Nawashangaa wanaopiga kelele; viongozi wetu wabadhirifu, wala rushwa, wanaingia mikataba isiyo ya maana kama enzi za ukoloni za kubadilisha dhahabu na vipande vya jiwe na kadhalika, tunawalaumu bure tu, kuwatwisha msalaba usiowahusu. Hivyo ndivyo walivyokuwa toka wakiwa wanaomba ridhaa ya...