Africa Is Two to Three Weeks Away From Height of Virus Storm!

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,757
Africa Is Two to Three Weeks Away From Height of Virus Storm

africacoronavirus.jpg



(Bloomberg) -- Africa is two to three weeks away from the worst of the coronavirus storm and needs an emergency economic stimulus of $100 billion to bolster preventative measures and support its fragile healthcare systems, according to the United Nations Economic Commission for Africa.

Almost half of the funds could come from waiving interest payments to multilateral institutions. That would give countries the fiscal space needed to impose social-distancing measures, widen social safety nets and equip hospitals to treat the sick ahead of an expected surge in infections, UNECA Executive Secretary Vera Songwe said by phone from Washington.

“If we want to have a fighting chance, we need it immediately,” she said. “In the next two to three weeks, if we act really decisively, we may be able to flatten the curve and then when the storm comes it will be not be as brutal as we see in Europe.”

One measure that can provide some immediate relief is the creation of the special purpose vehicle requested by African finance ministers through which interest payments on sovereign bonds could be sequestered and provide all countries on the continent, regardless of income level, with support, she said.

Stressed Systems

A lack of resources and staff means authorities must work fast to limit the spread of the disease on a continent where hospitals have an average of just 1.8 beds per 1,000 people, UNECA data show. While Africa accounts for 1% of global health expenditure, it carries 23% of the disease burden, including hundreds of thousands of deaths each year from malaria, HIV/Aids and tuberculosis.

“Our hospital systems are so weak and so stressed already that another stress on them is going to break them,” Songwe said.
There are more than 3,000 Covid-19 infections in 46 countries across the continent, according to the Addis Ababa-based Africa Centres for Disease Control and Prevention.

The continent has never experienced a crisis of the scale and magnitude caused by the coronavirus pandemic, Songwe said. While its impact is likely to be felt for 12 to 18 months -- with a loss of lives, jobs and businesses as economies grind to a halt -- the potential loss of health care providers and schooling would also weigh on the continent’s health and education sectors for years to come, she said.

A coordinated global effort is required to assist countries and businesses, and support the recovery of economies across the world, she said.

“If there is one African country or one country anywhere in the world that still has the coronavirus, the whole world has it. We’ve seen the speed of contamination and how quickly it can re-spread,” Songwe said.

For more articles like this, please visit us at bloomberg.com

©2020 Bloomberg L.P.


Forewarned is forearmed!
 
Mungu tuepushe..nikifikiria msongamano kwenye daladala zetu..mwendo kasi hadi naogopa...
Kabisa. Huu ugonjwa ukipiga Afrika kama ulivyokuwa huko China kutatokea maafa makubwa. Tufikirie nyumba zetu za kupanga tunavyoishi population kubwa. Tufikirie usafiri wetu tunavyojazana. Tulifikirie shughuli zetu za kuingiza kipato ambazo zinahitaji kufanyika kwenye mikusanyiko ya watu wengi na kutoka nyumbani kila siku. Tufikirie magereza na mahabusu zetu zilivyojaa. Tufikirie hospital zetu zilivyozidiwa na wagonjwa na hazina madaktari, vyombo na dawa za kutosha. Kitakachotuokoa ni nadharia mbili tu ambazo hata hatuna uhakika nazo 1: Kwenye joto virus havina nguvu sana 2: Waafrika respiratory system na mwili kwa ujumla unahilimili shuruba zaidi kutokana na mazingara waliyokulia. Vinginevyo naona giza kubwa.
 
Mungu hajawahi kushindwa itaishia huko huko kwao

Ni huyo huyo Mungu kwenye kitabu cha Mathayo 2:13 aliagiza Yesu aondolewe ili asiuwawe na Herode. Sasa jiulize kati ya Mungu na Herode nani mkubwa na mwenye nguvu.
Kataa taarifa na u-dead mbele ya Mungu.

Chukua Tahadhari ndugu, si kila kitu ni cha kufunga na kuomba, vingine fuata maelekezo, ni ibada pia.
 
Bahati pekee tunayoweza kuitegemea kutuvusha ni usugu wa miili yetu.

Bila shaka jamii yetu ni tofauti sana na ile ya Italia.

Najua hii ni 'steriotype', lakini hakuna la zaidi linaloweza kueleza jinsi nchi zetu hizi zitakavyoweza kuhimili wimbi hilo la Coronavirus.

Ahsante Mungu kwa ulinzi wako kwetu.

Na hapo tutakapokuwa tumevuka, hata kama tutapoteza maisha kwa kiasi fulani, kilicho chini ya hao wenzetu, hapo ndipo utakaposikia majigambo ya viongozi wetu, jinsi walivyobarikiwa hekima ya kujua kuwa corona si chochote wala lolote!

Italia ina watu kiasi gani, karibia sawa na yetu? Kwenye 60 milioni hivi?

Wamekufa wangapi hadi sasa huko?

Hapa kwetu hata wakifa hatutawahesabu, kwa hiyo tarakimu zetu bado zitaendelea kuwa nzuri na kutupa heshima kubwa!
 
Heri yao Rwanda na Afrika kusini. Bandiko hili linao ukweli kamili.

Pamoja na maonyo yote kama makenge tumeziba masikio.

Muda wa kwenda total lockdown tulikuwa nao viongozi wetu kwa maslahi yao hawakuutumia.

Bandiko lina ukweli wa kuogofya given our ignorance.
 
Back
Top Bottom