vijana

  1. C

    SoC02 Sayansi na Teknolojia katika matokeo hasi katika vyombo vya usafiri na matumizi ya simu kwa vijana wa karne hii pamoja na lugha yetu

    SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA MATOKEO HASI KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI NA MATUMIZI YA SIMU KWA VIJANA WA KARNE HII PAMOJA NA LUGHA YETU. Sayansi na teknojia imekuwa msaada mkubwa katika karne hii ya 21,kumekuwa na mavumbuzi mengi na ya kisasa,Sayansi na teknolojia imezalisha na kuwaibua wataalamu...
  2. C

    SoC02 Wazee walizeekaje bila kukunua magari? Kwanini tuwaachie viti kwenye daladala ili sisi tusimame?

    Creative Monster Baraza la wazee liliwahi kuomba vijana wawe na heshima kwa wazee hususani kwenye daladala pale wazee wanapokosa viti basi vijana wasimame kuwapisha wazee wakae. Ni kweli na ni swala zuri sana na la kuenzi. Septemba mosi ndani ya daladala iliyokuwa ikitokea Mbagala kuelekea...
  3. M

    SoC02 Vijana na uendelevu wa mazingira

    Sera ya vijana ya mwaka 2007 nchini Tanzania inatambua kwamba vijana ni watu wote wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 35, ambapo kulingana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 ni asilimia 34.7 ya watu wote. Uendelevu wa mazingira ni namna ya kuwa na jukumu la kuhifadhi maliasili,kulinda...
  4. SoC02 Mifumo ya Elimu ndiyo kikwazo vijana kushindwa kujiajiri

    MIFUMO YA ELIMU YETU TANZANIA HAITUANDAI KUJIAJIRI Elimu yetu ya Tanzania hasa ya darasani iliyo rasmi haijawa katika kuwaandaa vijana kujitegemea baada ya kumaliza elimu ,nitazungumza maeneo ya hiyo mifumo ya kielimu. 1)MITAALA ,mitaala ya kuendeshea elimu haipo kwa ajili ya kuandaa mhitimu...
  5. D

    SoC02 Tuandae Vijana kutoka katika wimbi la ukosefu wa ajira

    UTANGULIZI Inatazamiwa kuwa zaidi ya asilimia 75% ya jamii iliyopo kusini mwa jangwa la sahara ni vijana,ikiwa nusu ya hii asilimia 75% wana umri chini ya miaka 25 na hali ya elimu katika nchi hizi zilizopo kusini mwa jangwa la sahara imezidi kuongezeka siku hadi siku.Mfano Nchi ya Tanzania...
  6. The Chanzo: Vijana Zanzibar watoweka katika mazingira tatanishi. Wazazi, polisi watoa kauli kinzani

    Zanzibar. Pengine hakuna watu waliolipokea kwa mikono miwili agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kwa Jeshi la Polisi kuhusu haja ya kuiongezea Zanzibar ulinzi kama wazazi na ndugu na jamaa ambao mpaka wakati wa kuandika makala haya wanashindwa kupata usingizi kwa kutokujua hatma ya wapendwa wao...
  7. SoC02 Kuchochea hali ya kujiamini pamoja na elimu inayotolewa kwa vijana wa Kiafrika kama msingi wa kujenga ustawi wa taifa la kesho

    Kama ilivyo kwa sehemu kubwa duniani, Afrika pia ni sehemu ambayo inajengwa na nguvu kazi ya vijana kwa asilimia kubwa na kama inavyojulikana kwamba vijana ni watu wenye nguvu, akili na uwezo wa kutenda mambo mengi kwa sababu bado wapo imara. Lakini ni ukweli pia kwa miaka mingi sasa nchi nyingi...
  8. K

    Tufanye nini kuweka utamaduni wa uchapa kazi kwa vijana?

    Imefika wakati wa kuwauliza vijana ukikutana nao, wewe unafanya nini kama ilivyokuwa zamani. Vijana wetu tena wadogo ni zaidi ya 70% ya watanzania. Ni lazima tuweke utamaduni tofauti kwa vijana wetu ili waweze kushindana na vijana wenzao kwenye nyakati hizi za ushindani. Nchi zinaungana na...
  9. M

    SoC02 Mitaala ya elimu na ajira kwa vijana

    UTANGULIZI "MITAALA YA ELIMU NA AJIRA KWA VIJANA" miongoni mwa sekta ambayo nchi ya Tanzania imekuwa ikifanya juhudi ili kupata maendeleo ni sekta ya Elimu,katika awamu ya Tano ya Raisi John Joseph Pombe Magufuli ambae alikuja na mpango wa Elimu bila Ada kuanzia ngazi ya shule ya msingi hadi...
  10. H

    SoC02 Kama ningekuwa mimi ningefanya haya kuhusu mikopo ya vijana, akina mama na watu wenye ulemavu

    KAMA NINGEKUWA MIMI. Leo nazungumzia vijana na ajira kupitia Mikopo inayotolewa na serikali kwa vikundi vya vijana, akina mama na watu wenye Ulemavu. Utaratibu wa sasa ili kupata mkopo watu husika lazima wawe na kikundi kilichosajiliwa, baada ya hapo mchakato wa maombi ya mkopo tajwa huanza...
  11. SoC02 Ipi nafasi ya vijana katika Siasa na Uongozi

    UTANGULIZI Hivi karibuni tumeshuhudia kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mwanasiasa na mwanasheria kijana akihoji juu ya sheria inayotaka mgombea Wa nafasi za ubunge awe na umri wa zaidi ya miaka ishirini na moja, huku haki ya kikatiba ikimtaka kijana mwenye umri wa miaka 18-19 na 20 kupiga...
  12. SoC02 Vijana tujiingize kwenye njia za kutengeneza pesa Mtandaoni Ili tuweze kujikwamua kutoka kwenye umaskini

    Ulimwengu wa sasa umebadilika tofauti na miaka ya nyuma na njia za kujiingizia kipato kwa nyakati hizi ni tofauti na kipindi cha nyuma. Zamani mtu unaweza kuamka huna hata shilingi kumi na ukatoka mtaani ukapata chochote na usilale njaa, lakini kwa nyakati hizi ukiwa katika hali hiyo unaweza...
  13. Dada zetu wanatamani kuzaa. Wanaume wenzangu mnasubiri nini?

    Kijana wa kiume mwenye zaidi ya miaka 25 na una geto lako mwenyewe acha kuishi mwenyewe kama Jini, tafuta binti anzeni maisha na mpate watoto dunia ipate vijana wapya. Ukiangalia sababu kubwa ya vijana kutokuoa ni kudai kuwa wasichana wanataka kuhongwa na hamna pesa. Ngoja ni wambie kitu...
  14. Nape Nnauye saidia vijana paypal haikwepeki

  15. SoC02 Fursa za Sayansi na Teknolojia kwa vijana karne ya 21

    Tuanzie mbali kidogo katika karne za nyuma hususani kuanzia karne ya 18 hadi ya 19 dunia iliingia katika machafuko ya kivita na biashara za utumwa. Ndani ya karne hizo pia kulitokea na mapinduzi ya viwanda yaani mashine zilianza kufanya kazi na kuibuka kwa uzalishaji mkubwa wa bidhaa na hivyo...
  16. J

    SoC02 Chanzo kipya cha ajira kwa vijana

    UTANGULIZI "Ajira kwa vijana" umekuwa ni wimbo wa Kila siku ambao watu kama wanasiasa na viongozi wengi wa serikali na wasio wa serikali(NGOs) wamekuwa wakiuimba Kila siku na mara nyingine viongozi wa kisiasa wamekuwa wakiuimba kama njia Yao nzuri ya kuwahadaa vijana na wazazi wa vijana hao Ili...
  17. N

    SoC02 Kuwashirikisha Vijana katika Kilimo - ni ufunguo wa Baadaye kwenye Usalama wa Chakula?

    Ushirikishwaji wa vijana katika kilimo imekuwa mada kuu hivi karibuni na imeibuka katika ajenda ya maendeleo, kwani kuna wasiwasi unaokua ulimwenguni kwamba vijana wamekata tamaa na kilimo. Huku vijana wengi - karibu 85% - wanaishi katika nchi zinazoendelea, ambapo kilimo kinaweza kutoa chanzo...
  18. Vijana oeni mabinti wenye kwao

    Habari za juma pili wakuu, wacha leo niwakumbushe kidogo vijanajuu ya kupata wenza wanaokaa makwao. (1) Usioe binti ambae kwenye familia yao mama ndio Kila kitu. Yaani mama ndio mwenye sauti kuliko baba, akitoa neno tu mpaka baba anaufyata. Hapo usijaribu kusogeza pua kutaka kuoa, hiyo inakuwa...
  19. M

    SoC02 Vijana wamepokeaje michezo ya kubahatisha (betting) ?

    Mkeka au Mikeka "ni kauli zinazotamkwa kutoka kwa vijana wengi kwenye kila kona ya nchi yetu haswa vijana wa kiume ukilinganisha na wale vijana wa kike ,kwa hakika vijana ni miongoni mwa nyenzo muhimu inayotegemewa na kila taifa kwa ajili kusukuma maendeleo ya taifa husika , kwa hiyo basi...
  20. MMU Leo tuongee watu wazima vijana wajifunze kutoka kwetu, maana jukwaa limejaa utoto mwingi.

    Naongea na wazee wenzangu Leo, let's say hakuna tatizo nyumbani mko powa. Mama ameanza tabia za kulala na Watoto na hakuna ugomvi wowote. Na sometimes una vidume vikubwa kuna wakati mama anaona hah Leo jumamosi kuna wedding somewhere natoka na first born wangu wa kiume baba atasubiri nyumbani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…