vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Nani anampa kiburi Netanyau? Hamas hatutaki vita iendelee tumeamua yaishe. Analeta Kibri?

    Nimeshangaa ... Anachokitaka atakipata tu. Hamas wanasema wanataka vita viishe. Netanyau analeta habari za kiduanzi. Tutaendelea kumchapa huyu Kafir mpaka aombe pooh... Sisi tunaona inatosha yeye analeta kibri. Ni nini sababu lakini? Si sawa. Njoo wenzangu tumshambulie huyu Israel. Ritz ...
  2. Waziri Gadi amkaba koo Netanyahu. Ataka vita visitishwe kuokoa mateka wanaoshikiliwa na Hamas

    Mmoja ya mtu muhimu katika baraza la kuongoza vita baina ya Israel na Hamas amesema usalama wa mateka uwekwe mwanzo kabla maamuzi ya kuendeleza vita na Hamas, Kiongozi huyo,Gadi Eisenkot ambaye mtoto wake mwenye miaka 25 na mjomba wake waliuliwa vitani mwezi uliopita ametishia kujitoa kwenye...
  3. O

    Debate challenge: Mgogoro wa Hamas na Israeli

    Pamoja na uwepo wa mdahalo kati yao, mdahalo huo haukuwa na topic maalum isipokuwa aina ya majigambo. Sasa basi huu ni mdahalo wa wiki nzima kwanzia leo Jumapili mpaka Jumapili ijayo tutakapopata mshindi wetu. Nyani Ngabu na FaizaFoxy karibuni katika mdahalo huku tukisubiri ule wa makonda...
  4. Uhuru wa Palestina wanukia. Waziri wa baraza la vita la Israel asema Netanyahu haeleweki na Hamas haishindwi

    Maamuzi ya kudai uhuru kivitendo iliyofanya Hamas yanaanza kuzaa matunda japo yamepatikana kwa gharama kubwa sana ya vita kuliko vita vyote. Waziri muhimu katika baraza la kuongoza vita nchini Israel,Gadi Eisenkot amesema malengo halisi ya vita kati ya Israel na Hamas hayako wazi na anayeyajuwa...
  5. Unashabikia vita, umejiandaa?

    Kinachoendelea ulimwenguni kwa sasa sio cha kawaida. Kuanzia mwaka 2000 kumekuwa na speed kubwa ya matukio ya kutisha ulimwenguni. Wote tumeshuhudia Vita, magonjwa, na Mambo mengi ya kutisha. Je unajua maana ya hayo yote? Kama hujui, jibu ni hili hapa. Ukweli ni kwa tunaelekea Vita vya tatu...
  6. Prof. James Small: Wazungu hawana ustarabu, wana utamaduni wa vita

    Wazungu hawana Ustarabu, wana utamaduni wa vita
  7. USA, UK wanataka vita itapakae kwa makusudi kabisa

    Machafuko ya Mashariki ya kati hivi sasa ni mchezo uliopangwa na nchi za Magharibi, hususan USA UK na NATO yote wakishirikiana na vibaraka wao. Ikumbukwe, Israel ni base tu ya Mmarekani. Haitakiwi kabisa mashariki ya kati machafuko yaishe kwa sasa. Wakitoka Mashariki ya Kati wanaunganisha...
  8. B

    Bei za mafuta juu, vita vikisambaa mashariki ya kati

    1. Nani anataka vita mashariki ya kati? 2. Kwa hakika si Houthi, Marekani, wala washirika wake; achilia mbali makapuku wengine sisi "Chole Samvula" huku. 3. Nani asiyezijua athari za vita, achilia mbali mashariki ya kati? 4. Siyo sisi tuliowahi kushauriana kuhamia hata Burundi ikibidi? 5...
  9. B

    Baada ya kukalia veto, Russia yakumbuka shuka kumekucha

    1. Russia na China zilikuwa na uwezo wa kuzuia azimio UNSC dhidi ya Yemen kupitishwa. 2. Siku Moja baadaye kimenuka huko; bila shaka Pana vita kamili sasa. 3. Ikumbukwe kwenye azimio hilo China, Russia, Mozambique na Aljeria wali susa na hivyo kupita kwa 11 za "ndiyo." 4. Kwamba Russia...
  10. Saudi Arabia yasema itaendelea na uhusiano mwema na Israel baada ya vita

    Huku wavaa makobaz uswahilini wanatokwa mishipa kwenye makomwe kwa hasira walizo nazo kwa Israel, sasa Saudi imesema itaendelea freshi na Israel.... ==== Saudi Arabia's ambassador to the UK says it is interested in normalising relations with Israel after the war in Gaza, but that any deal...
  11. Vita ya maneno kati ya Rwanda na Burundi: Ina maana Ndayishimiye hajui tu kama amekalia kuti kavu?

    Vipi wakuu. Ki ukweli inashangaza sana raisi wa nchi ambayo ina jeshi, polisi na serikali, lakini anakosa kupata habari za kiintelejensia kuhusu kile kinachoweza kumtokea mbeleni endapo atataka kutumia mamlaka yake kama raisi kupambana na mtu au nchi inayomshinda kila kitu. Najua fika kuwa...
  12. F

    Wao si ndiyo walisababisha vita ya kimbali Rwanda? Na mbaya zaidi waliiba kura Congo ili yule ashinde! Tukiwaruhusu hawa tutasababisha vita nyingine

    Hawa watu kamwe tusiwaruhusu wajipenyeze kwenye siasa za nchi hii hao kwenye fursa au sehrmu ambayo wanafaidika wapo radhi kukuua ili wapate wanachokipata na tena wanajifanya watu wa dini dini gani hiyo? Inayosupport mauaji? Ona Rwanda walisababisha vita ya kimbari na waliwashawishi...
  13. Vita za kwenye ndoa

    Na hizi ndio ndoa zenu wapendwa.!
  14. Vazi la Isdal linavyowatayarisha wanawake wa Gaza kwa vita na kuheshimika. Mungu kaona juhudi zao

    Katika vita vya Gaza vinavyoelekea ukingoni baada ya hasara kubwa, tumeshuhudia mambo mengi sana na mengi ya hayo ni ya kushangaza mno. Binafsi kuna kitu nilikiona na nikajaribu kukifungulia uzi. Lakini mamodi wa JF kwa kuwaendekekeza akina Imeloa na Yoda na MK254 na Kinyungu na wenzao...
  15. Hamas wametoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye vita Gaza

    Wanaukumbi. Hamas ilitoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye uwanja wa mapambano Gaza. Walisimamia machapisho ya uchunguzi ambapo waliendesha bunduki za mashine zinazodhibitiwa kwa mbali. Walikamatwa baada ya kambi yao ya kijeshi kuzidiwa na wapiganaji wa Hamas, na...
  16. Hawa ndio watakaochukua nishani za juu baada ya vita vya Gaza kumalizika kwa ushindi

    Ikiwa miezi mitatau imetimia tangu vita vianze kati ya Israel na Palestina na bila mshindi kupatikana, wafuatiliaji wa vita hivyo wana nafasi ya kuchagua wa kupewa nishani baada ya kumalizika kwa vita vyenyewe. Kwa mtazamo wangu nishani ya mwanzo itawaendea Hamas kwa kuchukua maamuzi magumu na...
  17. Z

    Imani na historia potofu ilijengwa na wanazuoni wa Kiislamu juu ya Israel na Yerusalem chanzo cha vita ya sasa na baadaye

    https://youtu.be/4s9CaV03Uxs?si=TJFYLpOXfSocb_2W Ukisikiliza mafundisho ya huyu msomi mwanazuoni wa kislamu utapata ukweli na uongo juu ya taifa la Israel na ,Yerusalem ,ukristo na uislam.chanzo kikuu Cha vita ya Sasa na ya baadaye. Mfano wa uongo ni :Tangia lini Musa na wafuasi wake wakawa...
  18. Aina ya silaha walizonazo Houthi zinaogopesha na majaribio ya kuzitumia inatoa picha ya azimio lao la vita

    Baada ya jaribio la wiki iliyopita kuteka meli na kuipeleka kwenye maeneo yao kushindwa na kusababisha vifo vya askari 10 wa Houth kumewakasirisha sana wanamgambo hao na serikali ya Iran. Iran imeamua kuingiza meli yake ya kivita katikati ya meli nyengine za kivita zinazojidai kuilinda bahari...
  19. Mbona DJ Khalid hajazingumza chochote kuhusu vita ya Palestine licha ya yeye kuwa Mpalestina

    DJ Khaled ni Mpalestina na kwenye hivi vita hajaongea chochote kile, ni kama watu wanataka kumsikia akisema lolote wampoteze. Bro! Muziki wa Marekani unashikiliwa na Wayahudi. Yaani wao ndiyo wanapanga kila kitu. Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini Waarabu wakiingia vitani wanakwenda kuomba...
  20. Vita ya 3 ya dunia (WW3)

    Dunia imeshakumbwa na vita nyingi sana, ila kwa mujibu wa historia zipo vita kuu mbili zilizoigawanya dunia kwenye pande mbili, vita zilizosababisha vifo vya mamilioni ya watu, vita ya kwanza ya dunia(WW1) na vita ya pili ya dunia (WW2). Tangu kuisha kwa vita ya pili ya dunia mnamo mwaka 1945...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…