vijana

  1. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Tanzania yawa miongoni mwa nchi zilizoongoza duniani kwa unywaji wa pombe kali kwa Vijana Umri kati ya Miaka 15-19

    Anaandika Ummy mwalimu Baada ya Report ya World Health Statistics 2023 ya WHO.. Taarifa zaidi kuhusu Kiwango cha Matumizi ya Pombe Tanzania na Magonjwa YasiyoAmbukiza. Kwa mujibu wa World Health Statistics 2023 kiwango cha matumizi ya Pombe isiyozimuliwa (Pure alcohol - 100% ) nchini Tanzania...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore, Rais kijana, alovuviwa Roho ya Hayati Magufuli, anayepaswa kuigwa na Vijana wa Tanzania. Burkina Faso sasa inachanua

    Unaweza kudhani ni maajabu, ila huo ndio ukweli, Kijana alozaliwa 14/3/1988, aloamua kuchukua Nchi Kwa njia ya mapinduzi mnamo 30/9/2022 .. ni Mwaka mmoja na miezi 6 tuu ila Mzalendo huyu Kijana kaamua kuanzisha safari aloiachia HAYATI Thomasi Sankara. Kwa watoto wa 2000, Thomas Sankara ni...
  3. hp4510

    JamiiForums Tanzania Vijana ambao mnatafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu

    Vijana ambao mko kwenye michakato ya kutafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu ambazo naziweka hapa Hao jamaa sio watu wazuri, sijui wanatumia njia gani kujua kama umeomba kazi sehemu flan Mdogo wangu juzi kalizwa laki 8 Walimpigia simu na walimwambia wanatokea sehemu ambayo ni kweli...
  4. Maleven

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzetu wenye ajira na mishahara mizuri, how it feels up there?

    Naomba kujua hapo juu maisha yakoje ukiwa na Ajira ya uhakika na msharaha mzuri kwa vijana wenzangu? Wengine tumejiajiri si ni yes no yes no. I wish to feel the experience of that place even from narration
  5. Leak

    JamiiForums Tanzania Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

    Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma! Na fikira zikanijia kuwa kuna uwezekano mkubwa wana Jf nao wamenufaika lakini nimefanikiwa kumjua mwana Jf mmoja tuu hapo ! Vijana hizi fursa hamkuziona? Au hamkutangaziwa?
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ngono: Mwisho vijana watakunywa sumu

    Angalia huyu kijana anachosema,
  7. Candela

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mbinu mpya wizi wa pesa vijana wanaosajili laini za simu

    Kama unasoma uzi huu basi u buheri, pole kwa wenye changamoto. Hawa vijana wanaosajili laini za simu mitaani wamekuja na mbinu mpya kukuibia pesa. Wanatumia app za kampuni husika, TIGO PESA APP AU MPESA APP n.k. Wanawahadaa wateja kuwaunga 5G wapate intaneti yenye kasi bure kama ofa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Timu za Vijana kukosa ufadhili

    Katika maisha ya soka dunia nzima vijana ndio msingi mzuri wa maendeleo ya soka. Katika taifa letu la Tanzania jamii ikiongozwa na TFF kwa msaada wa serikali imekuwa ikijitahidi kuinua mchezo wa soka, lakini inasikitisha kuona wanachokifanya ni KUTENGENEZA PAA LINALO MEREMETA WAKATI MSINGI NI WA...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Vijana wa siku hizi ni wavivu na wanachagua kazi

    Jamani wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimeona ndugu yangu Mlundilwa Jr kaandika uzi wake akisema alimwambia dogo atoe elf20 lakini akagoma akasema bora atafute mwanamke aimalizie huko. Sitaki kujua ni stori ya kweli au ni uongo, lakini uhalisia upo hivyo. Sasa hivi kwa tunaoishi...
  10. TTCC_TECNO

    JamiiForums Tanzania Afya ya akili mara nyingi hupuuzwa, licha ya umuhimu wake katika mafanikio

    Katika ulimwengu wa vijana hasa wa vyuoni, afya ya akili mara nyingi hupuuzwa, licha ya umuhimu wake katika mafanikio ya kitaaluma, ukuaji binafsi, na hali ya maisha kwa ujumla. Makala hii inachunguza changamoto za afya ya akili miongoni mwa vijana na inatoa mikakati ya vitendo vya kukuza na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mliiua pareto kiwanda mkapeleka Rwanda, mkaua General Tyre kiwanda mkapeleka Kenya, halafu vijana mnataka wajiajiri!

    Shame on you, Kiwanda cha pareto pale mafinga mlikiua Kwa makusudi huku mkijua ukanda wa kuanzia kyela hadi njombe wanalima pareto na kiwanda kiliajiri vijana wa kitanzania wengi. Mkaenda kuua kiwanda cha matairi ya magari General Tyre cha Arusha na mashine mkang' oa mkapeleka kenya. Mnatoa...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanaharakati huru Musiba ni role model wa vijana wa CHADEMA?

    Sio masikhara kuhusu hili swali. Inawezekana mwanaharakati huru Cprin Musiba ni mtu anayehusudiwa (role model) na vijana wa chama cha Mbowe (CCM B). Kwanini natamka hivi? Kwanza ikumbukwe mwanaharakati huru alikuwa akitukana yeyote aliyehisi ni kikwazo kwenye utawala wa awamu ya 5. Tumeona...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana CCM Taifa: Uhuru wa kuzungumza lolote haukuwepo kabla ya Rais Samia

    “Sitaki kuamini kwa wasomi kama wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vijana wengine wa Kitanzania kama sisi tunaojitambua na kujielewa, tutashindwa kuifuatilia historia ya nchi hii (Tanzania), na kwa sasa kwa sababu ya uongozi tulionao na kama kawaida ya nchi yoyote, nchi yetu inaongozwa pia na...
  14. Half american

    JamiiForums Tanzania Vijana wa HALAIKI huwa wananufaika na kipi baada ya mafunzo na shughuli ya kiserikali kupita?

    Habari zenu wakuu. Tarehe 02/04/2024 kulikuwa na tukio la kuwasha mwenge wa uhuru mkoani kilimanjaro na mgeni rasmi alikuwa ni waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kama ilivyo kawaida kwa shughuli yeyote ile lazima yawepo maandalizi mazuri ili kuweza kufanikisha kwa ufanisi mkubwa. Moja ya...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuonja chakula kwenye mwiko na kulia kwenye sufuria kunafanya mtu achelewe kuoa au asioe kabisa?

    Kwamba ukiwa unaishi geto, hata wale waishio nyumbani kwa wazazi, wewe kijana wa kiume, halafu mathalani wakati unapika chakula chako ukaonja chakula kwa kutumia ule mwiko wa kupikia. Au wakati unakula chakula, ukawa unakula mulemule kwenye masufuria ya kupikia, badala ya kupakua kwenye sahani...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana: Kijana fanya juu chini hakikisha una check number

    Hello! Hii nchi bado wasomi wachache si kama tunavyodanganyana vijiweni. Yes, haiwezekani vijana wote wakaajiriwa na serikali lakini vijana wachache watakaosoma huu Uzi na wengine wengi wanaweza kuajiriwa na serikali. Unaweza kuwa na kampuni huku ni mwajiriwa. Unaweza kufungua duka, ukalima...
  17. jooohs

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

    Juzi nilipita kwa jamaa yangu ni bachela umri anazaidi ya miaka 35 ila nilichokiona ndani mwake nikama anaishi dampo. Yaani amepanga chumba na sebule lakini ukiingia ndani hujui chumba ni kipi na sebule ni ipi vitu vimetapakaa chupa za bia makopo ya double kick enegy nguo ziko kwenye kochi...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Siku hizi vijana wadogowadogo ambao hawajasoma sana ila wanapata pesa mingi kwa ujuzi tu. Vijana waache kulialia

    Mambo yanaenda kasi sana. Ujuzi ndio kila kitu. 1: Dogo wa kwanza anatengemeza Website, Apps, Systems, na projects zake kama akipata connections ninza mamillioni. Kama haitoshi huwa anawafanyia projects wanafunzi wa mwaka wa mwisgo wa chuo. Huyu anajituma sana, huwa anaingia maktaba ya taifa...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Kitengo cha TECU Kuimarishwa, Kutoa Fursa kwa Vijana

    KITENGO CHA TECU KUIMARISHWA, KUTOA FURSA KWA VIJANA: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) itaendelea kukiimarisha Kitengo cha Usimamizi wa Miradi kutoka TANROADS (TECU) ili kiweze kusimamia utekelezaji wa miradi...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania MHE. WANU HAFIDH (Mtoto wa Rais Samia) Awekeza Kuwainua Wanawake na Vijana Wakulima Kiuchumi Kupitia Zao la Mwani

    MHE. WANU HAFIDH (Mtoto wa Rais Samia) Awekeza Kuwainua Wanawake na Vijana Wakulima Kiuchumi Kupitia Zao la Mwani Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir tarehe 07 Machi, 2024 amesaini MOU na Kampuni ya...
Back
Top Bottom