viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tumtafute Mungu sana pia tutafute pesa kwa bidii

    MUOMBE MUNGU SANA TAFUTA PESA KWA BIDII: ayo mengine ACHANA nayo kwanza. Maisha yamebadilika Sana, nakumbuka wakati na kua, nyumbani kwetu, kulikua na desturi kuwa siku ya juma pili huwezi kwenda kwa mkristo ukamkuta anafanya kazi ngumu kama vile kulima, kukata majani ya ng'ombe pia hata...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini susieni Mkutano wenu na RC Chalamila kwa kuwa ajenda yake ya Aibu imejulikana

    Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja. Ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia CCM kubaki madarakani, ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Wiki ijayo nitakuwa na kikao na Viongozi wa Dini ajenda kubwa ni Tokomeza adui ili Rais Samia apenye bila kupingwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameyasema hayo akizingumza katika mapokezi ya ndege mpya ya mizigo aina ya BOEING B767-300F, mapokezi yanayoongozwa na Rais Samia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kufikia 2030 tutahitajika kujenga minara ya viongozi hawa wawili ingawa tutafika tukiwa tumechoka sana

    Habari JF, Nchi kuanzia mwaka 2015 ilianza kupitia mabadiliko makubwa sana ya kimipango na kimiradi, madilikohaya yameletwa na watu wawili ambapo by 2030 kuna uwezekano mkubwa baadhi ya matatizo yakawa ni historia. 1. Hayati Magufuli ,alianzisha mipango/mifumo na miradi ambayo hata yeye...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sababu hizi zitatufanya ichukue muda sana kupata viongozi kama Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere

    Habari JF, Ukiaachana na nguvu kubwa inatumika kuonesha umma kwa Hayati Magufuli hakufanya kitu huku vitu vinaonekana na tuhuma nzito ambazo hazina ushahidi bado haiwezi ondoa ukweli kwamba hawa viongozi wawili watabaki kuwa bora kuwahi kutokea nchini mwetu. Kwa kifupi bado tunawahitaji lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kwanini maamuzi mengi ya Viongozi (Serikali) yanapingwa sana na wananchi walio wengi?

    Ni kweli kuwa huwezi hufanya jambo la kuwafurahisha watu wote. Na si kila mtu atapendezwa na mambo uyafanyayo hata kama ni mazuri kiasi gani, Ila basi angalau mambo yaliyo mengi ufanyayo yapendezwe na walio wengi.! Mie nachukulia JF kama case study. Ukiachana na watu wachache sana ambao wao...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Je, uzalendo ni kwa walalahoi tu mbona viongozi wetu hawaoneshi kwa vitendo?

    Je wajua ?? 1. Raisi halipi kodi 2. Makamu wa raisi halipi kodi 3. Waziri mkuu halipi kodi 4. Mawaziri hawalipi kodi 5. Manaibu mawaziri hawalipi kodi 6. Wakuu wa mikoa hawalipi kodi 7. Wakuu wa wilaya hawalipi kodi 8. Wabunge hawalipi kodi Hawa wote hakuna hata Senti Moja...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Tuwakumbuke Viongozi wa halmashauri za vijiji, Vitongoji na mitaa katika kuumega mkate

    utangulizi Utawala wa vijiji ,vitongoji na mitaa ni miongoni mwa tawala katika serikali za mitaa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni utawala wa chini kabisa kimuundo ukitanguliwa na utawala wa Kitongoji. Kuwa utawala wa chini haimaanishi kuwa na umuhimu mdogo; isipokuwa ni kupitia...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio NEMC, uchafu wa Mazingira ni ugonjwa wa akili unaotakiwa utibike Kisaikolojia. Hata baadhi ya Viongozi wanaumwa

    Chimbuko la kelele lipo kiimani na kisaikolojia. Nashauri NEMC Pelekeni hoja Wizara ya Elimu ili watakapoboresha mitaala yao, somo la Sayansi kimu lifundishe kwa kina madhara ya uchafuzi wa mazingira ikiwemo kelele. Tukumbuke kwamba baadhi ya viongozi wanaumwa huu ugonjwa wa kisaikolojia na...
  10. JamiiForums Tanzania Orodha ya viongozi walioteuliwa na Rais Samia na kuonyesha uwezo mdogo kiutendaji na kiuongozi ni hawa hapa

    Karibuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma. 1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa 2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe 3. RPC Geita 4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake 4. Waziri wa Afya-Chanjo...
  11. JamiiForums Tanzania Hawa ndio viongozi wa CCM tunaotarajia wajadili katiba mpya.

    CCM wanajimilikisha mpaka polisi na kuona ni utovu wa nidhamu kwa polisi kupinga kuwa CCM.
  12. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali ianzishe utaratibu wa kuwashughulikia viongozi wa dini wanaohatarisha maisha ya watu

    Kutokana na madhara yanayoendelea kuwapata watu kutokana na mafundisho au maelekezo ya baadhi ya Viongozi wa Dini kwa ajili ya kutimiza haja zao au kutimiza mahitaji yao na matamanio ya mioyo yao, imepelekea kuathiri maisha ya watu kwa namna moja au nyingine. Kutokana na athari hizo zinazo...
  13. JamiiForums Tanzania Dunstan Kitandula: Hekima za Viongozi Wetu Zilitumika Dhidi ya Migogoro

    MBUNGE DUNSTAN KITANDULA - HEKIMA ZA VIONGOZI WETU ZILITUMIKA DHIDI YA MGOGORO "Naiomba serikali yangu itusikie, walisaini document ya makubaliano lakini baada ya makubaliano hayo Bado kumekuwa na chokochoko za jeshi la ulinzi la Kenya kuingia kwenye maeneo yetu lakini wananchi wetu walipoingia...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Ndoto ya asubuhi ya Watanzania ya kuwa na Tanzania ya uchumi wa gesi na madini imo mikononi mwa viongozi wa Taifa hili

    UTANGULIZI Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za gesi asilia na madini katika bara la Afrika na duniani. Hili linathibitishwa na mifano mingi ya madini yenye thamani kubwa yanayopatikana katika mikoa mingi nchini, kama vile dhahabu, Tanzanite, almasi, chuma, nikeli, makaa ya...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi sita wa Afrika kusuluhisha mgogoro wa Ukraine na Urusi

    Ujumbe wa viongozi hao wa Nchi 6 za Afrika unatarajiwa kufanya mazungumzo na pande mbili wenye lengo la "kuanzisha mchakato wa amani." Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy wote wamekubali kuwa wenyeji wa ujumbe huo kutoka Afrika Kusini, Senegal, Misri, Jamhuri...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wenye watoto wanaosoma kwenye shule yenye madarasa kama haya?

  17. M

    JamiiForums Tanzania Nani aliwachagua kuwa viongozi wa dunia? G7 ni viongozi wa nchi 7 tu si zaidi ya hapo

    Viongozi wa G7 naona wameamua kujibatiza kama viongozi wa dunia!! Vyombo vya habari vya magharibi viko mstari wa mbele kuwatangaza kama viongozi wa dunia. Watu husema kuwa uongo ukisemwa sana, na watu wakaumezea hubadilika pole pole kuwa ukweli. Dunia lazima ikatae sasa kuwa marais wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mahubiri yamezidi kuwa holela sana. Tatizo ni Viongozi wa jiji

    Asubuhi ninapokwenda Kariakoo kwenye mishemishe zangu lazima niwahi kupanda Mwendo kasi pale Mbezi mwisho. pale ninaposubiria gari kuna wale jamaa walioweka Spika zao na kakikapu ka sadaka huku wakihubiri, huwa nashindwa kuongea na Simu sababu ya sauti za spika. Afadhali ingekuwa ni mara moja...
  19. JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa viongozi wa umma: Watanzania ni waoga? Nani kakudanganya. Wape platform wakuonyeshe

    Hii natoa tahadhari kwa kiongozi yeyote wa Umma kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini. Msiwachukulie poa watanzania....watanzania sio kabisa. Ni wavumilivu kweli, lakini uvumilivu una mwisho. Tuishi. Nasikia sikiaga watu wakisema watanzania ni waoga, tena sana. Kwamba, Kenya ndio watu sio waoga...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Urambo kuna viongozi kweli?

    Jamani viongoz i wa Urambo kuanzía Mkuu wa Wilaya, mkurugenzi na Baraza la madiwani mnaruhusu gereji za pikipki kuzagaa kila mahali kwenye ka mji kenu yaaani mmekosa eneo moja la kufunguà gereji kila anaehitaji huduma aifate mahali rasmi. Kamji kachafu kamejaa oil chafu za pikipik mara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…