virus

  1. M

    Tukisema China ndiye aliyetengeneza virus vya CORONA tunamaanisha mambo kama haya

    Tazama kipande hiki Cha filamu iliyotengenezwa na kuingia sokoni mwaka 2018. Katika filamu hii virusi vya CORONA vimezungumziwa. Sasa hapo ndo utajua kuwa tamaa ya mchina ndo inayougharimu ulimwengu kwa sasa.
  2. Sky Eclat

    What’s a virus?

    For about 100 years, the scientifi c community has repeatedly changed its collective mind over what viruses are. First seen as poisons, then as life-forms, then biological chemicals, viruses today are thought of as being in a gray area between living and nonliving: they cannot replicate on their...
  3. J

    Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

    Waziri wa afya Ummy Mwalimu ametangaza kifo cha mgonjwa wa Corona kilichotokea leo asubuhi katika kituo cha Mlonganzila. Anakuwa mgonjwa wa kwanza nchini kutangazwa kufa kwa ugonjwa huu. "Nasikitika kutangaza Kifo cha Kwanza cha Mgonjwa wa COVID-19 hapa nchini Kilichotokea alfajiri ya Leo...
  4. Sherlock

    COVID 19 lessons we should learn from New York

    March 1 saw the first confirmed case of COVID-19 in New York On March 2, Mayor Bill de Blasio tweeted that people should ignore the virus and "go on with your lives + get out on the town despite Coronavirus". At a news conference on March 3, New York City Commissioner of Health Oxiris Barbot...
  5. Sky Eclat

    Wasambaa hawajapata habari za corona virus bado

  6. N

    Corona Virus Nchini Tanzania

    Habarini za jioni wanajamvi. Mimi siishi Dar Muda mfupi uliopita niliona ujumbe kwenye WhatsApp ya ndugu mmoja ikionyesha magari yakipita Kariakoo yakifukizia dawa ya kuua corona, sawasawa na yale yaliyokuwa yakionekana kwenye miji ya Uchina. Hii ni hatua kubwa na nzuri sana iliyochukuliwa...
  7. Mag3

    Africa Is Two to Three Weeks Away From Height of Virus Storm!

    Africa Is Two to Three Weeks Away From Height of Virus Storm (Bloomberg) -- Africa is two to three weeks away from the worst of the coronavirus storm and needs an emergency economic stimulus of $100 billion to bolster preventative measures and support its fragile healthcare systems...
  8. R

    Tujielimishe kidogo: Upimaji wa Corona Virus kupitia kwenye "damu"...

    EDI™ Novel Coronavirus COVID-19 ELISA Kits Enzyme Linked Immunosorbent Assays (ELISA) for the qualitative detection of the COVID-19 IgG and IgM in human serum. Overview The 2019 Novel Coronavirus (COVID-19) is a single-stranded RNA coronavirus. Comparisons of the genetic sequences of this...
  9. M

    Forget about Corona Virus for a moment ,see how wonderful Wuhan is..

    Wuhan, one of the largest cities in China have been the talk of town since late last year after the first positive case of coronavirus was reported in China. The virus has by Thursday 27th spread in more than 190 countries infecting 492, 443 people worldwide. The capital city of Hubei province...
  10. M

    Recovered Corona Virus patients in China tests positive again!!!

    14 percent of the recovered patients in China test positive for the coronavirus for a second time. Doctors in China have revealed that patients that had fully recovered from Covid-19, have contracted the virus again. There is fear in China that there may be a second coronavirus outbreak in the...
  11. Sky Eclat

    Life in the UK post Corona Virus

    This Is How Experts Think Coronavirus Will Change The World Over The Next 18 Months Whether the coronavirus pandemic lasts for two months or two years, the way that we live and work will be altered irrevocably We are in lockdown. Supermarket shelves are stripped bare. Flights are grounded...
  12. beth

    Wagonjwa wawili wa Corona Virus wana hali mbaya, walazwa ICU

    Two patients out of the 31 who have tested positive for the coronavirus in Kenya are in critical condition and admitted to the Intensive Care Unit (ICU), Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe has announced. In a press briefing on Friday, the Health CS said the two patients are admitted at the...
  13. Zanzibar-ASP

    CORONA VIRUS: Kenyatta ndio Rais pekee aliyejipanga kuwanusuru wananchi wake kiuchumi

    Siku ya leo Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza hatua kuu muhimu za kijamii na kiuchumi za kuwanusuru raia wa Kenya kutokana na madhara yatakayotokana na hatua za kudhibiti athari za kuenea kwa maambukizi ya Corona nchini Kenya. Pamoja na ukosoaji mwingi uliokuwepo na uliopo kutoka kwa...
  14. beth

    China: Virusi vingine (Hanta Virus) vyaua mmoja, wengine 32 wapimwa kuona kama wana maambukizi

    Mtu mmoja amefariki dunia kutokana na Virusi vinavyofahamika kama Hanta Virus baada ya vipimo kuthibitisha amepata maambukizi. Mtu huyo alifariki ndani ya basi katika Jimbo la Yonnan na abiria 32 waliokuwepo katika basi hilo wamepimwa ili kuona kama wameathirika. Hanta Virus husambazwa na Panya...
  15. K

    Corona imekuwa mradi wa Serikali au Mradi wa watu? Wanaowekwa karantini walalamikia bei kubwa ya hoteli wanazopelekwa

    Baadhi ya Wasafiri waliofika Uwanja wa Ndege wa Dar na kutakiwa kujiweka Karantini kwa gharama zao wakilalamika kuwa wametakiwa kukaa hoteli zenye gharama Wasafiri hao wameomba msaada kwa Mamlaka hususan Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kwani wametakiwa kukaa katika hoteli za Southern Sun, Rungwe...
  16. beth

    Marekani: Rais Donald Trump asaini amri kuzuia watu kukusanya na kupandisha bei bidhaa zinazohitajika kudhibiti Corona Virus

    President Donald Trump signed an executive order on Monday to prevent hoarding and price gouging of supplies needed to fight the deadly coronavirus, a spokeswoman said. “This sends a strong message - we will not let those hoarding vital supplies & price gougers to harm the health of America in...
  17. babu M

    Boris Johnson Puts U.K. on Three-Week Lockdown as Virus Spreads

    By Tim Ross and Kitty Donaldson Weddings banned, shops closed, police will fine rule breakers Radical measures intended to stop transfer between households The U.K. will go into lockdown from Monday night after Boris Johnson ordered sweeping measures to stop people leaving their homes. As...
  18. Tusker Bariiiidi

    Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

    Mwandishi wa Habari wa The Citizen amesimamishwa kazi. Taarifa zaidi zinabainisha kuwa ni kwa kukiuka Aidha, mwandishi mwingine Neville Meena naye amesitishiwa mkataba kwa sababu hizo hizo: Neville Meena avunjiwa Mkataba na Mwananchi Communications - JamiiForums
  19. beth

    Corona Virus: Michuano ya Olimpiki iliyopangwa kufanyika Julai mwaka huu nchini Japan mbioni kuahirishwa

    Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) inaangalia uwezekano wa kuahirisha michuano ya Tokyo 2020, na imejipatia wiki nne kufanya maamuzi. Bodi ya Utendaji ya IOC iliyokutana Jumapili jioni huku kukiwa na shinikizo kutoka kwa wanariadha na kamati za kitaifa za Olimpiki wakitaka michuano hiyo...
  20. Mdaiwa-Sugu

    Tetesi: Corona virus: lran imekataa msaada kutoka Marekani

    Kiongozi mkuu wa kidini nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei amesema Iran haitopokea msaada wowote kutoka Marekani, katika kubadili hali ilivyo kutokana na wimbi la maambukizi ya virusi vya corona nchini mwake. Katika taarifa yake hiyo Khamenei alirejea kuizungumzia dhana ya kwamba virusi hivyo...
Back
Top Bottom