viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba sc , Njooni mtuombe radhi mashabiki wenu kwa kutudanganya uwa Lameck Lawi ni mchezaji halali wa Simba sc

    Mpaka sasa uongozi wa Simba sc upo kimya tu na hautaki kujitokeza hadharani na kutuomba Radhi mashabiki wa mnyama lialia nikiwepo mimi mwenyewe na ndugu yangu wa damu Gentermycin. Hizi ni dharau kubwa sana ina maana viongozi wa Simba sc wamesahau kabisa kuwa wamedanganya mashabiki kwa kutuambia...
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani ichukue hatua Kali kwa viongozi wa Iran kwa kuharibu kuua wanasiasa na viongozi wa Marekani

    Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Shangwe Ayo: Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo watafanya ziara kwenye Mikoa 22 na Majimbo 125 Tanzania Bara

    ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY (ACT WAZALENDO) TAARIFA KWA UMMA VIONGOZI WAKUU WA ACT WAZALENDO KUFANYA ZIARA KWENYE MIKOA 22 TANZANIA BARA Kuanzia tarehe 22 Julai 2024, Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo watafanya ziara kwenye Mikoa 22 na Majimbo 125 Tanzania Bara kwa ajili ya kujiandaa...
  4. Girland

    JamiiForums Tanzania Namna ya uwasilishaji ya Chalamila kuhusu Dart Simu 2000, je viongozi wakumbushwe kuwa wananchi ni maboss wao?

    Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia. Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Viongozi wenye kutisha watu majukwaani hawamalizagi round kwa sababu wana akili ndogo za kutawala. Simba mwendapole ndiye Mla nyama

    VIONGOZI WENYE KUTISHA WATU MAJUKWAANI HAWAMALIZAGI ROUND KWA SABABU WANA AKILI NDOGO ZA KUTAWALA. SIMBA MWENDAPOLE NDIYE MLA NYAMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Najua ipo siku utajikuta ni mtawala au kiongozi. Ikiwa itatokea hivyo basi nisikilize Mimi Mtibeli alafu utakuja kunishukuru...
  6. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Viongozi kutishia wananchi hadharani hii imekaeje wakuu?

    Katiba inasema hivi au chalamila ana katiba yake mwenyewe inayomuongoza na ni kwanini viongozi wanaongea hivi na hakuna hatua zinazochukuliwa? "8.-(1) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii, na kwa hiyo - (a) wananchi ndio msingi wa mamlaka...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki amewahadaa sana viongozi wa Simba, hawatamsahau kamwe

    Hahahaa sakata la Aziz Ki bora limeisha. Ukwelii Aziz alishaingiziwa mzigo akiwa huko kwao. Kilichoendelea ni kuwachezesha Simba viongozi kadhaa wamempigia wakaimba naye weee akawaahidi akitua atakuja kumalizana nao. Masikini Ahmed Ally akakimbilia mtandaoni hajasaini unajua Azizi mtu makini...
  8. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mburahati wamueleza Waziri Masauni "kuna viongozi wanawalinda waharifu waziwazi”

    Wananchi wametoa maoni kuhusu Jeshi la Polisi na kumwambia Waziri baadhi ya changamoto zilizopo ni viongozi kuwatetea wahalifu na wengine kutowahudumia wanapokuwa na uhitaji kwenye vituo vya Polisi - Waziri Masauni ametoa taarifa ya Serikali akielezea mkakati wa Serikali wa kupeleka Polisi Kata...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwananchi amwambia Waziri Masauni “Kuna Viongozi wanawalinda Waharifu waziwazi, hatuwataki hao.”

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amefika na kusikiliza kero za Wananchi wanaoishi maeneo ya Viwanja vya Mtaa wa Barafu Kata ya Mburahati Wilayani Ubungo wakati wa ziara ya Waziri huyo kukagua utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya Wizara. Waziri Masauni ametoa taarifa ya...
  10. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wapo tayari kuweka kando dhamana ya mamilioni ya wananchi na kumlinda mtu mmoja!

    Heshima kwenu wanajamvi, Nimemfuatilia Mh. Rais Mstaafu Mzee Kikwete akielezea mahusiano yake na familia ya Manji, kwamba alikabidhiwa kijana wake amlee. Ni wazi Manji alikwapua fedha nyingi za NSSF kupitia miradi kausha damu. Tuna shukuru Mungu Magufuli alimfikisha sehemu yake inayostahili...
  11. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027 : Mechi za ufunguzi na fainali kufanyika Kenya ni failure kwa viongozi Tanzania

    Nimesikitika sana kuona nchi ambayo kwa siku za karibuni haijashiriki wala haina perfomance nzuri katika michuano ya soka kimataifa kupewa kipaumbele mbele ya Tanzania ambayo miaka ya karibuni imefanya vizuri kimataifa, hususan barani Afrika. Je, viongozi wetu wamelala tu wala hawahangaiki au...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa akemea tabia ya viongozi katika kata kuchonganishana

    BASHUNGWA AKEMEA TABIA YA VIONGOZI KATIKA KATA KUCHONGANISHANA. Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amekemea tabia ya viongozi wa kisiasa katika kata ya Kituntu Wilayani Karagwe kuvutana na kuchonganishana na kupelekea kuchelewesha utoaji wa huduma kwa wananchi...
  13. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Najiuliza bila kupata majibu, ni nani anawashauri washauri wa viongozi wetu?

    Habarini za wakati huu. Pasi na shaka wapo washauri wa viongozi wetu, na viongozi ndyo huwachagua watu hao. Napata mashaka kuona baadhi ya viongozi kuwa na hoja hafifu na uwezo mdogo wa kupambanua mambo, mimi sijabobea katika siasa lakini atleast naweza kuona na kuelewa mienendo ya viongozi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, shughuli za uapisho nchini ni gharama kubwa zisizo za lazma, Viongozi badilikeni

    Hivi nyie watawala wa hii nchi ni mpaka watanzani nao siku moja wafanye maamuzi magumu kama vijana wa Kenya? Like kundi lote kwenye uapisho lina ulazima gani na ni kwa gharama ya nani? Watu wanapanda ndege kutoka Dodoma mpaka Zanzibar na kurudi bila sababu yoyote ya msingi eti kwenda kushiriki...
  15. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo viongozi tuliowaamini wanavyotafuna nchi juu ya migongo yetu. Sijui lini tutaamua kusimama!!

    Sijui huu ulofa tuliutoa wapi?
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa viongozi wa umma hawasomi shule za umma?

    Watoto na wajukuu wa viongozi wakuu wa umma (Rais, Marais wastaafu, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, wabunge, wakurugenzi wa wilaya, wakuu wa mashirika ya umma, wakuu wa chama tawala, nk) hawako kwenye shule za umma wanazozijenga na kuziongoza kwanini? Ni watoto na wajukuu wa wakulima...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mmetufanya wengi tuwe Waasi dhidi ya timu yetu

    Sisi Simba ni timu ya mioyo yetu, hatufaidiki wala kunufaika na chochote zaidi ya furaha, watu wanasafiri kutoka Bukoba, Mbeya, Kigoma wengine wanatumia baiskeli kuja kuwasapoti nyie viongozi na timu kwa ujumla. Miaka ya hivi karibuni ilikuwa nadra sana kusikia Simba ikizozana na mashabiki...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA, Wajiandae kumpoteza Rose Mayemba

    Salaam Wakuu, Natoa tahadhari kwa Wafusi wa Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA. Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA kama walivyofanya kwa Mchungaji Msigwa, Wajiandae kumpoteza Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Njombe Rose Mayemba. Mheshimiwa Rose Mayemba...
  19. pachawako

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuweka mchujo mkali kwenye chaguzi zetu ili kupata viongozi bora

    Habari wana JF. Leo nataka niseme, hali yakuendekeza njaa kwenye kila kitu imesababisha kutengeneza mifumo mibovu inayokuja kuleta waropokaji na watu wa deals wengi kuliko watendaji wa maendeleo kwenye nchi yetu. Mfano, mtu anachaguliwa kugombea kupitia committee ya chama chake then anakuja...
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi hawakatwi kodi?

    Nilidhani hawakatwi kodi kwenye mishahara kumbe mpaka kwenye huduma nyingine!
Back
Top Bottom