vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msiokunywa pombe, mnastarehe vipi?

    Kutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe. Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida. Pamoja na yote hayo, naona...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke mbinafsi hua mnaishi nae vipi??

    Kuna mwana mmoja dereva wa bajaj, sasa kuna usiku mmoja alikesha ila biashara haikuwa nzuri. Asubuhi mkewe anataka hela ya pampas, akamwambia kama ana kaakiba akanunue, ila mchana akiingia mzigoni atampa, demu kakomaa ila jamaa akambembeleza, baadae akamfunga mtoto vikanga. Sasa mwana siku...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa anaagizwa akalinde heshima ya Spika wa Bunge Mbeya? CDM waliona mbali make vipi wangekuwa ulingoni na haya yakatamkwa?

    Bado kuna wahuni humu wanataka Sugu aende ACT wazalendo na agombee Ubunge?
  4. JamiiForums Tanzania Huyu mdada vipi amenielewa au vipi

    wakuu habari za siku #NoReformsNoElection Kuna mdada mmoja nilikuwa namfukuzia sana lakini ni kama vile alikuwa hanielewi nikaamua kuachana na hilo swala tukiwa tunakutana nampa hi tu kisha nasepa lakini pia kazi zangu baadhi nilikuwa naenda fanyia ofisini kwake stationary Sa umepita muda...
  5. JamiiForums Tanzania AIPAC ni nini ? Kwa nini na ki vipi inaamua sera za nje za marekani juu ya Israel

    AIPAC ni nini ? A National Movement of Pro-Israel Americans WE ARE more than 5 million pro-Israel Americans from every congressional district who are working to strengthen bipartisan support for the U.S.-Israel relationship. Imeanzishwa lini ? AIPAC was founded in 1954 by Isaiah L. Kenen, a...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu, fawanews vipi tena?Siku ya tatu hii naijatibu imegoma

    Wakuu lile chimbo letu la kucheki mechi mbalimbali fawanews kila nikiingia hola, dah uhondo wetu wametuondolea nini?
  7. JamiiForums Tanzania Mnaokarabati uwanja wa Benjamin Mkapa, msisahau kuu-pimp kwa kuuwekea urembo/decorations, bustani za nje, viti vya V. i. P viwe leather. Pitch vipi?

    Nadhani watu wamechoka kuona zege tu pale kwa Mkapa. Tutafute namna ya kuufanya uwanja uonekane tofauti. Wataalamu walio decorate Amahoro Stadium ya Rwanda wapo, nje inakuwa na mfumo wa kupendeza. Pia VIP viti viwe leather. Tusibadili viti tu. N. B. Media house ziombe tour ndani ya uwanja...
  8. JamiiForums Tanzania Six days war ilifanikiwa vipi ? Kipi kina shindikana sasa ?

    Six days war ilifanikiwa vipi ? Kipi kinashindikana sasa IDF na kakikundi ka Hamas mwaka wa pili unaelekea sasa IDF na Iran haifahamika hatima yao mpaka leo
  9. JamiiForums Tanzania Unawafahamu Vipi Wairani?

    UNAWAFAMU VIPI WAIRANI? Vita vya Iran na Israel vimevuruga ratiba yangu ya kazi kwani muda wangu mwingi unakuwa katika kufuatilia vita hivi katika vyombo vya habari mashuhuri ulimwenguni – Al Jazeera, CNN, BBC, Fox News halikadhalika nafuatilia katika media nyingine si maarufu kama hizo lakini...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba mwanamke siyo ndg Yako hata kama umtunze vipi akiamua kukuacha atakuacha tu!

    Heri kwenu nyote. Wiki iliyopita Hadi Jana nilikuwa sehemu Moja kijijni katika harakati za kukusanya mpunga Kwa wakulima. Sehemu hiyo ni Geita wilaya ya Nyang'hwale msalala Kijiji Cha bumanda senta ya Zanzibar Nikiwa nikiendelea na makusanyo ya mpunga maeneo hayo kumbuka Mimi ni mzaliwa wa...
  11. JamiiForums Tanzania BODI inalamba matapishi yake hahaaa ...wameliwa juzi derby vipi ooh YANGA wanaijua tar hawana mda WA kujadili Leo mnajadili xxxxxx

    HUYU BWANA ananshangza sanaa YAAN achrlewajo KULAMBA matapishi yake na BODI yake Majuzi tu MGUTTO kauhojiwa vipi kuhusu derby kajibu Haina shida tushatoa ratiba na HATA hao WANASEMA hawachezi watachexa wanajua
  12. JamiiForums Tanzania Vipi hapo ulipo umeoa mke au umeoa mke na familia nzima

    Kwa bahati mbaya kuna watu badala ya kuoa mke ila wanajikuta wanahudumia mke na familia nzima yaani hii ni utake hsitake. Hasa ukiaa muoga kuaachana wanahamiavwote kwako.
  13. JamiiForums Tanzania Simba yamponza Heri Sasii, afungiwa miezi 6 kwa kushindwa kumudu mechi dhidi ya Singida Black Stars

    Mwamuzi wa kati wa mchezo tajwa hapo juu, Henry Sasi amefungiwa miezi sita (6) kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo huo baada ya kufanya maamuzi mengi yaliyoashiria kushindwa kutafsiri sheria 17 za mpira wa miguu. Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 42:1(1.1) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kazi za national law societies hususan TLS ni vipi? Je, ni hizi anazofanya huyu Rais wa TLS ambazo hazina tofauti na zile za wanaharakati?

    National law societies, like the Tanganyika Law Society (TLS), primarily focus on representing and protecting the interests of the legal profession and the public. This includes advocating for fair conditions of practice for lawyers, ensuring access to justice for the public, and promoting the...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Hii ratiba imekaaje, vipi nyie mmeielewa?

    Ijumaa tarehe 6/6/ 2025 South Africa vs Tanzania (friendly match) Kesho yake Jumamosi 7/6/2025 Tanzania vs Madagascar (COSAFA cup) Tarehe 11/6/ 2025 Eswatini vs Tanzania Siku nne baadae, 15/6/2025 Yanga vs Simba 18/6/2025 kenGold vs Simba 22/6/2025 Simba vs Kagera NB: Ratiba ya Simba ndio...
  16. JamiiForums Tanzania Vipi maendeleo ya uwanja mpya wa Dodoma?

    Kuna jambo linanishangaza kidogo, embu tusaidiane. Kila siku naona ziara za kutembelea ujenzi wa uwanja mpya wa Arusha, ila sijawahi kuona wala kusikia maendeleo ya uwanja mpya wa Dodoma. Je, uwanja huo haupo katika plan za AFCON? Pia nina wasiwasi sana hizi ziara za uwanja wa Arusha...
  17. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufumaniwa Kwa sms,calls za mchepuko wako, na mwennza wako? Je ulimaliza vipi huo msala?

    Habari za majukumu wakuu? Husika na kichwa Cha habari hapo juu, umeshawahi kukutwa na sms, au calls za mchepuko wako uwe unachati au alichat, uwe uliongea nae au umekutwa live ukiongea nae kwenye simu na mwenza wako? Iwe wa ndoa au unaeishi nae? Je ilikuwaje? Je ulisolve...
  18. JamiiForums Tanzania Online writen interview za Utumishi wanatoa vipi maksi?

    Nimetoka kuangalia matokeo ya written iliyofanyika nimeshangaa kwani nilizofanya ilikua na maswali 30 tu Sasa Kuna namna maksi zimekua very accurate hakuna decimal point Wala Nini sijui ni mfumo gani wanatumia kurate maksi? Maana unakuta mtu ana 95, mwingine 94, 93, 92, 90, 89 88, 87, 86, 85 na...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania itanufaika vipi na uteuzi wa Prof. Janabi WHO

    Kwanza napenda kumpongeza Prof. Mohamed Yakub Janab kuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kipindi cha 2025–2030. Napenda kufahamu sisi kama watanzania pamoja na nchi kwa ujumla tutanufaika vipi na uteuzi huu. Naomba kuwasilisha The introvent ✍️ Soma...
  20. JamiiForums Tanzania Dr. Mpango hapa umetupanga 100%, huwezi kuacha umakamu wa Rais ili uende kulima. Vipi umefukuzwa?

    Kuna vitu ukivisikia tu, hapo hapo akili inakataa. Dr. Philip Mpango, makamu wa Rais wa Tanzania ameamua kufunguka sasa kwa kueleza wazi yeye mwenyewe (sio kusemewa tena) kuwa, kwa sasa anakwenda kustaafu nafasi ya makamu wa Rais, hivyo kuanzia November baada ya uchaguzi mkuu kwisha hatarejea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…