viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    Haki ndio salama yako, sio unafiki

    Ukiwa kiongozi sehemu yoyote ile ukitaka kuwa salama hapa duniani na Mbiguni basi wewe tenda Haki bila kujali, ilimradi unachokitenda ni haki mbele za Mungu na mbele ya binaadamu wenzako. Na kinyume chake, Unafiki madhara yake ni makubwa sana kwa binaadamu wenzako na mbele za Mungu. Hakuna...
  2. Nikiwa namalizia sikuukuu ya Eid nawapongeza waasisi, marais na viongozi wote kwa kuweza kudumisha tunu za taifa letu

    Kwa kweli nchi yetu imejengwa kwenye misingi imara sana ya upendo na mshikamano. Hata katika tofauti zetu bado kuna upendo wa asili. Upendo usioweza kufutika kati yetu Hakuna utajiri mkubwa zaidi ya utajiri wa watu halafu hao watu wakawa na upendo kati yao kama tulivyo watanzania tunaoishi kwa...
  3. J

    Kwanini viongozi wa kitaifa hupenda kula Sikukuu DSM badala ya Dodoma yalipo makazi yao?

    Nauliza tu maana Dodoma wamebakia akina mzee Mgaya na mzee Ndugai wengine wote wametimkia Dar es salaam kula sikukuu ya Eid El Fitr. Ni kwamba Dodoma ni padogo au bado ni mashambani hakufai kusherehekea sikukuu zenye amsha amsha?!! Eid Mubarak!
  4. Kusimamishwa kazi kwa Ole Sabaya, liwe somo kwa wale viongozi wanaopenda kutumia ubabe na kutotii sheria za nchi

    Miongoni ya habari ambazo zimepokelewa kwa shangwe kubwa hapa nchini, ni hii ya kusimamishwa kazi kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Ole Sabaya Kulikuwa na malalamiko mengi sana toka kwa wananchi, kwa kipindi kirefu kuwa huyu jamaa, anatumia ubabe, tena kwa kutumia vyombo vya dola...
  5. C

    Hivi viongozi wanaposema "Serikali ilikuwa na nia njema kabisa" huwa wanamaanisha nini hasa?

    Shalom kutoka Jerusalem, Mara nyingi kunapotokea sintofahamu inayohitaji uwajibikaji wa serikali viongozi wa juu wamekuwa wakiwaambia wananchi kuwa "serikali ilikuwa na nia njema kabisa". Hivi wewe mdau wa JamiiForums huwa unaelewa nini kuhusu kauli hii? MFANO: Hivi karibuni, Tanzania, Afrika...
  6. Kwanini viongozi wengi wa Afrika husalitiwa na inner circles na kisha kuuawa? Waafrika hatuaminiki?

    Ni jambo la kushangaza sana kuona wanandani wako wanakugeuka na kusuka mipango ya kukuua. Maana madaraka ya Afrika yanashangaza sana. Blaise Compaore alimgeuka mtu wake wa karibu kabisa Thomasa Isidore Sankara na kisha kumuua. Na yeye akachukua madaraka Mobutu Seseseko alimgeuka Patrice...
  7. Kwanini Marais wastaafu? Ni upendeleo?

    Rais analizwa na maisha ya Rais mstaafu Rais anamnunulia BENZI la dollar 400,000 Rais mstaafu.? Wakati huo mwanae akiwa Rais wa Zanzibar. Rais anahailisha mechi inayofatiliwa na watu zaidi ya million 200+ Afria kwa sababu ya kitabu cha maisha yake. Maana yake unajali MTU kuliko watu. Rais...
  8. Tahadhari: Viongozi wa Yanga wadhibitiwe

    Niwasilishe maskitiko yangu kwa kutochezwa kwa mchezo wa Simba na yanga 8. 5. 2021. Naitazama yanga na naitazama TFF na nawatazama viongozi wa Yanga naiona hatari mbeleni. Najiuliza hawa viongozi wanazifaham Simba na Yanga? Ivi leo hii Simba au Yanga ishushwe daraja tu moja athali zake...
  9. Nakasirishwa na unafiki wa viongozi wetu

    Wananchi tunafanya kazi kwa bidii na tunapenda haki lakini viongozi wetu hawaonyeshi kuwa na nia ya kututetea wametuacha katika mazingira duni hawatusaidii kuboresha hali zetu na ndio sababu miaka ya nyuma watu walikuwa wanajiunga na migomo. Viongozi wetu (wa kisiasa na dini) wanaishi maisha...
  10. Viongozi Wizarani Wasikwapue Kazi za Uandishi Wafanyazo Watumishi Wadogo

    Kumekuwa na tabia ya kipindi kirefu sana, za viongozi waliopo katika Wizara mbalimbali kuwatumia watumishi waliopo katika taasisi zilizopo chini ya Wizara hizi, kutengeneza taarifa mbalimbali. Bahati mbaya sana, viongozi wa Wizara wakitengeneza machapisho kutokana na kazi hizi zilizofanywa na...
  11. Haki na Demokrasia havitakuja Tanzania kwa Rais kuwapa vyeo Serikalini Viongozi wa Upinzani

    Jana nimemsikia Rais Samia Suluhu Hassan akidai kuwa ataanza kuteua nafasi za uongozi bila ya kuangalia vyama.Hilo halina ukakasi kwa mujibu wa sheria zetu ila kwangu mimi naamini kuwa hizo ni mbinu za kijanja janja za kurudisha utulivu wa kisiasa nchini baada ya ule uchafuzi wa wazi aliofanya...
  12. Maagizo ya Rais Samia kwanini hayafanyiwi kazi kwa wakati?

    Agizo la kufuta kesi zote hewa za watu waliobambikizwa kwanini watu bado wapo mahabusu mfano Mashehe wa uhamsho? Agizo la kufungua vyombo vya habari mpaka sasa kimya Agizo la kufungua biashara kati ya Tanzania na Kenya leo usiku kuna wavuvi wa Kenya wamekamatwa kwenye ziwa Victoria. Report ya...
  13. J

    Misingi mikuu ya maadili ya viongozi wa umma

    MISINGI MIKUU YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA i) Kufanya kazi kwa uadilifu, uaminifu na kujali; ii) Kujizuia na tamaa na kujiheshimu; iii) Kujituma na kutekeleza majukumu kwa umahiri kufuatana na misingi ya kitaaluma; iv) Kufanya kazi bila upendeleo; v) Kutoa Tamko la Rasilimali na Madeni; vi)...
  14. Viongozi wanaolinda na kutetea rasilimali za mataifa yao maisha yao huwa mafupi sana

    Nimeangalia maisha ya aliyekuwa rais wa Bukinabe Thomas Sankara na kugundua kuwa ukiwa kiongozi mwenye nia ya kujenga taifa linalojitegemea na kulinda rasilimali zake basi tambua maisha yako yapo hatarini. Pia maisha ya Patrice Lumumba wa Congo nayo yanaonyesha ni namna gani wakora wa mali za...
  15. Dhana ya “Maadili kwa viongozi wa Umma”

    Ni misingi, kanuni na taratibu zinazoainisha tabia na mienendo inayokubalika na isiyokubalika kwa Viongozi wa Umma na jamii nzima kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, weledi, uwajibikaji na uwazi Hutumika kuongoza mahusiano kati ya Viongozi na Watumishi wa Umma, Bodi za Kitaaluma, Vyombo vya...
  16. Kisutu: Kesi ya kuvunja gereza la Segerea inayowakabili viongozi wa CHADEMA yafutwa

    Taarifa zaidi zitawajia hivi punde ===== Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021 . Walioachiwa huru ni Watu 27 akiwemo Halima Mdee , ambaye ni Mbunge asiye na Chama chochote , wote...
  17. Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali

    Rais Hussein Mwinyi amemteua Mshenga Haidar kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO). Vilevile amemteua Nassor Ameir kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF). Shariff Ali anakuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji (ZIPA) huku Suleiman Hamis...
  18. Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi Wasafi FM punguzeni 'Kujikomba' kwa Viongozi wa Serikali na wa Chama cha Mapinduzi kwani 'Mnaboa' mno

    Huko mwanzo nilipokuwa nikiwasikia nikadhani labda mtajirekebisha nayo kwani hata Clouds FM na Clouds tv 360 walikuwa na 'Upuuzi' huu ila sasa naona nanyi mmeuiga 'Utamaduni' huu. Hii Nguvu ambayo Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi cha Wasafi FM mnaitumia kwa Kujikomba ( Kujipendekeza ) kwa...
  19. Viongozi wa CHADEMA tusaidieni kuweka mambo sawa. Baraza Kuu ndio hufukuza wanachama?

    Naona kama Spika wa bunge la JMT anakosa hoja na kuweweseka. Hivi baraza kuu la Chadema ndio huvukuza wanachama? Ndio kusema Spika Ndugai anajikita kuwatetea akina Halima kwa kudai Katiba ya Chadema bado inawatambua akina Halima. Naomba tupewe ufafanuzi, kama kamati kuu ya Chadema ilisafukuza...
  20. K

    Matamko ya viongozi kuhusu ajira hayatekelezwi

    Viongozi wengi hasa wale wakubwa wamekuwa na tabia ya kusimamia na kuahidi Mambo mbali mbali lakini hayatekelezwi ipasavyo. Mambo mawili; la Kwanza ni ahadi nyingi za ajira kwa vijana lakini utekelezaji wake ni hafifu. Pili ni swala la kushugulikia gharama za vifurushi vya kupiga simu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…