vijana

  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini baadhi ya vijana wengi waliotekea familia masikini alafu wakahi kutusua kimaisha wanakuwaga "matajiri limbukeni"

    Atavaa kila aina ya nguo awalingishie, kila demu atazaa nae kuonesha umwamba wake, kila hatua atakayopiga ata prove kwenu kuwa amewazidi kwa maana nyie ni wapumbavu kuzidi yeye Juzi mmoja wao amewaambia mnalalamika sana na hamfanyi kazi utafikiri mmesimama tu mnakenua bara barani. Anyway pesa...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ndio ilikuwa original bongoflava, vijana waliumiza kichwa sana but all for nothing

    Maudhui yalikuwa bongo flava ila kila mmoja alikuja na style yake kupelekea wawe authentic na kitu walichotoa na sisi wapokeaji tulipata vitu quality ambavyo hadi hatutakaa kusahau. WIMBO UNAUKUMBUKA SANA? https://youtu.be/i-qPIcfoOwA?si=-mI_dTpLqlR3WXvA...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Safari ya muwindaji inahitaji msaizi asie na tamaa, vijana mnaojitafuta kaeni mbali sana na aina hii ya wanawake

    Mwanamke anaedhani kakuonea huruma kuwa na wewe, anakwambia wazi kuna wanaume wenye pesa kukuzidi kila siku wanamtafuta, huyu tayari ana options siku yoyote anakukimbia. Mwanamke ambae hajui BAJETI, yeye ni kujua kutumia tu, jiandae kwa mizinga mingi ya uongo, mama anaumwa, simu imeharibika...
  4. S

    JamiiForums Tanzania KERO Tafadhali Serikali fungieni mchezo wa AVIATOR, Mchezo sio fair na unaua ndoto za Vijana

    Habari zenu Ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye main point, Mchezo wa aviator haupo fair jinsi inavyotangazwa, inachukua 90% inakupa 10% haina usawa wa 50% kwa 50%. Aviator imeharibu ndoto za Vijana wengi, na wanaishia kuwa omba omba , sababu pesa hazikai, vijana wanashindwa kuwa na nuru sababu...
  5. Diwani

    JamiiForums Tanzania Namna pesa inabadilisha vijana kwenye mahusiano.

    Hapa nazungumzia sana vijana ambao wanajitafuta kwa wakati huu; mara nyingi jamii inawapa msukumo wa kutafuta hela na inawathibitishia kwamba bila kuwa na pesa wao si kitu na hawana nafasi ya kimaamuzi au ushawishi wowote kwenye jamii na hata kwenye mahusiano. Vijana (ME) kwa sababu ya fikra...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna viashiria vya rushwa mikopo ya 10% kwa Vijana, Wilaya ya Newala Vijijini - Mtwara

    Kumekuwa na viashiria vya rushwa kwenye utoaji wa mikopo ya 10% kwa Vijana katika Wilaya ya Newala Vijijini Mkoani Mtwara. Tuliunda kikundi na kufata taratibu zote lakini mwishoni tunaelezwa tutoe chochote ili waweze kupitisha ombi letu. Maana ya kuomba mkopo ni dhahiri kwamba hatujitoshelezi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania kwenu waraibu wa punyeto, acheni kuvuta hisia kwa kuangalia porn ni bora ujiwaze wewe ni muhusika kuliko mwanaume mwengine

    Heri nusu shari kuliko shari kamili Punyeto na porn ni mambo mawili ambayo yamekuwa tatizo kubwa hasa katika zama hizi za teknolojia za smartphones unazoweza kutumia ndani ya blanketi, chooni, vyumbani, n.k.. wengi wanaopiga punyeto wamejikuta wakiingia kwenye uraibu mwengine wa kuangalia...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania na Don Bosco wazindua mpango wa kuwainua vijana na kuendeleza mpira wa kikapu nchini.

    Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), na Mkurugenzi wa TEHAMA wa kampuni hiyo, Athumani Mlinga (kushoto), wakimkabidhi tuzo mchezaji wa Don Bosco, Martin Benson, aliyechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi. Tukio hilo, lililofanyika tarehe 29 Agosti katika viwanja vya...
  9. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Vijana; leo nawaibia siri kidogo kuhusu ugumu wa maisha mnaopitia

    Leo siwapi kila kitu ila nitaendelea kutoa kila nikipata muda 1. Zinaa ( kula/ kuliwa mzigo) ni chanzo no1 kinachokwamisha harakati zako. Kubali, kataa, pinga au andamana ila huo ndio ukweli. Zile hisia za kujilaumu unazozipata baada ya kufanya ngono ni Taarifa ya kukuonesha kuwa kuna kitu cha...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM wakikutana na Polepole kitatokea nini?

    Nawaza jinsi ninavyoziona hasira za vijana wa CCM dhidi ya Humphrey Polepole, Hawa vijana kwa bahati mbaya wakutane na Polepole mtaani, kitatokea nini?
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Vijana, Figo zinaua, jilindeni na haya Mapombe…Ushauri tu!

    Nusu saa iliyopita tumempoteza Mr Richard, ndugu wa karibu kabisa. Wakati namshauri miaka hiyo mjomba kupunguza mambo, yetu yanauWa, ilikuwa ngumu sana kuelewa. Baada ya miaka kadhaa, ndugu alianza kuumwa, baadaye wakakuta figo inashida. Ilipofikia, haikuwa habari njema kwa familia. Hatimaye...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi vijana mnaokwenda MR RIGHT au kutafuta wachumba mitandaoni mpo sawa kweli?

    Hawa vijana wa siku hizi kama mnashindwa kupata wachumba kwa nini msikwende kwa wazazi wenu wawatafutie wachumba. Yani kama hiki kipindi kinauzunisha sana kwa hawa vijana.
  13. D___________Loy

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Vijana

    Vijana wa Mgodini wanavimba sana ukifika Katoro. Wanapanda Juu ya meza mpaka kwenye vibanda vya watu. Vijana wa Katoro acha Ulevi wa ajabu 😂
  14. G

    JamiiForums Tanzania Vijana wawili walitoka 0 mpaka utajiri wa TSh 1.95 trilioni kwa BIASHARA ya KINYOZI.

    Washkaji wawili waliingia KINYOZI kama wateja… wakaondoka kama founders wa IDEA ya Mamilioni ya Dollar. startup kubwa huanza na swali dogo. Kwa hawa wahuni wawili Songe LaRon na Dave Salvant, swali lilikuwa: “Kwa nini kukata nywele inakua ngumu kuliko kusafiri na Uber?” Mwaka 2015, waliamua...
  15. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Vijana tumebanwa kati ya ukweli na matarajio ya maisha

    Vijana wa kizazi chetu wanaishi maisha ya mkanganyiko. Tumefundishwa tangu tukiwa wadogo kwamba tusome kwa bidii, tufikie ndoto kubwa, tutengeneze maisha bora kuliko ya wazazi wetu. Lakini sasa tunapofungua macho, tunakutana na ukuta wa ukweli unaotuzuia kupita. Maisha ya matarajio makubwa Kila...
  16. matiko sibora wambura

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vijana wengi wa Kitanzania Wanaona Kujihusisha na Siasa ni kupoteza muda?

    Kwanini Vijana wengi wa Kitanzania Wanaona Kujihusisha na Siasa ni kupoteza muda wakati hii ndiyo ungekuwa nafasi Yao kutengeneza undugu na kuongeza marafiki na kuwasaidia katika kufanikisha swala ajira
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Naliona ongezeko kuu la vijana kukaa kwao hadi 33+, kujenga in late 40s, kuoa/kuolewa kuwa kwa majaliwa na kupata shughuli za kudumu kuwa nadra

    Vijana wanaandaliwa katika standards ambazo haziendani na hali halisi ya ukata. Vijana wanaandaliwa katika matarajio ambayo hali halisi haiwezi kuyamudu. Vijana wamekuwa squeezed katika chumba kimoja ambacho kina hewa kidogo ila alieko nje anategemea wapumue vizuri. Kila kitu mbele yake sasa...
  18. Mafunzo ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuanzisha kiwanda upoje, je ni sahihi mtu kuweka kiwanda katikati ya makazi ya watu ambacho kinazalisha environmental pollution?

    Leo , nipo kawe katika Siasa . Ila nimefika mtaa fulani nimekuta kuna kiwanda kipo na kina zaidi ya mwaka mmoja kinaleta environmental pollution. Je ni sahihi naomba watu wa mazingira tuwasiliane haraka.
  19. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Vijana m'meona tukio la binti wa UDSM kupigwa na mchumba wake?

    Nazungmzia tukio hili ambalo hadi sasa bado tunasikilizia mrejesho wa kamanda wa jeshi la polisi huko morogoro atupe kisa kizima cha mchumba wa binti huyu kufanyiwa mashambulizi kadhaa ya kimwili. Kwanza niweke bayana kuwa violence dhidi ya wanawake ambao physically ni dhaifu kwa mwanaume si...
Back
Top Bottom