viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Uchaguzi wa Viongozi wa TLS umeingia Katika hali ya Sintofahamu, mfumo wa “Mjue Wakili” wagoma

    Kutoka katika Ukumbi wa JKCC uliopo jijini Dodoma, mawakili wa Tanzania Bara wamekusanyika kwa ajili ya zoezi muhimu la kupiga kura kuchagua Rais, Makamu wa Rais, na viongozi wengine wa Chama cha Mawakili Tanzania bara(Tanganyika Law Society - TLS). Matokeo ya uchaguzi huu yanatarajiwa kutolewa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Wafahamu kwa majina na picha Viongozi wakuu wa magaidi wa Hamas waliopo hai sasa, wamenusurika mara kadhaa kuuawa. Unatoa ushauri upi kwa MOSSAD

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeona ni vema tukawajua angalao kwa ufupi tu Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas wakiosalia hai hadi leo Agosti 1/2024 Hawa ndiyo Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas waliopo hai leo hii huku msako mkali ukiendelea dhidi yao Wengi wao wamenusurika kimaajabu majaribio...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini viongozi wa Wakatoliki sijawaona hapa?

    Au hawakualikwa, na kwanini hawakualikwa? Je kuna ulazima wa kushirikisha watu wa Dini kwenye mambo kama haya, Kwanini? 4
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?.

    Wanabodi Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mashabiki tumetimiza wajibu wetu kununua tiketi zote, tafadhalini sana naomba msituangushe, Yanga wao hadi supu za bure ndio wanajaa

    Msimu uliopita tumekwazika sana, pengine katika maisha yetu ya soka hasa kwa vijana wa kizazi hiki wasioijua simba msimu uliopita tulipoteana sana, sisi ndio tumewafanya Yanga waonekane wako juu kutokana na kuhujumiana, kusalitiana, migogoro ya wenyewe kwa wenyewe nk. Hata hivyo mambo yote hayo...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa wazee waliostaafu umewafanya watumishi wa umma kutojiandaa kustaafu; viongozi wana matumizi mabaya ya fedha wakiamini watateuliwa wakistaafu

    Nchi yetu wakuu wa taasisi na vyombo vya ulinzi kwa miaka ya karibuni awastaafu ila wanabadili kazi. Wanastaafu leo kesho anateuliwa mjumbe wa bodi au balozi. Matokeo ya mfumo huu hakuna kiongozi wa taasisi anayestaafu akiwa na biashara visible au kampuni inayoajiri hata vijana watano. Wao pesa...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Treni zote za SGR Kupewa majina ya Viongozi

    Hii ndio kauli mpya kutoka kwa Waziri wa Uchukuzi Mh Makame Mbarawa HATA HIVYO MIMI NAPINGA JAMBO HILO KWA NGUVU ZOTE NA NITAHAKIKISHA HALITEKELEZWI KWA SABABU HALINA MAANA YOYOTE KWA WANANCHI NA WALA HALITOSAIDIA CHOCHOTE Majina ya viongozi yabaki kuwa mali ya familia zao kwa faida ya koo zao...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: Ofisi nyingi za Serikali za Mitaa hazina vyoo, Viongozi na Wananchi wanateseka, Mamlaka chukueni hatua hii ni aibu

    Wakati Serikali na wadau mbalimbali wakisisitiza umuhimu wa jamii kuwa na vyoo bora ambavyo vinaweza kuepusha baadhi ya magonjwa yakiwemo ya milipuko, upande wa ofisi nyingi za Serikali za Mitaa hazina vyoo kabisa huku kati ya ofisi zenye huduma hizo baadhi vyoo vyake hivipo katika hali ya...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Kuuzwa soko la Kurasini, viongozi warushiana mpira

    Wakati viongozi wa soko la Kurasini, lililopo Mtaa wa Shimo la Udongo, barabara ya GSM jijini hapa, wakieleza wapo hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kuuza soko hilo, uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umesema hautambui mauzo hayo. Mbali ya halmashauri, uongozi wa mtaa na...
  10. El imran

    JamiiForums Tanzania Kauli za kipuuzi zinazotolewa na viongozi kukwepa uwajibikaji

    1. Serikali imejitahidi sana 😪😪 2. Ungekuwa wewe ndio kiongozi ungefanya nini?😥😥 3. Sio kazi ya serikali kumletea mwananchi maendeleo binafsi, kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira. 😕😕😕 4. Tanzania ndio nchi pekee yenye kiwango kidogo cha ———, mmeona nchi X, Y, Z?😠😠 5. Deni letu ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi tendeni haki kwa mnaowaongoza

    Kutenda haki kwa watawala ni mada muhimu katika Quran, ambayo inasisitiza uadilifu, usawa, na kutokufanya dhuluma kwa watawala. Aya nyingi katika Quran zinatoa mwongozo kwa viongozi kuhusu jinsi wanavyopaswa kutenda haki na kutawala kwa busara na uadilifu. Hapa ni baadhi ya aya zinazohusiana na...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kuna ugumu/uzito gani kuweka wazi Afya ya Kiongozi pale anapougua?

    Habari! Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma. Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo. Kuna ugumu gani...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba Awataka Viongozi Halmashauri Kusimamia Miradi ya Elimu kwa Weledi

    NAIBU WAZIRI KATIMBA AWATAKA VIONGOZI HALMASHAURI KUSIMAMIA MIRADI YA ELIMU KWA WELEDI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu), Mhe. Zainab Katimba amezielekeza halmashauri zote nchini zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa shule mpya maalum za wasichana za mkoa kuhakikisha wanaongeza...
  14. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Morogoro: Baadhi ya watu wanaojitambulisha kuwa ni viongozi wa CCM wanapita kaya kwa kaya kuuliza itikadi za watu

    Wakifika kwako wanataka kujua idadi ya watu wenye miaka 18+ na wanataka uwaite mmoja baada ya mwingine kila mmoja ajitambulishe na aseme yeye yuko chama gani. Wanakuwa na daftari wanaandika, sasa kama mimi niko CHAUMA wewe kiongozi wa CCM inakuhusu nini? Je hakuna utaratibu wa kufahamiana...
  15. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wajinga ndio waliwao, aisee Simba ni mbumbumbu

    Aisee katika klabu mbumbumbu ni Simba yaani Kibu Denis msimu uliopita alifunga goli Moja yenyewe yakakurupuka yakampa mkataba na million 400 baada ya kusikia Yanga wanamhitaji. Kilichofuatia ni kilio unaambiwa Kibu hayupo nchini yupo zake Norway ameomba ukimbizi amekimbilia huko na kasema...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania ni kudhani kwamba Watoto wa viongozi nao wanaweza kuwa viongozi

    Hapo ndipo tunapojikuta tunataabika na kuokota Magarasa na kuyapa uongozi. Uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu, haujawahi kuwa urithi wa Ukoo, sasa hapa ndipo ambapo Mamlaka za Uteuzi zinapoboronga
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

    Safi sana fagio linaendelea kupita👇👇 --- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi waliotenguliwa ni kama ifuatavyo:- i. B.i...
  18. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mkuu wa Idara ya Ulinzi wa Viongozi (Secret Service) ajiuzulu

    U.S Mkurugenzi wa Huduma ya Ulinzi wa Viongozi (Secret Service) Kimberly Cheatle amejiuzulu baada ya shinikizo kutoka kwa wabunge kumtaka ajiuzulu kufuatia kushindwa kudhibiti shambulio la jaribio la mauaji ya Rais wa zamani Donald Trump mnamo Julai 13, vyanzo vitatu viliiambia NBC News...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili Viongozi wa Tanzania wapunguze Magari kwenye misafara yao? Ni aibu

    Salaam Wakuu, Ni aibu kubwa mbele ya Dunia kuna Misafara ya Viongozi wa Tanzania inavyokuwa Mikubwa. Magari Zaidi ya 300 yanamfuata Mtu Mmoja tu. Magari ya Ulinzi sina tatizo nalo, ila magari ya Watu eti Waziri, Katibu, Mkurugenzi Mkuu wa Mkoa na Wilaya, IGP, nk wote kila mtu anaenda na gari...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Hukumu ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu ya Yanga. Yumo Mwigulu, Mwambe na Tarimba

    Hukumu hii ni ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu hiyo kufuatia hukumu iliyotolewa Agosti 2, 2023 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Hukumu inatokana na kesi ya msingi iliyofunguliwa Agosti 4,2022 na walalamikaji Juma Ally na Geoffrey Mwaipopo, wakitaka kutotambulika kwa Baraza...
Back
Top Bottom