Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.
Chanzo: Radio One
Samaritan Water Solution LTD ni wataalamu wa kuchimba visima kwa kutumia mitambo ya kisasa kabisa. Tunafanya survey kwa bei nafuu. Pia tunatengeneza machine za kuchujia maji kwa wale wenye visima vya maji chumvi. Pia tunafunga irrigation system kwa wale wanaofanya kilimo cha umwagiliaji. Pia...
Salam wanajukwaa,.
Ninaomba tupeani elimu kuhusu visima vya mafuta kwa sababu mafuta yanatumika sana,ukiona Magari,pikipiki,bajaji,mitambo mingi ya viwanda inategemea mafuta.
Tumeshuhudia migogoro mingi hasa mashariki ya Kati kwa sababu ya mafuta sasa...
Msimu huu ea mvua madereva wa malori ya TOL wamelalamika kuhusu kuisahau barabara ya kutoka Katumba kwenda Mwakaleli ambako huko.kuna visima vyao vya gesi. Wanasema mtwara kwenye gesi wameoeleka barabara nzuri ambako gesi imegunduliwa juzi tu lakini kule kwenye visima vyao serikali haitaki...
Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amemtaka Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi kutofuata mambo ya kwenye makaratasi, na kufuatana naye ili akamuoneshe visima 26 ambavyo amesema vipo.
Katika swali lake, Mbunge huyo alihoji Serikali ina mpango gani wa kupeleka maji ya Ziwa...
Naomba kujua changamoto za irrigation system source ya maji ni kisima kirefu 100 mtrs.
Ukimwagilia maji shambani kwa mpira wa kawaida baada ya km mwezi pakikauka panapauka inaiona chumvi chumvi juu ya udongo lakini hayo maji kwa kunywa huisikii kbs chumvi na tunayanywa kama kawaida...
Askofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti.
Pia amewachimbia visima wananchi zaidi ya 200 na kununua magari ya wagonjwa zaidi ya 17 aliyoyagawa sehemu mbalimbali...
Nimemuuliza jamaa yangu tuliyesoma nae yeye alikuwa bingwa wa kikariri hivyo alisoma science ya bongo.
Ni vipi nitapunguza chumvi chumvi kwenye kisima changu kaniambia nunua chumvi ya mawe kama kilo tatu halafu kamwage kwenye hicho kisima,kisha anakata simu! Sasa nimempigia saana...
Jipatie KISIMA cha Maji kwa LAKI TANO ( nchini kote) Kutoka Asasi ya PDPR Njombe, Gharama za mradi:kuchimba laki 5, kama kitakuwa ndani ya mita 25 kila mita itakayo zidi utalipia 20,000ukihitaji kufungiwa water pump ipo ya solar milioni 1.6 ya umeme laki 5 zote zikiwa complete pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.