Wakuu
Baada ya kilichotokea kwenye uchaguzi mkuu wa 2020, CHADEMA ilipata mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa ambaye ni Aida Kenani muwakilishi wa Jimbo la Nkasi.
Aida ni ishara ya wanawake waliozitumia nafasi zao za uongozi vizuri. Licha ya kuwa peke yake pale mjengoni lakini bado alipambana...
Hellow!
Mlituambia kuwa Nchi itaendelea kukopa kwa maendeleo ya taifa,
Mkaemdelea kusema, tunakopa kwa sababu tunakopesheka.
Akaibuka spika wa bunge na kuonya ukopaji wa spidi kuwa una madhara, akanangwa na kusemwa vilivyo na kupewa mipasho na kuambiwa tupishe.
Leo kiongozi yule yule anarudi...
"Ulishawahi kujiuliza kwa nini wengi wanaofanikiwa kimaisha au kuwa viongozi hutokea maisha duni? Ni kwa sababu mateso huwafundisha kusimama bila kuegemea, kuvumilia bila kulalamika, na kutamani mafanikio kuliko usingizi."— Alloyce, P.R.
KWANINI VIONGOZI WA IRAN WANAUWAWA NA ISRAEL.
Na. Comred Mbwana Allyamtu-CMCA
Monday -16/06/2025
Marangu Kilimanjaro Tanzania.
Pengine hili ndio swali la msingi la kujiuliza, toka mwaka 2023 Israel imefanikiwa kuwauwa viongozi wa juu kabisa wa Iran kwa kasi kubwa na kwa ufanisi mkubwa sana...
Kwa muda wa miaka kadhaa nimekuwa nikitaka kujua viongozi wetu wako vizuri katika nyanja zipi?
Nilichogundua ni kuwa wapo vizuri kwenye mambo yafuatayo:
1. Kupambania ushindi kwenye chaguzi: hapa aisee mtu ukiwa kikwazo kwa ushindi wao kwa namna yoyote ile, hawa jamaa wapo tayari hata...
Sisi watu wa hali ya chini (kwa muda) huwa tunafurahia sana maisha yetu licha kwamba tuna maisha ya kawaida sana
Hatudhulumu, hatunyongi watu, hatuteki na hatuuwi watu, na tunakula kile kilichopo kwa furaha kabisa na amani ya Mioyo yetu, na sadaka zetu kwa Mungu ni za haki hazina hatia yoyote...
Ni sawa na vita ya Kagera, waganda wengi walikuwa wananchukia Idi Amini waliiona Jwtz kama mkombozi na walikuwa tayari kuisaidia kwa lolote japo kwa usiri kwa hofu ya hasira za kujulikana.
Na ndio maana ukifuatilia vita inayoendelea Iran, unamuona Israel hana muda kushambulia wananchi wa...
Kwanza, Kama Israel haitaundoa utawala wa Ma- Ayatollah Iran hii vita yao waliyoianzisha itakuwa haina maana yoyote na kama Iran haitawaua viongozi waandamazi angalau 10 wa Israel itakuwa imetepeta na haijafanya lolote la maana katika kuvurumisha mamia ya makombora yake, zitabaki kuwa mbwembwe...
Fanya utafiti kwenye vijiwe vya kila namna kuanzia bodaboda, wauza mkaa, walimu na Watanzania wote. Utasikia wanaropoka bila kumug'unya maneno. Kuwa hii ndio CHADEMA ambayo ipo kwa maslahi ya umma. Kulinda na kutetea maslahi ya umma.
CCM ,CHAUMMA na wenzao ni mafisadi na wapo kwa ajiri ya...
Hivi juzi Mahakama ilitoa uamuzi kuhusi sheria iliyopitishwa na Bunge kuweka kinga kwa baadhi ya viongozi kushitakiwa kutokana na mambo wanayotenda wakiwa viongozi wa Taifa.
Uamuzi huu wa Mahakama umewafanya Watanzania wengi kushangilia sana.
Sasa jambo la kushangaza ni pale Spika wa Bunge...
Kiukweli viongozi wa Simba wanatuona mashabiki wao ni wajinga na hawatujali kabisa.
Achana na matukio ya kutupiga viingilio takribani mechi tatu. Ila hili la mechi ya dabi ndio limedhihirisha kuwa wanatudharau sana mashabiki wao.
Juzi walituambia kuwa mechi ya dabi ipo 15 juni na hivyo...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mlao, ametoa wito huo kwa vijana kote nchini kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi badala ya kubaki kuwa watazamaji au “wabeba mabegi” wa viongozi waliopo madarakani.
Akizungumza leo Juni 14,2025 katika...
Kwa sasa, baada ya kuliwa pesa za viingilio vya mchezo wao ambao walifanganywa kwamba ungechezwa kwa Mkapa, Mashabiki wa 5imba wametelekezwa na viongozi wao na hawajui wasimamie wapi kuhusu hatma ya mchezo wa derby. Baada ya kutoka barua zaidi ya mbili, moja ikisisitiza mchezo wa tarehe 15 June...
Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba
Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba.
Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na...
Hali ya Khayatollah inasikitisha wanasema sukari inamsumbua na presha. Mwenyewe anasema amechoka kuishi maisha kama dikdik. Kwa sasa wanamwamisha kwenye maandaki kila baada ya muda mfupi ili kukwepa kushambuliwa. Na ulinzi wake unabadilishwa badilishwa maana wanasema kuna Mayahudi katikati yao...
Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba.
Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa...
bodi
bodi ya simba
derby
hewa
ikulu
kutatua
mgogoro
serikali
simba
simba na yanga
taasisi
taasisi za serikali
tff
viongoziviongozi wa simba
watanganyika
yanga
yanga na simba
Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya Kijamii ikiwemo Michezo na Siasa, Edo Kumwembe kupitia Kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM amechambua kauli iliyotolewa na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba ambaye alipendekeza Wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.