vijana

  1. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonesha vijana wengi wa Africa hawajitambui

    Ni tafiti tu sijui za kweli au ni figisu tu za kutudhoofisha waafrica
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Vijana msio na ajira changamkeni mechi za Yanga ni ajira tosha, anza sasa kubet

    Kuna tumu nane mpaka kumi kwenye ligi kuu,haziwezi kyifunga yanga. Hizo mechi ukizidisha mara mbili yaani home and away ni mechi 20 Ukiweka milioni kila mechi kwa msimu mmoja una sh ngapi?? Sio mpaka niwafundishe kila kitu
  3. D

    JamiiForums Tanzania 2025 CCM out, mpende msipende. Vijana wamekata tamaa

    CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anaweza kuwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana wa IT na Computer Science tengenezeni programu itakayowezesha zoezi la Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa Uhuru na Haki

    Sisi kama watanzania tunataka uwazi na haki itendeke wakati wote wa kupiga kura, kutangaza matokeo, na kutangaza mshindi wa uchaguzi wa diwani, mbunge na rais kwa uchunguzi wa 2025. Japo mifumo yetu ya uchaguzi sio rafiki kufanya uchunguzi mkuu uwe wa uhuru na haki ila ni TAKWA LA WANANCHI...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Utamsikia mgeni anasema: "Yani mjomba, sisi wakati wa Nyerere tulikuwa tunatembea kwenda shule usawa wa Kariakoo hadi Kibaha. Nyie vijana namna gani."

  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Waziri wa Biashara kudhibiti Wageni kufanya biashara za Machinga, ahoji vijana wetu watafanya kazi gani?

    Rais Samia, amesema haiwezekani wageni kuingia nchini na kufanya biashara za machinga, huku akieleza kuwa vijana wetu (Kitanzania) watafanya nini? na kuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kuhakikisha suala hilo linasimamiwa ipasavyo ili kulinda fursa za ajira kwa wananchi wa...
  7. Faana

    JamiiForums Tanzania Wazee wote watarudi kuwa vijana kuanzia 2026

    Msikilizeni mtaalam ninyi wenyewe https://www.facebook.com/reel/4051466028406815
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia Kuwapa Mitaji Vijana watakao wekeza kwenye nishati

    Benki ya Dunia imesema ipo tayari kutoa mitaji, dhamana na usaidizi wowote ili kuhakikisha Sekta binafsi inakuwa kipaumbele hususani katika kuwasaidia Vijana wa Afrika kufikia ndoto zao na maono yao kwa kuwekeza kwenye Sekta ya nishati. Akiongea wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi fursa za mitaji kwa vijana wenye mawazo yenye tija kwa jamii na dunia?

    Wakuu habari! Mimi ni kijana wa makamo nimekuwa nikiona mtandaoni kwa mataifa ya Europe na Asia kukiwa na makampuni mengi yanayojihusisha na shughuli za fundraising kwa miradi na mawazo ya kibiashara yenye tija kwa jamìi na ulimwengu na kuwasaidia vijana kufikia malengo yao huku wakiongeza...
  10. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Mawaziri watu wazima (Wazee) iwe funzo kwa vijana

    1. Natazama Mkutano wa Africa Energy Summit mawaziri toka Zambia, Nigeria, Ivory Coast, Afrika Kusini na Kenya wazee tupu. 2. Vijana wapo bize wanabet wengine wanapakazana uchafu tu. Inasikitisha
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Toufiq Turky awataka vijana na Wanahabari kuitangaza miradi mikubwa iliyotekelezwa na Serikali ya Rais Dkt. Mwinyi, Zanzibar

    "Mimi nimesoma Skuli ya Kajificheni darasa la kwanza na tulikuwa tunakaa kwenye boksi, darasa la pili tulipewa mabao tukakaa bao moja tunakaa watu watatu. Siyo mbali na miaka iliyopita lakini leo mtoto wa Skuli binafsi na mtoto wa Skuli ya Serikali wanakaa sawa na baadhi ya Skuli binafsi ziko...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania wameanza ku dharauliwa la vijana

    Huu ni mwanzo tu tumeona huko Dodoma wasanii walikuwa kama sanamu vijana hawakuwaaikiliza wala kuwachukulia umuhimu. Vijana wote walikuwa wanamwangalia Lissu na Heche. Vijana wameanza kujua hawa ni machawa na hawana faida kwao yeyeote zaidi ya kiki na nyimbo zao. CCM watapoteza pesa bure...
  13. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Tetesi: Baadhi ya vijana wa UVCCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro wameeleza kutoridhishwa na uteuzi wa Rais na Makamu wake kwa mwaka 2025

    Baadhi ya vijana wa UVCCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro wameeleza kutoridhishwa na uteuzi wa Rais na Makamu wake kwa mwaka 2025. Kauli zao zinaonyesha kushangazwa na sababu za kutekelezwa kwa mchakato huu kwa haraka na bila tahadhari ya kutosha. Hali hii imepelekea hisia za wasiwasi miongoni...
  14. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Vijana wanavyohatarisha maisha yao kwa bodaboda, pombe kali, mirungi, na korokoro la mchina usiku kwenye night club

    Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana. Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na wazee huku vijana wakishinda wanakula mirungu na pombe za buku wakipoza na korokoro la mchina...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Anguko la vijana wa kileo

    VIJANA WA KIUME: VIJANA WA KIKE:
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je ni Nani ni mtenda dhambi ? katika hawa vijana watatu

    -kijana wa kwanza Ameiba biblia kanisani kwa ajili ya kwenda kujisomea nyumbani -Kijana wa pili Ameiba pesa nyumbani na kwenda kuitoa yote kanisani kwa njia ya Sadaka -Kijana wa tatu Ameiba Sadaka kanisani na kwenda kuwapa maskini na yatima Je ni nani mtenda dhambi ?
  17. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Napenda kuwafundisha somo moja vijana kuhusu Network na connection.

    Vijana wengi wanachomini kuwa hauwezi kufanikiwa pasipo Connection . Ila ukweli ni kwamba kuwa hauwezi kufanikiwa Pasipo network. Nini maana ya Connection - Kuungana wewe na mtu Fulani . Mfano mwaka fulani pale UDSM nilikuwa na ndugu yangu (RIP) alikuwa ni lecturer huyu jamaa alikuwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naomba kufahamu wajumbe wa sekretariet ya CHADEMa iliyoandaa uchaguzi wa mabaraza na uchaguzi mkuu 2025: vijana wana mengi yakujifunza kwao

    Moja ya jambo ambalo ningependa libali kwenye kumbukumbu na vitabu vya historia za uchaguzi nchni ni pamoja na majina ya timu iliyoandaa uchaguzi wa mabaraza na sasa uchaguzi wa viongozi wakuu wa CHADEMA. Wamefanikiwa kukamilisha uchaguzi wa mabaraza bila kuwa na pingamizi wala mjumbe au...
  19. Vitu Vingi

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal Login na Registration - Naona ni Changamoto Kwa Baadhi ya Vijana

    Katika pita pita zangu hapa jamii forums, haswa katika jukwaa hili la ajira na tenda... moja kati ya mambo ambayo nimeyagundua ni kuwepo kwa changamoto kwa vijana (haswa ambao ni wapya katika soko la ajira), ama wakiwa hawafahamu ajira portal ni kitu gani, ama wanashindwa kujisajili na baadhi...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Motivational speaker na madalali chanzo cha umasikini kwa vijana

    Watu wengi wakifanikiwa uanza kuwa motivational speaker,na wanatengeneza story ili wauze wapate pesa zaidi kwa wasio na pesa. Unamponda kijana hana nyuma wala mbele kama vile andazi, kitumbua au chapati. Unamwambia afanue uwinga au achinga mtaji ni mdogo tu lakini aumpi abc za wapi aende...
Back
Top Bottom