vipodozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania TBS SASA KIDIJITALI: Usajili wa bidhaa za Chakula na Vipodozi pamoja na Majengo ya kuuzia na kuhifadhia bidhaa hizo, usajili ni Kielekroniki

    TBS YAWATAKA WAFANYABIASHARA WA BIDHAA ZA VIPODOZI NA CHAKULA PAMOJA NA MAJENGO YA KUHIFADHIA NA KUUZIA BIDHAA HIZO KUJISAJILI KIELEKTRONIKI Shirika la Viwango Tanzania (TBS) leo Tarehe 22 Agosti, 2022 imewataka wafanyabiashara wa Chakula na Vipodozi pamoja na wamiliki wa Majengo yanayotumia...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Malori manne ya mafuta yakamatwa yakiingiza vipodozi vilivyopigwa marufuku Nchini, mzigo umetokea DRC

    Malori manne ya mafuta ya Kampuni ya Lake Oil yamekamatwa Mkoani Songwe yakiwa yamebeba shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku Nchini ambayo yalikuwa yakitokea DRC huku madereva wa magari hayo wakiyatelekeza. Meneja Ukaguzi wa Kampuni ya Lake Oil, Ali Sharif amesema magari yao yana mfumo wa...
  3. More Chances

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu vya kike VS vipodozi

    Habari wana jamii Ipi ni biashara rahisi kuendesha na inalipa kwa haraka kati ya hizo mbili tajwa hapo juu Pia zipi ni mbinu muhimu katika kufaulu biashara hizo Pia vip kuhusu Location zake sahihi
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Vipodozi vilivyopigwa Marufuku Tanzania

    Hapa chini ni Orodha ya Vipodozi vilivyo pigwa Marufuku ==== TANZANIA BUREAU OF STANDARDS LIST OF BANNED COSMETICS A “Cream” and “lotions” containing “Hydroquinone” 1. Mekako Cream 2. Rico Complexion Cream 3. Princess Cream 4. Butone Cream 5. Extra Clear Cream 6. Mic...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wamkamata kijana akisafirisha vipodozi vyenye sumu

    Mnamo tarehe 06.03.2022 majira ya saa 02:00 usiku, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko Kata ya Chimala, Tarafa ya Ilongo Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya na katika msako huo alikamatwa mtuhumiwa EMANUEL MSIGALA [42] Mkazi wa Uyole – Mbeya akiwa amepakia na kusafirisha vipodozi...
  6. Jembebutu

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya kuuza movie na nyimbo, vipodozi na kucha au Chips. Mbagala/Gongo la mboto.

    Habari ndugu. Naumiza sana kichwa kwa imani yangu kwamba pesa ipo uswahilini kwenye biashara ndogondogo. Nawaza kwenda sehemu tajwa na kamtaji kidogo ninacho. Naomba mwongozo na ushauri juu ya biashara hizo kwa wanaoishi na wasioishi maeneo hayo. Natazamia kufanya mojawapo kati ya hizo. Naomba...
  7. kokudo

    JamiiForums Tanzania Wauza Vipodozi hutoa wapi bidhaa Kati ya China, Turkey na US?

    Kati ya nchi hizo wapi wanatoa vipodozi affordable price and original? Najua kuna product zinatoka China na ni bora kabisa je ni zipi?
  8. J

    JamiiForums Tanzania TBS yatoa somo juu ya madhara ya vipodozi vyenye viambata sumu

    Na Mwandishi Wetu, Nachingwea WATUMISHI wa umma katika taasisi mbalimbali wilayani Nachingwea mkoani Lindi, wamepatiwa elimu kuhusu madhara ya matumizi ya bidhaa hafifu hususani vipodozi ambavyo vimekatazwa kutumika nchini kutokana na kuwa na viambata sumu. Mafunzo hayo kwa watumishi wa umma...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Wana JF naombeni ushauri wenu zikiwemo changamoto zake. WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUELEWA BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta wauzaji wa vipodozi na mafuta mgando kwa jumla

    Za saa hizi wakubwa. Natafuta wauzaji wa vipodozi na mafuta mgando kwa jumla. 0715058481 kwa mawasiliano
  11. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Kwanini ngozi yako haina mvuto?Mambo 5 ya kufanya uwe na ngozi nyororo nila kutumia vipodozi

    Cha kwanza niwafahamisheni kuwa , kuanzie leo ondoa mawazo yako kuwa ili uwe na ngozi yenye afya ni lazima uwe na vipodozi vingi.Bali baadhi ya vipdozi havipendani na vingine, ukazidi haribu ngozi yako. Leo nakupa mambo 5 ya kuzingatia, hata ukitumia mafuta aina moja tu, utakuwa na ngozi...
Back
Top Bottom