Vijana wa zamani 1950-2000 kulinganisha na 2000-2025 katika Jamii

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,060
Reaction score
46,992
Muda una mambo yake

Vijana wa Mwaka 1950-2000 siyo kama vijana wa miaka 2000-2025

Vijana hao walithubutu yafuatayo
1. Walishnikiza tukapata uhuru
2. Baada ya uhuru vijana Wengine wakataka kupindua SERIKALI ya Tanganyika na tanzania wazi wazi
3. Vijana waliteka ndege ya nchi na kuipeleka Ulaya , kwa sasa kuna mtu Anaweza akagusa hata mwendokasi Kuiteka?
4. Vijana walikuwa na Hoja walimgomea Rais Nyerere na Mwinyi wazi wazi pamoja na Utata wa Nyerere
5. Vijana waliandika na kukosoa hasa mambo ya msingi

6. Vijana h Wengine walithubutu thubutu hata baada ya 2000 wakaendesha vipindi vya kuwabana viongozi KITIMOTO Pascal Mayalla pale Chanel 10 , muda huu hawapo vijana wa kufanya hayo labda Odemba kwa mbaaali naye anaogopa

7. Vijana walianzisha media na forums Kama hii ya Maxence Melo japo nayo ni baada ya 2000 , Ila JF ya moto kipindi kile si ya sasa maana hii kama inaogopa sana na machawa wameivamia hakuna kupumua, kuna over moderation ya taarifa wanazifuta mno! Jf ya 2010-2019 Siyo hiii Hakika

8. Wabunge waliweza ungana wakatengeneza G55 miaka ya 90! Kwa sasa wabunge wote ni mazuzu

9. Vijana kipindi hicho Kama Ulimwengu, mwakyembe na Kabudi walikuwa wanaandika maandiko Mpaka watu wanadhani mwalimu anawaweka kizuizini, Ila yanaisha

10. Wanafunzi wa vyuo vikuu Rais Nyerere alikuwa anakuja kutuhutubia Mara kadhaa
Ila sasa hivi ni extended high school wala si wa mawazo ya ki chuo

11. Hata wapinzani wa nyuma unakuta Vyama vinne mfululizo vina watu kama Mrema, Mtikila, Marando, Lipumba (Japo baadae akakengeuka) Ila sasa tuna CHADEMA tu ndo Ina Lissu , Heche

Kupata mabadiliko naona tunataka kurejea sana zama hizo

Britanicca
 
Hii ya kutuita wanyonge ni fomura ambayo CCM tukipingana nayo basi hakuta kuwa na hayo.
 
Kizazi Cha elfu 2000 reasoning capacity Yao ni mfu ,

Ila tunapaswa kujiuliza kama Taifa ni ipi sababu maana zao la kina hao Oscar kambona ni zao lililoletwa na mababa na mababu zao ambao hii gen ya Sasa hatukuwahi kuwaona Kuna namna Ancestors wa kina Oscar kambona na kina Nyerere before walipokuwa hai walikuwa na mfumo Bora sana wa malezi compared na mfumo wa malezi huu walionao wazazi wa Sasa ,kuanzia wazazi waliozaliwa miaka ya 70 kuja juu Hadi 80 hao ndio walio feli katika malezi kitendo ambacho kimechochea kutuletea ambacho hakuna uthubutu Utashi Bora chachu ya kupata mafanikio ktk njia ambazo ni halali ambacho ndio Kizazi Cha 2000 ambacho britanicca unakilalamikia ,

Nadhani mifumo katili ya Wakoloni licha ya kuacha dosari kubwa Africa lakini pia in a positive way ilichangia kuzalisha watu majasiri wasio na hofu na wenye uthubutu

Binaadamu mwenye Akili Anapozidi kupitia changamoto siku zote zile changamoto Huwa ndio Zina mshape kuwa strong

So hiki Kizazi hakina heka heka zozote kime relux that's why unaona hakioni umuhimu wa mabadiliko
 
Muda una mambo yake

Vijana wa Mwaka 1950-2000 siyo kama vijana wa miaka 2000-2025

Vijana hao walithubutu yafuatayo
1. Walishnikiza tukapata uhuru
2. Baada ya uhuru vijana Wengine wakataka kupindua SERIKALI ya Tanganyika na tanzania wazi wazi
3. Vijana waliteka ndege ya nchi na kuipeleka Ulaya , kwa sasa kuna mtu Anaweza akagusa hata mwendokasi Kuiteka?
4. Vijana walikuwa na Hoja walimgomea Rais Nyerere na Mwinyi wazi wazi pamoja na Utata wa Nyerere
5. Vijana waliandika na kukosoa hasa mambo ya msingi

6. Vijana h Wengine walithubutu thubutu hata baada ya 2000 wakaendesha vipindi vya kuwabana viongozi KITIMOTO Pascal Mayalla pale Chanel 10 , muda huu hawapo vijana wa kufanya hayo labda Odemba kwa mbaaali naye anaogopa

7. Vijana walianzisha media na forums Kama hii ya Maxence Melo japo nayo ni baada ya 2000 , Ila JF ya moto kipindi kile si ya sasa maana hii kama inaogopa sana na machawa wameivamia hakuna kupumua, kuna over moderation ya taarifa wanazifuta mno! Jf ya 2010-2019 Siyo hiii Hakika

8. Wabunge waliweza ungana wakatengeneza G55 miaka ya 90! Kwa sasa wabunge wote ni mazuzu

9. Vijana kipindi hicho Kama Ulimwengu, mwakyembe na Kabudi walikuwa wanaandika maandiko Mpaka watu wanadhani mwalimu anawaweka kizuizini, Ila yanaisha

10. Wanafunzi wa vyuo vikuu Rais Nyerere alikuwa anakuja kutuhutubia Mara kadhaa
Ila sasa hivi ni extended high school wala si wa mawazo ya ki chuo

11. Hata wapinzani wa nyuma unakuta Vyama vinne mfululizo vina watu kama Mrema, Mtikila, Marando, Lipumba (Japo baadae akakengeuka) Ila sasa tuna CHADEMA tu ndo Ina Lissu , Heche

Kupata mabadiliko naona tunataka kurejea sana zama hizo

Britanicca
Generation ya 2000 ni innocent generation Ila hiyo ya 1950 ndo hii imeiba , imezulumu n.k na kuandaa mifumo mibovu Kama katiba, n.k
 
Dogo tutake radhi utatuitaje sisi wabunge wa jamhuri ya muungano MAZUZU?
 
Hawa wataingia tu barabarani siku wakijua adui wa vijana ni vijana wenyewe.

Angalia police vijana wanavyoua vijana wenzao na kuwateka

Nipo ndani ya jeshi kwa muda
Mrefu Sana intake za Magufuli na Samia ndani ya jeshi ndio problem hawana kabisa identity ya uzalendo hata punje wao ni pesa pesa mbele

JKT pia na Moshi Kuna shida kwenye kuandaa Hawa watu

Zao la kukosa elimu bora
 
Muda una mambo yake

Vijana wa Mwaka 1950-2000 siyo kama vijana wa miaka 2000-2025

Vijana hao walithubutu yafuatayo
1. Walishnikiza tukapata uhuru
2. Baada ya uhuru vijana Wengine wakataka kupindua SERIKALI ya Tanganyika na tanzania wazi wazi
3. Vijana waliteka ndege ya nchi na kuipeleka Ulaya , kwa sasa kuna mtu Anaweza akagusa hata mwendokasi Kuiteka?
4. Vijana walikuwa na Hoja walimgomea Rais Nyerere na Mwinyi wazi wazi pamoja na Utata wa Nyerere
5. Vijana waliandika na kukosoa hasa mambo ya msingi

6. Vijana h Wengine walithubutu thubutu hata baada ya 2000 wakaendesha vipindi vya kuwabana viongozi KITIMOTO Pascal Mayalla pale Chanel 10 , muda huu hawapo vijana wa kufanya hayo labda Odemba kwa mbaaali naye anaogopa

7. Vijana walianzisha media na forums Kama hii ya Maxence Melo japo nayo ni baada ya 2000 , Ila JF ya moto kipindi kile si ya sasa maana hii kama inaogopa sana na machawa wameivamia hakuna kupumua, kuna over moderation ya taarifa wanazifuta mno! Jf ya 2010-2019 Siyo hiii Hakika

8. Wabunge waliweza ungana wakatengeneza G55 miaka ya 90! Kwa sasa wabunge wote ni mazuzu

9. Vijana kipindi hicho Kama Ulimwengu, mwakyembe na Kabudi walikuwa wanaandika maandiko Mpaka watu wanadhani mwalimu anawaweka kizuizini, Ila yanaisha

10. Wanafunzi wa vyuo vikuu Rais Nyerere alikuwa anakuja kutuhutubia Mara kadhaa
Ila sasa hivi ni extended high school wala si wa mawazo ya ki chuo

11. Hata wapinzani wa nyuma unakuta Vyama vinne mfululizo vina watu kama Mrema, Mtikila, Marando, Lipumba (Japo baadae akakengeuka) Ila sasa tuna CHADEMA tu ndo Ina Lissu , Heche

Kupata mabadiliko naona tunataka kurejea sana zama hizo

Britanicca
Sasa vijana kama Yerrickonyerere utegemee nini hapo?
 
Pia kizazi cha 2000 kuendelea ni kizazi chele maarifa ya shule tu,mbali na shule ziada ya ubongo imehifadhi mambo ya ajabu ajabu,
Ni watu wa hovyo,wazembe,wavivu na kila jambo baya sasa utaambiwa watoto wa 2000
Sijui kulea watoto wanaozaliwa nyakati hizi inakuwaje,wazazi kazi tunayo kubwa sana
 
Back
Top Bottom