viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwenu viongozi wa Simba SC

    Siku zote ambazo simba imekua ikipoteza mechi au ikifanya vibaya baadhi ya mashabiki na viongozi 'huwaga' wanatoa madai ya kujuhumiwa. Walianza kumsimamisha Said Tully kwa madai hayo hayo ya hujuma then wakamrudisha tena kundini, pia wakarudi kwa haji manara kwa madai ya kua anatumiwa na GSM...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Epukeni Waandishi binafsi na Walinzi Binafsi

    29 October 2021 Dodoma, Tanzania Semina iliyoendeshwa na Taasisi ya Uongozi, Kwenye Ukumbi wa St. Gasper, jijini Dodoma Tanzania Waziri Mkuu amewasisitiza viongozi hao waepuke matumizi ya walinzi binafsi na waandishi wa habari binafsi katika Ofisi za Umma kwani wanaweza kuwa chanzo cha...
  3. JamiiForums Tanzania Mashairi ya wimbo wa Lucky Dube "Guns & roses" yanagusa sana hasa kwa tunayofanyiwa na viongozi wetu

    Lucky Dube Lyrics "Guns & Roses" I don't know why I keep believing That one day, they'll bring us together When they've shown In more ways than one That all they care about is the dollar You belong to the one political party I belong to the one musical party Our differences are worlds apart...
  4. JamiiForums Tanzania Tabia ya viongozi wa Serikali kufanana na kambale

    TABIA YA VIONGOZI WA SERIKALI: Wiki iliyopita nilimsikiliza Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango akielezea namna wateule wa Rais katika nafasi mbalimbali wanavyopandishiana mabega, nikakumbuka maisha ya kambale ambayo kila mmoja ana sharubu zake. Rais Samia Suluhu Hassan anapaswa kuwa mkali sana...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa wawe wanastaafu wakifikisha miaka 70 ili wapate muda wa kusimamia afya zao

    Katika nyakati hizi ni heri hawa wazee wetu waliotumia muda mwingi kwenye siasa wakapumzishwa ili waweze kusimamia afya zao na kulea wajukuu. Kwa mfano mzee Mrema, Mzee Cheyo, mzee Rungwe, mzee Shibuda , mzee Malecela na wengine wote wafananao na hao. Tuwaachie watu wenye fikra mpya!
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa simba. Tuleteeni kocha haraka

    Kwa maoni yangu tu kwa muda mchache ninaongalia timu yetu pendwa ya simba sport club naona kabisa huyu kocha hamna kitu aisee tuleteeeni mtu km kishingo angalau. Ila huyu aibu zinakuja mbele yetu. Wadau wengine mlete maoni yenu kwa muda huu tu mchache mnao tazama huu mchezo wa simba na...
  7. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

    Tayari baadhi ya Wadau wa Maendeleo, akiwemo Mwakilishi wa Ubalozi wa Canada wamewasili Mahakamani. Hadi saa 3:30 asubuhi hii Watuhumiwa walikuwa bado hawajaletwa Mahakamani. ==== Hatimaye Mbowe na wenzake wameletwa Mahakamani Jaji Joachim Tiganga ameingia Mahakamani Wakili wa serikali...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kuondokana na viongozi "wachuuzi wa mpira wa miguu" kwenye vilabu vyetu

    Baada ya Simba kufungwa jana na wabotswana tumeona kauli za haraka haraka kutoka kwa viongozi wa Simba kuandika mambo ambayo mimi naweza sema ni upuuzi. Kwa kuangalia comments za wapenzi wa soka wakijaribu kujaribu viongozi kwa ujinga walioandika (nimeweka baadhi hapo chini) nadhani ni wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Sudan: Viongozi kadhaa akiwemo Waziri Mkuu, Abdallah Hamdok wadaiwa kukamatwa. Jeshi lavunja Utawala wa Kiraia

    Kwa mujibu wa Kituo cha Al-Hadath TV, Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdallah Hamdok amewekwa katika kifungo cha nyumbani huku Viongozi kadhaa wa Utawala wa Kiraia wakikamatwa Hali Nchini humo imekuwa tete tangu kushindwa kwa jaribio la kufanya Mapinduzi Mwezi Septemba. Kukamatwa kwa watu hao...
  10. JamiiForums Tanzania Gharama za kuwaondoa machinga zibebwe na viongozi wa mitaa

    Kasi ya kuwahudumia wananchi kutatua kero zao inapungua kutokana na rasilimali watu, fedha, vifaa na muda kuelekezwa kwenye kitatua shida ambazo zimezalishwa na viongozi tuliowapa madaraka na kuwalipa kwa Kodi zetu. Wakati mmachinga wa kwanza anaanza kuweka biashara sehemu isiyo sahihi viongozi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni fedhea Viongozi wa CCM kuandaa zoom meeting kuwajadili machinga. Ni Machinga gani ana muda wakuingia zoom kushiriki mjadala?

    Nimeana Zungu na wengine wameitisha mkutano kupitia Zoom kujadili kadhia ya machinga kuondolewa baadhi ya maeneo kwa lengo lakutaftiwa maeneo mengine. Swali ninalotaka kujiuliza, hiki kiburi cha hawa viongozi kwenda Zoom kuwajadili machinga wanakitoa wapi? Kwamba walishindwa kuwatetea Bungeni...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kongole kwenu viongozi kwa hili; Walichokuwa wanakifanya machinga ni utapeli, uchafuzi na kero

    Naomba kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa viongozi wote walioratibu zoezi hili la kuondoa machinga katika maeneo yasiyofaa! Ni nadra sana kuona zoezi linafanyika kwa hekima kubwa kama hili! Pasipo unafiki busara kama hii imekua adimu kwa mda mrefu sana! Hakuna asiyejua kwamba tatizo la...
  13. JamiiForums Tanzania Kuwaita viongozi wetu wakuu kuwa ni madhalimu ni kukosa busara, tangu tupate uhuru hakuna Rais aliyetawala kwa Presidential Decrees.

    Nashangaa sana watanzania tumekuwa watu wa kulaumu sana. Mara kila kiongozi anapoingia madarakani tunambambika majina ya kumpa udikteta, utasikia dhalimu, muuuaji mtekaji, na hata Dikteta uchwara. Hivi tokea tupate uhuru tumekuwa na rais ambae amekuwa akitawala kwa amri zake? Kuwa akiamka...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa machinga Dar wakumbana na vurugu wakiwapanga wenzao

    Viongozi wa Machinga Dar es Salaam walijitolea kuwapaga wamachinga wenzao wa Msimbazi, Kariakoo ili kutii amri ya Serikali ya kutofanya biashara maeneo yasiyo rasmi. Baadhi ya machinga wameonesha upinzani kiasi cha kuzua vurugu ambapo polisi walilazimika kuingilia kati ili kuwaokoa viongozi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi walewale waliopongeza machinga kupewa Uhuru ni haohao Wana bomoabomoa,Je, tutamkumbuka?

    Kuna watu ndani ya mfumo wa Serikali na chama Tawala wameshaona wananchi si kitu. Leo wakisikia mtu mmoja kasema funga wanasifia, kesho wakisikia fungia wanaendelea kupiga makofi. Watu wa aina hii wameqafanya wananchi kukosa dira na mwelekeo kwa sababu leo wanawaambia wananchi kaeni hapa na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Tuna viongozi mapunguani hapa Tanzania

    Kuna wanasiasa Mapunguani neno punguani ni mtu asio na akili sahihi, tumekuwa tunazungumzia Muafaka wakitaifa kuna wanasiasa mapunguani kabisa wanadhani ni kukaa mezani kugawana madaraka na vyeo, sisi tunataka Muafaka kwaajili ya nchi yetu, Machinga, Mama mjamzito, Elimu yetu. Msajili wa vyama...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: Maelekezo kutoka juu Haumtoi mtu Hatiani

    Awamu ya tano na masalia yake ndani ya awamu hii yalituvesha hii "bloody" tungo - Maelekezo kutoka juu. Pamoja na kuwa hadi hapa tulipo kuna ya kujifunza kutokea kwa nduli Sabaya, habari ndiyo hiyo. Haupo utetezi hapo! Wangalipo kina Sabaya wengi huru mitaani. Ni vizuri kwa mustakabala...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Semeni na tuleteeni Viongozi wasiowajibika

    USA RIVER, ARUSHA: Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Wananchi kutoacha kuwasema Viongozi ambao hawawajibiki akisisitiza, "Semeni na tuleteeni kwasababu tunawatuma wawatumikie wananchi" Akizungumza na Wananchi eneo la USA River amesema, "Tunawashushia Viongozi wa kuja kuwatumikia, kuanzia Mkuu...
  19. JamiiForums Tanzania Hukumi ya Sabaya viongozi wa kuteuliwa tumieni akili zenu.

    Utetezi wa Sabaya ulizihusisha mamlaka za uteuzi. Mazingira yanaonesha kuwa Kuna ukweli fulani kwenye madai yake hayo ya utetezi. Ushahidi wa madai yake kwamba alikuwa anatekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi yanatiwa nguvu na uwepo wa wateuliwa wengine ambao walikuwa wakiwafanyia vitendo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Funzo tulilopata kwa viongozi wa CHADEMA

    Viongozi mbalimbali wa Chadema wametupa uwazi na kioo cha kuangalia jamii yetu ya Tanzania ilivyo, ilipo na inapokwenda. Chadema tumeona viongozi wasomi, wavumilivu, watukutu, wabishi, wasiojielewa, majasiri, masikini na matajiri. Hii yote imekuwa kama sampuli ambayo ipo kwenye wanasiasa wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…