Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,444
- 10,272
Nilidhani hawakatwi kodi kwenye mishahara kumbe mpaka kwenye huduma nyingine!
Badala ya kuchota kwa matajiri kuhudumia masikini, wao wanachota kwa masikini kunemesha matajiri..!Nilidhani hawakatwi kodi kwenye mishahara kumbe mpaka kwenye huduma nyingine!View attachment 3030478