mungu wa rehema awasaidie kurejesha amani kwa...
  5. Girland

    Je, wajua kuwa Palestina siyo Waarabu? Waarabu halisi ni Saudi Arabia? Je, kwanini vita ya israeli na Palestina itaendelea?

    Kwanza kabisa, uzi huu hauna lengo la kukashifu imani au itikadi yoyote na msimamo wa mwandishi haufungamani na upande wowote! ASILI YA ISRAEL, SAUDI ARABIA na PALESTINE, katika dini kuu tatu, yaani Uislamu(Islamic), Ukristo(Christianity) na Uyahudi (Judaism) anatajwa IBRAHIMU au Abrahamu...
  6. Webabu

    Israel yashambulia Rafah na Hamas, wapiga mji wa mpakani wa Sderot

    Baada ya kumalizika kwa usitishaji wa vita kwa muda wa wiki moja na ubadilishanaji wa mateka vita vimeanza upya kati ya Israel na wanamgambo wa Hamas. Katika ngwe hii mpya na katika hai ya kushangaza Hamas wamefanikiwa kurusha makombora kutoka kaskazini ya Gaza na kuyavurumisha kusini ya Israel...
  7. B

    Kwanini HAMAS sasa anapigana vita alivyoshindwa?

    1. Alianza vizuri HAMAS kuwapigania wapalestina na waarabu kwa ujumla vita vyao dhidi ya mvamuzi wao sugu 7 Oct 2023. 2. Bahati mbaya waarabu hadi wapalestina wa West Bank wameufyata na kumwachia mtiti wote peke yake! 3. Mafanikio yake kwenye vita hivi yalikuwa: a) Kumpata Israel kukubali...
  8. FaizaFoxy

    Madazeni ya wapiganaji wa Brigedia ya Qassam Imejitokeza katikati ya Ghaza kwenye viwanja vya Mashujaa wa vita

    Brigedia ya Qassam, kitengo cha makomandoo wa Ghaza walioongoza mashambulizi ya kipekee kuwahi kutokea israel na kuchukuwa mateka kutokea ndani ya Israel na kuja nao Ghaza kibabe. Pia ndiyo waliokuwa mstari wa mbele kukabiliana na majeshi ya mazayuni kwa siku 48 kabla ya mapoigano kusimamishwa...
  9. Webabu

    John Bolton, mgomvi wa Trump na mshauri wa masuala ya ulinzi asema Israel imeshindwa vita

    Mmoja ya wanasiasa machachari wa Marekani na aliyekuwa mshauri wa mambo ya ulinzi wa raisi Donald Trump, John Bolton amesema katika vita vinavyoendelea Israel imeshindwa na Hamas. Katika makala yake iliyochapishwa juzi kwenye gazeti la Telegraph, Bolton amesema usitishwaji wa vita wa siku nne...
  10. M

    Harakati ya Fat'h ya Iraq: Vita dhidi ya Wazayuni ndio kwanza vimeanza

    Mjumbe wa Muungano wa al Fat'h wa Iraq ameashiria jinsi makundi ya muqawama ya nchi hiyo yanavyoyaunga mkono makundi ya muqawama ya Palestina katika vita vya Ghaza na kusema kuwa, makundi hayo yataendelea kushambulia vituo vya wanajeshi vamizi wa Marekani nchini Iraq. Kanali ya Televisheni ya...
  11. Jaji Mfawidhi

    Vita ya Magaidi ya Ki-islam [HAMAS] Imenitufunza.

    Vita VYA magaidi wa Ki-islamu [Hamas] na ISRAEL , Vimewafanya watu WENGI wajue kuwa WATOTO WOTE wa IBRAHIMU ISAKA, ISMAIL NA KETURA na WENGINE ni WAEBRANIA. Imetufanya tutambue ISHMAEL ndio WARABU, ISAKA kupitia ESAU NA YAKOBO, KWA YAKOBO NDIO WAISRAELI, lakini pia waisraeli WALIOZALIWA na...
  12. M

    Hizbullah: Utawala wa Israel haukuwa na budi kukubali usitishaji vita kwa kushindwa kukomboa hata mateka mmoja

    Nov 26, 2023 02:26 UTC Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita baada ya kushindwa kumkomboa hata mateka wake mmoja kupitia mashambulio ya ardhini dhidi ya Ukanda wa Gaza. Usitishaji vita wa siku nne kati ya utawala wa Kizayuni...
  13. MK254

    HAMAS huhusisha hawa watoto kwenye vita, ila wakikamatwa mnalia kwamba ni watoto

    Nimeona sehemu mwana JF Bome-e analia sana kuhusu taarifa za Israel kukamata watoto, ila kikawaida kwenye medani unapomhusisha mtoto ashambulie jeshi, mara moja anakua military target, haijalishi umri wake tena, na wana bahati kwamba walikamatwa tu, vinginevyo wangeuawa...
  14. M

    Isreal yakiuka makubaliano ya kusitisha vita

    Photos: UN, Red Crescent staff rescue man shot by Israeli forces in Gaza The incident took place on main road in the Zeitoun district on the southern outskirts of Gaza City. https://x.com/qudsn/status/1728336182671479295?s=20 Nb Siku Israel ataporipuwa Vatican ndio wakiristo wa Buyu...
  15. matunduizi

    Mkristo kushabikia au kuwa na upande vita vya Israel na Hamas ni matokeo ya ujinga wa maandiko

    Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa. Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam. Mkristo unatakiwa kuombea amani, na katika amani hiyo hao Wayahudi wasiomjua Yesu na Waislam wakiwemo hamas wasiomjua...
  16. Tango73

    Mshindi wa vita vya mashariki ya kati ni yule mwenye kumiliki jiji la Daudi au Jerusalem

    Madai ya Hamas, Hisbollah na Iran ni kumnyang'anya Muisrael jiji lake zuri la Jerusalem. Sasa mnaopinga kama Israel siyo mshindi na mbabe wa mashariki ya kati basi mmpeni Hamasi jiji la Daudi au Jerusalem. Haya yote yanayojili migogoro ya mashariki ya kati ni kushindwa kumchukulia kinguvu jiji...
  17. K

    Israel yakubali masharti ya HAMAS kwenye kusitisha mapigano ya vita kwa siku 4. Kwa masharti haya,nani kaelemewa?!!

    Mgogoro wa Israel na Palestine huku ukiendelea kwa mashambt makali,kesho vita vitasinama kwa siku 4. Yafuatayo ni masharti ambayo Israel na HAMAS zimekubaliana kwenye mazungumzo ambayo yamekua yakifanyika nchini Qatar kwa takribani wiki 2 Sasa. Makubaliano hayo yameungwa mkono na USA ambae ni...
  18. Webabu

    Vita, vibali, kuta na mageti vinatumika kama silaha kutaka kuimaliza Palestina

    Israel tangu kuundwa kwake limekuwa ni taifa hatari sana kwa usalama wa wenyeji waliowakuta na usalama wa majirani zake wote na hata kwa ulimwengu mzima. Taifa hilo linaongoza kwa kupinga maazimio ya umoja wa mataifa na hata kuvunja mikataba inayowekeana na majirani zao. Kwa ujumla ni taifa...
  19. Mto Songwe

    The sinicization of religion (vita ya China dhidi ya dini)

    The Sinicization Of Religions In China Huu ni utaratibu maalumu unaofanywa na nchi ya China kuzifanya dini zote za ng'ambo ziendane na utamaduni na mfumo mzima wa maisha wa jamii ya kichina. Utaratibu huu umeanza karne na karne na umekuwa ukipitia maboresho kadhaa mpaka sasa chini ya China ya...
  20. FaizaFoxy

    Wapalestina wamepata ushindi mkubwa vita ya Ghaza mpaka sasa. Nini kimepelekea ushindi wao huo?

    Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao. Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi: - Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo...
Back
Top Bottom