viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa utaratibu wa viongozi wa AFRIKA, mama kawavumilia sana

    Mimi binafsi nasema mama kawavumilia sana na alifanyanao kazi kwa imani watabadilika na alifahamu maamuzi hayo ni mzigo mzito sana kwake... Hakuna Kiongozi Wa Afrika aliefanya kazi na timu ya aliyemtangulia, lakini mama amejaribu kulifanya ilo, Rais Wa DRC alijaribu kufanya kazi na timu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wanapofanya makosa ya wazi waishie tu kuomba msamaha kisha 'life as usual', au tujenge utamaduni wa kuwajibika kama enzi za Nyerere?

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji. Naomba kuanza kwa Declaration of Interest. Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wa habari, tuliwahi kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge na kusulubiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania tunaathirika na udhaifu wa fikra (Inferiority Complex) wa viongozi wetu wakuu

    Tukianza na Rais yeye anafikiri kuna watu wanamdharau kwa kuwa yeye ni mwanamke. Mawazo haya amekuwa nayo hata kabla hajaapishwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Na mara baada ya kuapishwa hotuba yake rasmi kama Rais alitamka kwa msisitizo kuwa yeye ni Rais mwanamke! Hali...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mhe. Majaliwa amesema viongozi wanatoka Kwa Mungu, najiuliza hata akina Sabaya walipewa mamlaka na Mungu? Vipi kuhusu viongozi wa uchafuzi 2020?

    Kwa sisi Mawakili wasomi kuhoji ni jadi yetu. Nimesikia Mhe. Waziri Mkuu akizungumzia kuhusu madaraka yanatoka Kwa Mungu. Nikajiuliza tunao wabunge wa bunge la Sasa ambapo wapo waliopita bila kupingwa na wengine walipitishwa na tume kuipitia uchafuzi, je hawa wote wanatoka kwa Mungu? Tuna...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Salamu kwa Kamishna Mkuu wa Uhamiaji, Passport za Tanzania zinakimbilia mikononi mwa wageni kupitia viongozi waandamizi na askari

    Tanzania imezungukwa na maadui wengi kuliko marafiki, Tanzania imezungukwa na nchi zisizo na amani kama taifa letu. Ulinzi wa Tanzania upo mikononi mwetu Watanzania. Tusiposema hakuna atakayesema Kesho Wala Kesho kutwa. Nchi yetu imevamiwa Sana na wageni wanaotaka kuifanya nchi hii ni Mali Yao...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama 99.9% ya Viongozi wa Dodoma Jiji FC akina Mbunge Mavunde na Kunambi ni Yanga SC lia lia, leo mnategemea kabisa Yanga SC isishinde Goli nyingi?

    Dodoma Jiji FC kabla ya Kucheza na Simba SC kuanzia Msemaji wao, Mlezi wao Mkuu na Mbinge Antony Mavunde hadi Kiongozi wao Mwandamizi Kunambi walikuwa mara kwa mara wakizungumza, wakiitishia Simba SC huku wakiikamia ile mbaya Mechi husika. Je, mmeshajiuliza ni kwanini Viongozi hawa hawa...
  7. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa staha kwa baadhi ya viongozi wa mihimili ya serekali kudhibitiwe haraka.

    Inanisikitisha Sana Kwa baadhi ya viongozi ya baadhi ya mihimili kuropoka ropoka kana kwama hakuna sehemu mahususi ya kujadili pale tunaposhindwa jambo Fulani kulielewa ingali wote sisi ni watu wa chama kimoja CCM, tusipo dhibiti hali hii ya kuongea hovyohovyo ipo siku tutakuja...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA jizuieni kuongelea kila tukio hasa yanayohusu CCM

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Mwaka 2012 kulitokea jambo la kushangaza sana ndani ya CHADEMA lakini kama kawaida makada wa Chama Cha Mbowe walitetea na kutukana mno yeyote aliyekuwa na maoni tofauti. Ilikuwa ni kujulikana kwamba bado aliyekua katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua viongozi mbalimbali wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Bodi ya Mikopo (HESLB ) na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)

  10. JamiiForums Tanzania Serikali isitishe utaratibu wa kuthamini viongozi wa dini wahuni kwenye shughuli zake

    Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya. Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali. Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi...
  11. JamiiForums Tanzania Polepole: Kwenye group letu la Viongozi mmoja wetu kasema waziwazi yeye ni mhuni kati ya wale waliobaki

    "...inashangaza sana,mfano tuna group letu la Viongozi ajabu mmoja wetu bila aibu amethubutu kabisa kusema yeye ni mmoja wa wahuni waliobakizwa na awamu ya 5." "...INASIKITISHA sana!" "...hata mimi naona aibu ya kwanini yule aliachiwa akafikia ngazi ya uongozi aliyonayo." Chanzo Dar 24. Polepole.
  12. JamiiForums Tanzania Kama majeshi ya Rwanda yaliwamaliza magaidi wa Cabo Delgado ndani ya wiki moja, hawa viongozi wetu wa ulinzi walienda kufanya nini Msumbiji?

    Hakika nimeamini vita dhidi ya ugaidi inahitaji akili kubwa mno kuliko matumizi ya nguvu, ni miezi michache tu iliyopita tulitangaziwa na kuaminishwa ya kwamba magaidi ambao walikuwa wameshikilia jimbo la Cabo delgado walipigwa na kumalizwa na jeshi kutoka rwanda. Ila hivi karibuni tena...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi mnapoenda nje ya nchi, huwa mnaweza kutalii na kufanya shopping tu? Kwaninii hamjifunzi haya na kuyaleta nyumbani?

    Tweets hizi za Zitto zimenifanya nikumbuke hilo swali ambalo kila wakati huwa linanijia kichwani hasa ninaposoma au kusikia habari kama hizi. By Zitto kupitia twitter: "Wengi wakisikia UAE na maendeleo yake makubwa wanadhani ni sababu ya Mafuta na Gesi Asilia. Lakini ukitazama Mauzo Nje ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Akaunti ya tweeter ya Mhe. Rais na Mhe. Makamu wa Rais kila wakitweet hakuna viongozi wa CCM wanaungana naye; tujisahihishe

    Mhe. Rais anapotweet inatia hamasa kuona aliowateua wakijumhuka naye, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu the same. Huyu ni Mkuu wa nchi na anapotumia mitandao anataka kuzungumza na Dunia. Anapomaliza kuzungumza au kutuma ujumbe Duniani then waliopochini yake wasilike,retweet wala reply inavunja moyo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wanaoamini ukimpinga unastahili kuuawa wanaongezeka, tupambane nao kwa sala kabla hatujaingiwa na roho kama zao

    Tumeendelea kuwa na viongozi wengi ambao wao wakiona unakinzana na maoni au maslahi Yao wapo tayari kutumia mbinu zozote aidha wakuondoe au wakufanye unyamaze. Wao kwao siyo Kila uhai ni wa thamani, uhai kwao ni wa watoto wake, mke au Mme, wazazi na ndugu damu. Hawa watu wanaongezeka Kwa Kasi...
  16. JamiiForums Tanzania Udhaifu wa viongozi wa Kiafrika

    Yawezekana viongozi wetu wa kisiasa wanashindwa kutatua matatizo yanayowahusu wananchi kwa sababu mbili: Moja, hawana uwezo mzuri wa kufikiri na kutatua matatizo (Upeo wa akili zao ni mdogo). Mbili, hawataki kutatua matatizo kwasababu matatizo ya wananchi ni fursa ya wao kuendelea kupata nafasi...
  17. JamiiForums Tanzania Sakata la viongozi wa CCM kulazwa mahabusu lachukua sura mpya

    Babati. Sakata la kukamatwa na polisi na kulazwa mahabusu kwa viongozi wawili wa CCM wilayani Babati Mkoa wa Manyara, kwa madai ya kumpiga askari Polisi limechukua sura mpya baada ya mashuhuda wa tukio hilo kudai kuwa polisi huyo hakupigwa. Viongozi waliokamatwa na kulazwa mahabusu katika kituo...
  18. JamiiForums Tanzania Vitambi kwa viongozi wa mpira sio uanamichezo.

    Itatia shaka na kichefuchefu kumuona kiongozi wa mpira ana tumbo kubwa linaloning'ia. Kiongozi wa hivi anakatisha tamaa na kuwatia uvivu wachezaji. Kiongozi wa hivi anatia mashaka juu ya umakini wake kwenye tasinia ya michezo. Kifupi hafai kuwa kiongozi wa timu wala chama cha michezo, maana...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Nadhani viongozi wote mliofanya mikutano ya kimataifa mmeona changamoto ya lugha.

    Tuchague lugha moja ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu. Ningekua mimi ni kiongozi maramoja ningechagua lugha moja iwe ya kufundishia kuanzia shule ya chekechea mpaka chuo kikuu. Nilipata kuhudhuria kongamano moja tulikua nawaganda kwakweli sisi kiingereza kinapiga chenga na hata...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nafurahi kuona mahabusu ana amani moyoni, waliomweka mahabusu wanateseka. Tuzidi kumtumaini Mungu atupe viongozi SIYO watawala

    Mhe. Freeman Mbowe yupo mahabusu kwa miezi kadhaa sasa, siyo kwa sababu ametenda kosa ya jinai bali kwa sababu amekataa kutumika kuwakandamiza watanzania. Kukaa kwake ndani naamini ni Mpango wa Mungu kutufunulia aina ya watawala tukio pamoja na namna dola inavyoshughulika na wanachi wasio na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…