visa

  1. Craig

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya walioahirisha mipango yao kwa sababu ya visa vya Corona

    Habari za Mapambano wadau wote wa JF, Nimatumaini yangu kuwa wote tunaendealea kupambana Dhidi ya ugonjwa huu wa mlipuko CORONA. Ama baada ya Salamu lengo la Uzi huu Ni kujua wale wote walioathirika na ugonjwa huu kupelekea kuahirishwa kwa malengo/mipango yao Tena waliyoipanga kwa muda...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Japan: visa vipya 236 vya #covid19 vyarekodiwa

    Japani imetangaza visa 236 vipya vya #CoronaVirus na kufanya nchi hiyo kuwa na jumla ya visa 14,800. Hadi sasa nchi hiyo ina vifo 428 Mfmo wa afya wa nchi hiyo unachangamoto ya kutoa huduma. 90% ya maombi ya waliotaka kupimwa yamekataliwa, hali inayofanya watu kuachana na hospitali === Japan...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yatangaza visa 8 zaidi vya corona

    Kenya imetangaza visa vipya vya #CoronaVirus 8 na kufanya idadi ya jumla ya visa vilivyoripotiwa kufikia 363 Wagonjwa hao, wote hawana historia ya kusafiri kwenda nje ya nchi Wizara ya afya imetangaza pia watu 8 waliopona na kufanya idadi ya waliopona #COVID19 kufikia 114 ==== Kenya on...
  4. mulwanaka

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Madereva wanne zaidi wa Tanzania wemekutwa na Covid-19 nchini Uganda

    Uganda has confirmed 4 new COVID_19 cases out of 1,989 samples tested on Sunday 26th April. All patients are Tanzanian truck drivers who arrived via Mutukula border, Ministry ofHealth says. 411 samples from communities tested. Uganda’s total confirmed cases are now 79. [emoji832]4 new COVID-19...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Visa vipya zaidi ya 5,000 vya maambukizi vyaripotiwa nchini Urusi

    Idadi ya watu walioambukizwa rasmi virusi vya Corona nchini Urusi imefikia 68,622, baada ya kuripotiwa visa vipya 5,849 vya virusi hivyo, ikilinganishwa na Alhamisi, mamlaka ya afya nchini Urusi imebaini. Watu sitini zaidi wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19, na kufikisha idadi ya...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UAE: Vifo viwili zaidi na visa 477 vya #covid19 vyaripotiwa

    Wizara ya Afya ya Umoja wa Falme za kiarabu imetangaza visa vipya 477 na vifo viwili vya #CoronaVirus, idaid hiyo inafanya jumla ya visa nchini humo kuwa 6,302 na vifo kuwa 37 Pia watu 93 wamepona, na kufanya idadi ya waliopona kuwa 1188. Msemaji wa Wizara, Dkt Farida Al-Hosani alisema idadi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Israel: Visa vya corona vyafikia zaidi ya 10,800, vifo zaidi ya 100; Uhaba wa vifaa vya kupimia watawala

    Taifa teule la Israel laendeleza mapambano dhidi ya corona huku likiwa limerikodi visa zaidi ya 10,800 na vifo 103. Hata hivyo maabara za nchi hiyo zimekumbwa na uhaba wa vifaa vya kupimia corona, na hivyo kupunguza upimaji wa watu wenye kuonesha dalali za ugonjwa huo. Mamlaka yatarajia kuanza...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania China yaripoti visa vipya vya corona 62 na vifo 2

    Mamlaka ya afya nchini China imethibitisha visa vipya 62 vya maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa hatari wa Covid-19, ambapo janga hilo lilizuka mwezi Desemba mwaka jana. Siku moja kabla watu 32 waliambukizwa virusi vya Corona, kwamujibu wa mamlaka ya afya. Vifo viwili vya nyongeza...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Unafanyeje biashara kipindi hiki cha Corona?

    Habari za Kwako Mwana Jamii Mwenzangu! Natumaini upo poa na unaendelea kujikinga na Corona iliyokuja kwa kasi 2020, Natumaini Mungu atatuvusha! Wakati China wakiwa wamefunga milango yao na wamerudi makazini na shughuli zikiwa zinaendelea kama kawaida ( masks, sanitizers, kupimwa joto la mwili...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mchepuko atendae visa vya kutikisa ndoa

    Huyu kaka mstaarabu flani umri 39. Amepata uhamisho kwenda Dodoma. Huku Dar alijiweka vizuri, mke wake ana pika mama ntilie lakini ni wale mama ntilie wa kishua ana pick up yake ya kuendea machinjioni na kwenye soko la ndizi. Jamaa amafika Dodoma alikaa guest house wiki moja, wiki ya pili...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Mtoto wa miezi 10 miongoni mwa visa vipya vya virusi vya corona Rwanda

    Wizara ya afya nchini Rwanda imetangaza kuwa watu wengine sita wameambukizwa virusi vya corona miongoni mwao mtoto mchanga wa miezi 10. Maambukizi hayo yanaifanya Rwanda kuwa na idadi ya visa 17 vya maambukizi ya virusi vya corona. Walipatikana na maambukizi hayo wote walikua wametoka katika...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rekodi zaonyesha tumeonewa kwenye hili la Visa

    Rekodi zinaonyesha sababu ya eti Watanzania wapewe zuio la viza kwa sababu hawarudi si la kweli kuna nchi nyingi sana wanatuzidi. Kuna sababu nyingine za siri https://www.dhs.gov/immigration-statistics/yearbook/2018/table27 https://www.dhs.gov/immigration-statistics/yearbook/2018/table34...
  13. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

    Serikali ya Marekani chini ya Rais Mtata, Donald Trump imetangaza kuwa iko mbioni kuziongeza nchi nyingine 7 kwenye orodha ya nchi ambazo Wananchi wake watawekewa vikwazo vya kuingia nchini humo (Marekani) Tanzania imetajwa pamoja na nchi za Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria na...
  14. budebajr

    JamiiForums Tanzania Uwakala wa soko la utalii na usafiri wa ndege (Travel & tours)

    Tujuzane machache soko la utalii tunalionaje, kuanzia miaka ya nyuma na hivi sasa hususani ukuaji, maeneo yanayokua, changamoto, muamko wa wazawa (Watanzania) na hata ongezeko la watalii kutoka nje ya nchi.
  15. X

    JamiiForums Tanzania Kupata visa

    Kwa wanaohitaji aina yoyote ya visa ya marekani, Canada au schengen (Belgium, Germany, Italy, France, Norway ,Sweden, Denmark. Etc) ni PM tunakusaidia kuprocess visa, maandalizi ya interview, kupata invitation letter, hotel booking, flight booking..karibuni sana Kama unaswali lolote usisite kuuliza
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Visa vya ugonjwa wa Surua duniani vyazidi kuongezeka

    Chanjo Takriban watu 140,000 hufariki duniani kutokana na ugonjwa wa surua au ukambi huku ulimwengu ukishuhudia ongezeko la maambukizi ya ugonjwa huo. Bara la Afrika linasadikiwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa huo (52,600) kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani, WHO...
  17. aleesha

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ikitokea visa vya mauaji Zanzibar wahusika ni watanganyika?

    KIJANA mmoja alietambulikana kwa jina la Noel Jengeni Mlilo mwenye umri 27, mkazi wa shehia ya Wawi wilaya ya Chakechake, na mwenyeji wa Mkoa wa Songwe Tanzania bara, amekutikana kichakani akiwa amefariki, shehia ya Mtuhaliwa wilaya ya Mkoani Pemba. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi kaka...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika

    Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika ambayo itawawezesha wauzaji zaidi ya 30,000 kupokea malipo ya Visa kwa kutumia simu ya mkononi pamoja na mawakala 20,000 ambao watawezeshwa kupokea amana na kutoa malipo na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

    Wadau mimi nahitaji kwenda Ulaya kutafuta maisha, nauli ninayo hivyo naombeni ushauri kwa anaefahamu nchi gani in Europe ina urahisi wa kupata kazi yoyote pia urahisi wa visa pia mahali pa kufikia? Wadau naombeni msaada wenu kwa anaefahamu.
Back
Top Bottom