vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi kama CCM wametendeana hivi (mtu mkavu) vipi Kwa wapinzani? (Mti mbichi)

    Vyombo vya ulinzi angalieni yaliyotokea kwenye uchaguzi wa CCM maeneo mbalimbali nchini. Swali kwenu kama wameutendea mti mkavu hivi vipi Kwa mti mbichi? Kuna Uzi uliwekwa hapa asubuhi hapa Kwa kumpongeza Lissu kujitoa sadaka Kwa wengine na Mimi naunga mkono lissu ni kama mkombozi Kwa walio...
  2. JamiiForums Tanzania Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

    Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu vipi Leo ni 3/8 / Rais kavunja Bunge ?.

    Wakuu nilikua Bize siku nzima !!. Mwenye Ufaham na hili
  4. JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Lissu tupeni tafsiri ya "kukinukisha vibaya sana" ili tujue tujiandae vipi?

    Nilimsikia mh. Lissu kwenye Moja ya mikutano yake akisema, kuahidi na kuapa kuwa watakinukisha vibaya sana siku ya uchaguzi 2025. Ukweli sisi waoga tulishikwa na hofu kuhusu kauli hii adimu kuisikia. Shida yangu ni kwamba sijui kukinukisha vibaya sana ni nini, watatumia nini kunukisha, kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Huwa mnadili vipi na ndugu wa aina hii?

    Za jumapili wakuu moja kwa moja kwenye mada, hivi huwa mnadili vipi na ndugu wa namna hii yeye akikutafuta ni kukuomba hela tu,, na hakuna chochote anachokusaidia kwenye maisha yako. Ni dada yangu mtoto wa mama angu mkubwa, kuna kipindi waliuza eneo lao kama milioni 30 hivi, wakapewa mamilioni...
  6. JamiiForums Tanzania Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya Samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu

    Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu. Suala la kufungia mitandao kwasababu watu wasiongee, linaminya uhuru wa kujielezea na haki za binadamu ungekuwa wewe ungejisikiaje ?
  7. O

    JamiiForums Tanzania Vijana tumejiandaa vipi na fursa zinazotokana na wafanyabiashara wa kigeni waliozuiwa kufanya biashara nchini?

    Katika taarifa inayoenea mtandaoni wizara ya viwanda na biashara imepga marufuku baadhi ya biashara kufanywa na wageni, Je sisi km vijana wa kitanzania tumejiandaa vp kuziba nafasi hzo au sisi kazi yetu kulalamika tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi Kununua Spare Part Fake? Iliathiri Gari Lako Vipi?

    Wakuu habari zenu. Napenda kuanzisha mjadala kuhusu changamoto ambayo naamini wengi wetu ambao tunamiliki magari, au tunashughulika na magari, tumeikumbana nayo angalau mara moja – kununua spare part feki. Iwe ni kwa kukosa uelewa, kwa kushawishiwa na mafundi, au kwa sababu ya bei kuwa ndogo...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada : Changamoto nimekwama hapa kwenye kuomba mkopo HELSB naisovu vipi hii ?

    Moja kwa moja.. Namuombea dogo mkopo kwenye kipengele Cha kuweka namba ya Napa karibia siku ya Tatu inasema hivyo , nimemwambia anitumie barua ya Napa yenye hiyo namba labda alivyonitumia alikosea , akanitumia nimehakikisha ila bado sasa sijajua tatizo ni Nini ? Naomba Msaada wakuu..
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mdau, ulitatua vipi kesi yako na NMB Bank?

    Nina kesi na Bank ya Nmb yapata wiki sasa. Eti wadau, huwa mnatatua vipi kesi zenu na hii Bank? Kesi hiko hivi, Nilifanya muamala kutoka Nmb Mkononi kwenda prepaid card, 1mil + jpili iliyopita. Mpaka leo, ni siku saba sasa, lakini muamala huo bado haujatimia, wala fedha hazijarejeshwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Maria space leo haipatikani, naona hata VPN haifanyi kazi. Kwenu vipi? Hata JF kufunguka ni shida

    Maria kama inawezekana uwe una rwecord unatuwekea kwenye youtube. Naona wamebinya walposikia Heche atahutubia........ tumekwisha
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume - Mwanamke vipi 50 Kwa 50 Kwenye ndoa au penzi lako imesaidia au kilio?

    50 Kwa 50.
  13. JamiiForums Tanzania Una deal vipi na matengenezo ya nyumbani kwako usiyoweza kuyamaliza?

    Ni mimi pekee yangu hili linanitokea au hata kwa wanaume wengine/wababa? Utakuta kwa mfano kuna socket haifanyi kazi nyumbani, baiskeli ya mtoto, mlango au kifaa cha umeme,-kinapoharibika mara nyingi sitafuti fundi. Ninauhakika nitatengeneza kama sijui kutengeneza nitajifunza. Kama ni...
  14. JamiiForums Tanzania Vipi mtaani kwako Hali ni shwari?

    Hali ilivyo muda huu ndani ya Chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025
  15. JamiiForums Tanzania Nyufa ni kubwa sana hata mfiche vipi, CCM matatani

    Anaandika Kigogo NYUFA NI KUBWA SANA HATA MFICHE VIPI ,BASHE AMEITIA CCM MATATANI Kitendo cha kuahirishwa vikao vya juu kabisa vya CCM kwenye kufanya uteuzi wa wagombea wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025 ni jambo zito na gumu sana kuwahi kutokea kwenye uhai wa CCM. Sababu za kitoto...
  16. JamiiForums Tanzania CCM ikifa, tutazika au tutasafirisha?? Kila baada ya miaka 10 CCM hujihuisha kwa kupata dam mpya kwenye circulation ila miaka hii 10 ya sasa vipi?

    Desturi hii imetuokoa sana sana sana. Kila alipoingia mwamba mwingine aliingia na mfumo mpya uliotosha kukiponya Chama na kukiokoa na makando kando yaliyo tawala kwa myaka kumi ilokuwa inaisha. Sasaivi tupo na maza, ameshikilia kijiti toka alipoingia 2015, as cheo chake ndani ya chama...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbe kule gizani kulikuwa na giza lingine bila wao kujua sasa ni Mtu kati lazma akubali na kuna lingine zito zaidi linakuja vipi Mtoto wa mjini?

    Wakuu things are cottonfire the ground is hot,tutarajie something worst as soon as possible. siyo yeye tu anayetetemeka kwa presha na hasira kali habari ni kwamba ile press ya Slow Slow ni cha mtoto kuna mtu mzito anataka kuachia bomu na hapatakalika tena. unaambiwa hadi yule mtoto wa mjini...
  18. JamiiForums Tanzania Vipi bado tuendelee kuuamini huu Upuuzi au tukubaliane tu kuwa Dunia ni Sayansi na kwamba tuheshimu tu Asili?

    Kuwa sijui.... 1. Ukiona Paka jike na dume wanatiana jua ni Uchuro ama utakufa au utapokea Msiba 2. Bundi akitua katika Paa la Nyumba yako jiandae Kufa au Kufiwa 3. Mbwa akibweka sana Usiku Kwako jua Wachawi wanapigana Angani Kwako hivyo utaamka Asubuhi ukiwa Mchovu kama umetoka Kulimishwa...
  19. JamiiForums Tanzania Aina ya maboss na changamoto zao boss wako yupo vipi?

    Hell Katika maisha tumepitia mengi sana na kukutana na watu tofauti Boss wangu wa kwanza alikuwa wakike huyu alikuwa mkali sana ukikosea kidogo ana kusema mbele za watu akimaliza ana kuambia rudi nyumbani mpaka nitakapo kupigia mimi simu tena hapo ana taka uende ofisini kwake uka mlambe miguu...
  20. JamiiForums Tanzania Demu wako ila kukupa hadi Hela inawezekana vipi?

    Wajomba kuna kijana wangu ana demu wake wameka miaka kama 3 hivi ola siku hizi jamaa kama kawa mwehu sababu ya demu Imagine demu hataki mazoea kama zamani na mzigo hadi jamaa atoe hela ndio anapewa hahaha juzi kafukunyua mzigo ile anamaliza likavuka ugomvi mkubwa demu anasema hawezi kuja bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…