vijana

  1. DC Mwanziva Atembelea Vijana wa Jeshi la AKiba Ludewa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa; Victoria Mwanziva; aunga mkono mafunzo ya Vijana wa Jeshi la Akiba Wilayani Ludewa kwa kuwatembelea Kambini na kuwapatia “TrackSuit” sambamba na kuwachangia sare zao za kuhitimu mafunzo. Matunzo ya Vijana wa Jeshi la Akiba-Wilayani Ludewa kwa mwaka 2023 yanafanyika...
  2. R

    Vijana wanaokwenda kuanza masomo University 2023/2024 wakosa kuanza masomo 16/10/2023 (orientation) wakisubiri taarifa za mikopo

    Uchunguzi nilioufanya, wanafunzi wengi kutoka familia masikini wamekosa kwenda shule (University-kuanza orientation/masomo) kwa vile wanasubiri kama watapata mikopo toka HESLB. Rais Samia/Waziri Mkenda ingilia kati watoto wajue kama wamepata mikopo au hapana wapange what next .........
  3. Vijana washiriki Kongamano la 7 la TEHAMA linalofanyika Oktoba 16 -20 2023 Mkoani Dar

    Vijana Washiriki Kongamano la 7 la TEHAMA linalofanyika kuanzia Oktoba 16 -20 2023 Ukumbi wa Convention Centre The Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) Mkoani Dar es Salaam huku Serikali ikihimiza nguvu ya uchumi wa kidigitali kwa wanawake, vijana KWA kuwa wanawake na vijana...
  4. Kuweni serious na vijana, msiongee tu

    Kila ninapopita nakutana na sakata la vijana, jinsi viongozi wanavyowazungumzia ni watu wasiojituma, wasiopenda kufanya kazi, yaani vijana wa Kitanzania wanaonekana hawapendi kazi kuliko vijana wengine duniani. Viongozi walioajiriwa wanatuambia sisi tujiajiri. Mtu unaweza vipi kujiajiri pasipo...
  5. Vijana acheni kutupangia nyimbo za kusikiliza kwenye magari yetu

    Ukihitaji salamu nenda mbeya kwao Lucas mwashambwa ukamsaidie kulima Mtama mkimaliza atakusalimia,kwangu utaambulia chuya Ukawalishe bata! Sijajua siku hizi vijana wana matatizo gani! Kwa mujibu wa Cheti changu cha Kuzaliwa(Birth Certificate) ni kwamba,nimezaliwa Tarehe 10/11/1989,Hivyo hivi...
  6. Vijana mwaka huu tunalo

    Kila angle vijana tumekabwa.Ni hatari.
  7. Vijana tumewekwa mtu kati mwaka huu

    Kwani vijana tulikosea wapi, mbona kama kila kona tunasemwa sana.
  8. Vijana wa Rorya wamuenzi Baba wa Taifa kwa kushiriki katika Bonanza la Nyerere Day

    Katika kuenzi miaka 24 ya kifo cha baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka ameandaa bonanza la michezo mbalimbali kwa vijana wilayani hapo. DC Chikoka anasema kuwa lengo la bonanza hilo ni kuendeleza kutoa elimu na mwamko kwa vijana kukumbuka...
  9. S

    Naomba kujua mshahara wa muuza duka la nguo Kariakoo

    Habari wana Jamiiforums? Naomba kujuzwa range ya mshahara wanaolipwa vijana wanaouza kwenye maduka ya nguo kariakoo. Na baadhi ya Vipengele muhitimu kwenye makubaliano baina ya boss na mfanyakazi.
  10. Naona vijana wa sasa wataingia jehanam kwa sababu za kipuuzi sana. Inasikitisha

    Kwenye sabato ya leo nimepata muda kufikiria mambo ya kiimani hasa suala la motoni na peponi kwa mujibu wa imani yangu ya kikristo. Baada ya kujikumbusha zile amri 10 nimejiridhisha kuwa vijana wa sasa tunaweza kuingia motoni kwa sababu za kipuuzi ambazo nyingi zinatokana na amri ya USIZINI na...
  11. Vijana watakiwa kuacha tabia ya kuwakimbia wagonjwa wao wanaowapeleka Hospitali ya Mwananyamala

    Ujumbe wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mkoa wa Dar es Salaam umetembelea Hospitali ya Mwananyamala Jijini hapo kuwajulia hali wagonjwa mbalimbali, leo Oktoba 14, 2023 ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999. Msafara huo ulioongozwa na Sheikh Ally...
  12. Kwa ukosefu mkubwa wa ajira sasa na wakati ujao, Unadhani vijana wasomee nini ili waje kuwa wakina nani?

    Kwa mabadiliko makubwa ya teknolojia hatutegemei kwa na ajira nyingi za mkupuo kama miaka ya zamani. Hii ni dunia nzima. Zinabaki taaluma chache tu ambazo ni lazima awepo mtu watu wachache ili mambo yaende. Niliongea na muhandisi mmoja katika fani yake anasema wanafunga tech kwenye mashine...
  13. Je, Geita ina fursa gani?

    Wakuu nataka kuja Geita vipi wakuu naweza pata mwangaza kidogo chocjote mtu anafamu? Aidha lodge bei nafuu, mishe nknk
  14. Kwa mambo haya acha vijana wa sasa wadharau Mila za Wazazi na Wazee wao

    KWA MAMBO HAYA ACHA VIJANA WA SASA WADHARAU MILA ZA WAZAZI NA WAZEE WAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wa sasa wanaonekana kama hawana maadili lakini ukilinganisha na wazazi au Mababu zao utakuja kugundua vijana wa sasa wana maadili kuliko wazazi na wazee wao. Taikon katika...
  15. Vijana wanaoenda mijini na kudandia mtumbwi wa vibwengo

    VIJANA WANAOENDA MIJINI NA KUDANDIA MTUMBWI WA VIBWENGO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwenye Wadada 10 basi 8 wanaovaa uchi, wauza nyapu, na wanaofanya mambo ya hovyo basi ni Watu wakuja. Yaani wamekuja mjini wakiwa tayari ni Watu wazima. Wadada 2 ndio wamezaliwa mjini Halikadhalika na...
  16. CDEA waendesha mradi wa mafunzo ya muziki kwa vijana Dar

    SHIRIKA la Utamaduni la Maendeleo Afrika Mashariki (CDEA) linaendesha mradi wa mafunzo maalum kwa Vijana wanamuziki wanaochipukia wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwa ufadhili Braid Arts and Culture Fund, ambao watawawezesha Vijana hao kujifunza aina mbalimbali za uandishi wa muziki wa jukwaani, na...
  17. Wanawake kuua ndoto za Vijana wengi

    Unaweza kuwa na ndoto zako, greatest ones, ukazipangilia lakini mwanamke akakufanya usizifikie hizo ndoto. Bro! Kama haupo sahihi na mwanamke unayetaka kumuoa, acha, usioe. Kuwa alone kama mimi, piga zako Puchu maisha yasonge. Mwanamke ndiye mtu anayeongoza kuua ndoto za watu hapa duniani...
  18. K

    Kagera: Katibu wa Mbunge Jimbo la Muleba Kusini atiwa hatiani kwa kujipatia milioni 60 fedha za mfuko wa vijana

    KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MULEBA, MKOANI KAGERA Leo tarehe 3/10/2023 katika Mahakama ya Wilaya Muleba mbele ya Mh Lilian Mwambeleko, imeamriwa kesi ya Jinai namba 91/2023 Jamhuri dhidi ya Adilelius Vedasto Apolinary mwenyekiti wa kikundi cha ujasiliamali cha Umoja wa Vijana Youth Fund cha...
  19. Ripoti: Uchunguzi wabaini Wachezaji wengi vijana Gabon inadaiwa wananyanyasika kingono

    Uchunguzi uliofanywa na Kituo cha BBC wakizungumza na zaidi ya Waathirika 30, umebaini kuwa kuna mtandao mkubwa unaohusika na matukio ya unyanyasaji kwa wachezaji wa mpira wa miguu wenye umri mdogo kwa zaidi ya miaka 30. Kupitia Kipindi cha BBC Africa Eye waathirika wamenukuliwa wakisema...
  20. Kwanini imekuwa kawaida kwa vijana wa kikristo kuwa wazinzi waliokubuhu kwa kuwa na watoto na mahusiano lakini wanachelewa ama hawataki kuoa ?

    Ndoa za kiafrika na za kiislam, vijana wengi wakifika miaka 22 wanaanza kuoa. Kijana wa kikristo ana miaka 30, ana mtoto wa nje ya ndoa na yupo kwenye mahusiano na mwanamke anaemgharamia na pengine kuishi nae lakini hataki kuoa ?? Kwanini uzinzi umezoeleka sana kiasi hiki ??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…