Marekani yasema bataliani 5 za Israel ziliwafanyia uhalifu Wapalestina hata kabla vita vya Gaza. Iliyomuua Mpalestina Mmarekani kuwekewa vikwazo

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,361
11,246
Marekani imefanya utafiti na kugundua ya kuwa jumla ya bataliani 5 za jeshi la IDF zilikuwa zikiwafanyia uhalifu mkubwa wapalestina kabla kuzuka vita vya Gaza.

Miongoni mwa bataliani hizo ni ile ya wayahudi wahafidhina la Netzah Yehuda ambayo ilihusika na kumuua mpalestina Omar Assad, ambaye hawakujua alikuwa na uraia wa Marekani.

Uhalifu huo ulifanyika mnamo mwezi Januari 2022. Bataliani hiyo inatarajiwa kuwekewa vikwazo na serikali ya Marekani huku ikijadili namna ya kuziadhibu balaliani 4 zilizobaki.

US determines 5 Israeli security units committed human rights violations before outbreak of Gaza war

 
Yaan hao marekani hata kama wakisema jambo la kweli kwa jinsi yalivyo manafki sidhan kama unaweza kuwachukulia siriaz
 
Yaan hao marekani hata kama wakisema jambo la kweli kwa jinsi yalivyo manafki sidhan kama unaweza kuwachukulia siriaz
Kusema kwao kunasaidia kuwanyamazisha watu kama MK254 na Mzee Kigogo ambao daima wamekuwa wakiwazushia Hamas kuwa ndio walionzisha vita oktoba 7
 
Back
Top Bottom