Kutokana na Hali ilivyokuwa tete. Ni vyema tukapeana tips jinsi ya kujilinda na hili janga hasa kwenye mwendokasi na public transport zingine ambazo Zina msongamano mkubwa wa watu ikiwemo vivuko.
Habari,
Nimesoma Andiko la Dr.Mikongoti kuhusu Corona Virus na nikajifunza mambo kadhaa ambayo nimedhani ni vyema wote tukajifunza kuhusu Corona Virus;
Kirusi cha korona (corona virus) kimechukua jina lake ‘corona’ kutoka lugha ya kilatini kikimaanisha taji (crown) hii ni kutokana na muonekano...
Coronavirus: Sophie Gregoire Trudeau - mkewe waziri mkuu wa Canada akutwa na virusi
Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau na mke wake watabaki kwenye karantini kwa siku 14 , baada ya mkewe Sophie Gregoire Trudeau kukutwa na virusi vya corona.
Sophie Gregoire Trudeau ''anaendelea vizuri na...
Mojawapo ya dawa hizo ambayo tayari imejaribiwa katika binadamu ni dawa ya remdesivir - dawa ya virusi vya UKIMWI ambayo bado inafanyiwa utafiti ambayo imejaribiwa dhidi ya magonjwa kama vile Ebola na SARS/MERS.
Dawa nyingine ni ile aina ya Chloroquine, dawa ya kukabiliana na malaria ambayo pia...
Katika mwaka ambao sekta ya utalii itapata msukosuko ni huu hasa ukizingatia utalii si basic needs. Baada ya 9/11 Corona virus ni pigo la pili kubwa kuikumba sekta hii.
Kutokana na takwimu za tovuti maarufu ya safari barani Afrika Safaribooking, kumekua na anguko la karibia 6% kutoka kipindi...
Katika harakati zangu nimezunguka viwanja vya ndege vitatu vinavyopokea sana wageni toka nje, hali niliyoikuta Mungu atusaidie.
In short, kinachosemwa na viongozi na yanayotendeka huko ni mbingu na ardhi. Nimeshuhudia raia zaidi ya 200 kutoka Uchina wakipita airport bila kupimwa wala kukaguliwa...
Chukuwa hatua mwenyewe, shona masks 😷 zako na familia yako.
Fanya malipo kwa mobile money.
Tembea na hand sanitiser.
Mtu atakayeshona masks za biashara anaweza kupata faida sana kipindi hiki.
Coronavirus ni airborne disease, njia ya kuenea kwa haraka na kuingiza wadudu kwa njia ya hewa...
Israel announces Coronavirus breakthrough. Doctors in Israel home of medical research just announced to the authority 3 hrs ago that they have come to a breakthrough solution with vaccine for corona virus. They did it in the laboratory Via the wisdom of God. not just with prayers alone. Shalom...
Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini.
Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao.
Hii hali...
Cases of the virus, which originated in the Chinese city of Wuhan, have been reported around the world.
New cases of infection from a new coronavirus that emerged in the central Chinese city of Wuhan late last year are being reported daily around the world.
More than 2,800 people have...
Serikali ya Kenya, japo imesimamisha ndege zake za KQ kwenda China, imekuwa ikiruhusu abiria kutoka China kungia nchini humo bila kuwa na tahadhari zozote zaidi ya kuwapima joto wanapowasili uwanja wa Jomo Kenyatta au kuwadhibiti katika kile kipindi cha siku 14.
Hii imezua taharuki kwa...
Naibu Waziri Iraj Harirchi ambaye amekuwa mstari wa mbele nchini humo katika kupambana na #coronavirus amegundulika kuambukizwa virusi hiyo
Msemaji wa Wizara hiyo amethibitisha hayo alipokuwa anafanya mahojiano na chaneli ya runinga ya Taifa na kusema Naibu Waziri huyo amewekwa sehemu maalumu...
At Last Dawa ya kwanza kutibu Corona virus imegundulika na inaingia sokoni
The Chinese authorities announced on Sunday the production of the first drug that may be effective in combating the new “Corona” virus.
“The medicine is known as” Favipiravir or Avigan, “said Taizhou City...
The Wuhan coronavirus has reportedly spread to North Korea. Experts say the country isn't equipped to fight it
By Business Insider,
Though the country has further isolated itself from the rest of the world, its lack of medical supplies and "crumbling" healthcare system isn't equipped to handle...
Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mafua makali unaosababishwa na kirusi aina ya Corona, uliozikumba nchi za China, Thailand, Japan, Korea Kusini na Marekani.
Wizara imesema kuanzia Desemba mwanzo mwaka jana wamekuwa...
Inasemekana Marekani ameifanyia China umafia kwa kupandikiza virusi vya CORONA ili kushusha uchumi wake.
Ukumbuke migogoro ya kibiashara kati ya USA na CHINA inazidi kushusha uchumi wa China kwa kasi ya ajabu.
FRANKFURT- German drug maker Bayer has contained a cyber attack it believes was hatched in China, the company said, highlighting the risk of data theft and disruption faced by big business.
Bayer found the infectious software on its computer networks early last year, covertly monitored and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.