viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dini huwa hawakemei huu uonezi wa Polisi?

    Naamini hawa Viongozi wa CHADEMA ni waumini, tena asilimia kubwa ni wakristo kwa nini Viongozi wa Dini wamekaa kimya au wanaona walichofanyiwa walistairi?
  2. King Leon 1

    JamiiForums Tanzania Nawashauri Simba SC wamrudie tena Elia Mpanzu amerudi kwao Congo, waachane na mchezaji wao wa ovyo

    Nimeona taarifa juu ya uyu mchezaji Elias Mpanzu ambae Simba ilijaribu kutumia nguvu kumpata ila wakashindwa kwasababu ya ofa kubwa toka ulaya ,kwa bahati mchezaji uyo ameshindwa vigezo vya kujiunga na timu iyo ya ubelgiji na kurudi kwao Congo. Nawasihi viongozi wa Simba kama kweli wanataka...
  3. King Leon 1

    JamiiForums Tanzania Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

    Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni? Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
  4. Bruno Jewel

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi wakihojiwa kwenye vyombo vya habari, kero zao wanaziwasilisha kwa rais na sio kwa viongozi wa mkoa au wilaya?

    Kumekuwa na tabia inayoendelea kushika kasi kwenye nchi yetu ya wananchi kutaka au kuwasilisha kero zao na matatizo yao moja kwa moja kwa rais, wakati huo viongozi wa mikoa na wilaya wapo na wameaminiwa na rais kumuwakilisha. Swala hili limeshika kasi sana katika nchi yetu ya Tanzania. Swali...
  5. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Vita ya U-IGP yaweza kuwa imechangia kukamatwa viongozi wa CHADEMA?

    Barua iliyopostiwa mtandaoni juzi na admin wa Police Tanzania kwenye mtandao wa X inaonyesha kusainiwa na Kamoshna Awadhi Juma Haji tofauti na barua nyingine zinazotolewa na Msemaji rasmi wa Polisi David Misime. Nini kimesababisha Mtu anayehisiwa kuyataka madaraka ya IGP atoe statement badala...
  6. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania TLS Yatoa Tamko Kulaani Ukamataji Holela wa Viongozi wa Siasa, Wanaharakati na Makundi ya Kiraia , na Kuonya Kuhusu Hatari ya Kuvuruga Amani ya Taifa

    https://youtu.be/FfitG5qRW2M?si=HcUhPfFnt9Wh7XCX Katika taarifa iliyojaa msisitizo na ufundi wa kisheria, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mwenendo wa jeshi la polisi katika kukamata viongozi wa kisiasa, mawakili, waandishi wa habari, na wanaharakati...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi: Hatujazuia mikutano ya ndani wala ya hadhara, tumezuia mkusanyiko wa Viongozi wa CHADEMA

    Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanya mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi. Pia soma: Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Kilicho pigwa marufuku ni mkusanyiko uliokuwa umeitishwa...
  8. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Africa inahita nchi moja wapo kuwa super power wa nchi zote, la sivyo! Congo itaendelea kuonewa na kila viongozi wa vinchi vya ajabu!

    Ndiyo! Africa mpaka sasa sifahamu ni nchi gani ambayo viongozi wake wakikohoa, kina Kagame wanakaa kimya Congo, watu wake wanapata tabu sana kwa vita ambavyo tangu nimekuwa na akili nasikia tu wanauwana na sababu kuu ni vijimajeshi vya nchi za Waafrica wenzao kutumwa kwenda kupora mali za nchi...
  9. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma"

    Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma" Fausty Mkandila, wakala wa Fabrice Ngoma. Maoni yangu : hili linawezekana kwa asilimia mia kama waliweza kumlipa Mgana Mickyjnr ili amchafue Azizi ki watashindwa hili?! Aziz ki sahivi Yupo moto anauwasha Kila kukicha Huyo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania THRDC yalaani madai kukamatwa viongozi Chadema ,waandishi wa habari

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), umeungana na wadau wengine kulaani madai ya kukamatwa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wanahabari wakielekea katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani jijini Mbeya. THRDC imetoa tamko hilo leo Jumatatu, Agosti...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Viongozi wa Idara Morogoro hawajauelewa vizuri Mfumo wa PEPMIS, tunaumia sisi Watumishi wa chini

    Serikali ilinzisha Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System – PEPMIS lengo likiwa ni kurahisisha utendaji kazi na kuweka uwazi kwa kuwa inajulikana wazi suala la Urasimu ndani ya Taasisi za Serikali zipo kwa kiwango cha juu. Kwa wenzangu ambao hawafahamu, Mfumo huu wa...
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Sababu ya simba kuwa vile vile misimu yote ni, "comfort zone" inawaponza viongozi na mashabiki

    Simba na viongozi wake mpaka mashabiki wao huwa hawaangalii wala kujali sanaa matokeo bali wao huangalia kama timu imecheza vizuri tu basi inatosha na ndio furaha yao wao hawajali sana kuhusu matokeo. Simba ilivyotolewa na wydad kwa mikwaju ya penati kule morocco enzi zile wydad ya moto...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Bashungwa: Tukitaka viongozi wazuri hatua ya kwanza ni kujiandikisha kwenye daftari

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa watanzania wenye sifa za kujiandikisha katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kujitokeza katika vituo ili kupata Kitambulisho cha Mpiga Kura kitakachowawezesha kupata haki ya kuchagua Viongozi...
  14. maroon7

    JamiiForums Tanzania BASATA hawakuelewa matusi ya Harmonize mbele ya viongozi wa nchi?

    Katika vitu vya kushangaza ni hili la msanii harmonize kutaja matusi kwa makusudi tena kwa kurudiarudia bila ya kujali uwepo wa viongozi wa nchi siku ile ya yanga day. Nilitegemea angenyang'anywa kipaza sauti na waandaaji lakini ajabu haikua hivyo. Akaendelea tena na tena kutamka lile neno...
  15. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Viongozi Yanga mnapaswa kujifikiria na kusikiliza

    Kwa haya matukio ya kuambatanisha shughuli za club na maisha ya nje na binafsi ya wachezaji na watu wa ndani ya Yanga. Huu upuuzi nimeona umeletwa kwa kasi sana. Yanga ni Club inayojengwa kwa kwa jitihada za kila mdau. Ikimbukwe Yanga siyo kikundi cha wasanii wanaotaraji kuji brand kwa maisha...
  16. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi Harmonize kutumia hili neno BOMBOCLAT? Mbele ya viongozi

    Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT
  17. U

    JamiiForums Tanzania Mahandaki maalum kwa Viongozi wakuu wa Israel yameandaliwa na Idara ya ujasusi ya shin bet, yapo Jerusalem

    Wadau hamjamboni? Mahandaki maalum Kwa Viongozi wakuu Israel yameansaliwa na idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel almaarufu shin bet Mahandaki hayo yapo jijini Yerusalemu na yanauwezo mkubwa kuhimili mashambulizi ya makombora na viongozi hao watasalia huko kwa kipindi chote cha vita Taarifa...
  18. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Sheikh Bombo: Viongozi wa Dini tuingizwe kwenye payroll ya Serikali

    Sheikh Ibrahim Bombo kutoka Mkoani Mbeya amependekeza Serikali ianzishe utaratibu wa kulipa mishahara kwa Viongozi mbalimbali wa Dini kutokana na kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na kuhamasisha maendeleo Nchini Tanzania ambapo amependekeza kiwango chao cha chini cha mshahara kisipungue...
  19. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Kibu Denis viongozi wa simba mtaendelea kupandwa vichwani na wachezaji

    Viongozi wa Simba wanaendelea kufanya makosa yale yale Kila mara na awabadiliki! Kibu Denis kwa kitendo alichokifanya alistahili adhabu ya maana na asingeruhusiwa kujiunga na wenzake kwenye mazoezi, angetumikia kwanza adhabu yake ili liwe fundisho kwa wengine, lakini Cha ajabu kibu anaonekana...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Israel yaua kwa mpigo Viongozi watano wa Hamas waliokuwa wamejificha chini ya handaki huko gaza

    Wadau hamjamboni nyote Ama kweli IDF na Mossad wako kazini na hawatanii linapokuja suala la kuwasaka Viongozi wa magaidi ya Hamas na Hezbollah. Shambulizi moja tu chini ya ardhi laua magaidi 5 ambao waliamini wapo salama chini ya mahandaki Taarifa kamili hapo chini: Israel recently...
Back
Top Bottom